Rais Samia yupo Afrika Kusini, kapotezea kumbukizi ya Hayati Magufuli?

Dikteta uchwala hana sifa za kukumbukwa.
Tanzania ni kubwa kuliko Dikteta wa "mchongo", kamwe hawezi kutupotezea muda wetu wa kuendelea kumkumbuka Kwa maovu yake.
 
Kweli wewe ni mchochezi!!
 
Kwani kuna ubaya gani kwake kuwepo kwenye maadhimisho ya mara moja kwa mwaka?

Huko Afrika Kusini ameenda kufungua nchi au kuifunga?
Wewe umeadhimisha mara ngapi vifo vya ndugu zako?

Unafiki tu na kukosa cha kufanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…