Rais Samia yupo Afrika Kusini, kapotezea kumbukizi ya Hayati Magufuli?

Rais Samia yupo Afrika Kusini, kapotezea kumbukizi ya Hayati Magufuli?

Tofauti na JPM, mada za Nyerere, Mkapa humu JF hoja -ve ni za kuhesabu. Utasoma hata +ve tatu au nne kabla hujakutana na -ve. JPM +ve nyingi unakuta kuna -ve imereply tena kwa hasira na wakati mwingine lugha isiyofaa.

KAMA SIO WATU WALE WALE NA ID TOFAUTI, BASI INAONYESHA HUMU JF WATU WENGI WALIUMIZWA NA UTAWALA WAKE.
Enzi za Mkapa kaachia madaraka na JK kuingia,hapa palikuwa hapatoshi na mada za Mkapa na kashfa za Kiwira,tan green na nyingine tele kama ulikuwepo hapa enzi za 2006-2010.JPM atapumzishwa siku aliyepo madarakani atakapompisha mwingine,mashambulizi yataelekezwa kwa aliyetoka madarakani.Ni kawaida hapa JF.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh

Kipindi fulani hivi cha mihemko.
 
Kipindi fulani hivi cha mihemko.
Sahihi kabisa.Unaona sasa hivi SSH wanashikwa na ka uoga flan kwakuwa yupo madarakani.Subiri atoke madarakani endapo tutajaliwa uhai,ndiyo JPM atapumzishwa wanahamia kwa SSH.Utakumbuka hii comment yangu.JF inafurahisha sana [emoji3]
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Kesho Machi 17 ni miaka miwili ya kumbukizi ya hayati Magufuli.

Rais Samia yupo nje ya nchi, je amekwepa kwa makusudi au bahati mbaya kwenye kumbukizi ya mtangulizi wake?

Ikumbukwe mwaka jana waliadhimisha Rais Samia pamoja na Kaguta Museveni huko Chato. Mwaka huu kulikoni?
kwani wewe umezuiwa kwenda chato? usituchoshe
 
Magu alisema matatizo ya nchi hii asipotatua yeye hakuna atakayetatua baada yake. Mungu ni fundi wa mafundi akaamua kumchukua ili tunaobaki tubakishe maneno. Sioni cha kumkumbukia aende zake
 
Kwa Yesu kuna kila kitu. Kiarabu ni lugha kama kiswahili tu hakina cha kujifunza kwa kitabu kisichonihusu
Si unaona huelewi unajifanya unaelewa.

Qur'an inamhusu kila mtu. Qur'an ni kwa walimwengu wote kwa wakati wote.

Soma.
 
Si mlisema sijui system inaandaa RAIS mara sijui CCM Ina succession management kuliko upinzani mara sijui chuo Cha viongozi ni CCM. Sasa kivipi Tena unayemuita zumbukuku amekua Rais? Kumbe hakuna Cha system Wala succession management.

Urais wa Samia umewaumbua wanafiki wote. Yukwapi Polepole aliyesema ana master plan ya CCM kutawala Hadi 2075!! 🤣🤣🤣
Polepolee alikuwa mjinga sana 🤣
 
Ni kitabu kwa ajili ya waislam pekee. Punguza udini,kiarabu ndo lugha ya walimwengu wote kujifunza pale watakapo

مساء الخير
Si unaona huelewi unajifanya unaelewa.

Qur'an inamhusu kila mtu. Qur'an ni kwa walimwengu wote kwa wakati wote.

Soma.
 
Back
Top Bottom