binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Haina riba ila ina leverage kubwa, Wale wanapenda anasa watataka Serengeti, Ngorongoro na mlima Kilimanjaro muwape 😅DOA .... Hili ni zaidi ya Doa.
Inaonekana Maza haonekani kabisa kuguswa na yaliyotokea.
Aende kwa Wajomba. Nasikia mikopo yao huko haina riba.
Mashehe ubwabwa na askofu gani sijui wanasema hapakuwa na maandamano kwa hio hilo doa limetoka wapi?Mbona hanyooshi maelezo? Ni mambo gani hayo yametutia doa? Huyu ataropoka kila kitu siku sio nyingi
Kwahiyo wewe kwa akili yako na utu uzima wako na una mvi mpaka kwenye nywele za matakoni ndo umeona hii ni sababu ya kwanza na muhimu? Fokoromajansi wewezipo nyingi mojawapo ni bunge kukosa idadi kidhi ya wabunge toka vyama pinzani.
Ndio hivyo hawana akili; Hawajui kula na vipofu - wala wanachofanya sio ujanja ni uzwazwa na ulimbukeni; Watu wakiona no value for money na pesa zao (kodi zinafujwa) wataongeza kuficha na kutokulipa kodi hence black market kuongezeka; Wanazidi kufanya kazi yao ya Utawala kuwa ngumu zaidi na future yao kuwa matatani....Wataongeza kodi, huu utawala wa kisultani hauwezi kupunguza matumizi ya anasa na ufujaji.