Rais Samia yupo Afrika Kusini, kapotezea kumbukizi ya Hayati Magufuli?

Maadhimisho kila mwaka ni uharibifu wa fedha na kwanza sio lazima kumuenzi mtu alieumiza watu japo alikua na mazuri yake lakini mpumzisheni aoze vizuri na mifupa isagike.
 
Kesho Machi 17 ni miaka miwili ya kumbukizi ya hayati Magufuli.

Rais Samia yupo nje ya nchi, je amekwepa kwa makusudi au bahati mbaya kwenye kumbukizi ya mtangulizi wake?

Ikumbukwe mwaka jana waliadhimisha Rais Samia pamoja na Kaguta Museveni huko Chato. Mwaka huu kulikoni?
Hebu tumuache Mhe. Rais afanye kazi na tumuache Hayati JPM apumzike kwa amani. Haya maneno kila uchao yanachukiza sana. Tusimtumie Hayati kuleta ufa ktk taifa. 🙏🙏🙏
 
Tofauti na JPM, mada za Nyerere, Mkapa humu JF hoja -ve ni za kuhesabu. Utasoma hata +ve tatu au nne kabla hujakutana na -ve. JPM +ve nyingi unakuta kuna -ve imereply tena kwa hasira na wakati mwingine lugha isiyofaa.

KAMA SIO WATU WALE WALE NA ID TOFAUTI, BASI INAONYESHA HUMU JF WATU WENGI WALIUMIZWA NA UTAWALA WAKE.
 
Kesho Machi 17 ni miaka miwili ya kumbukizi ya hayati Magufuli.

Rais Samia yupo nje ya nchi, je amekwepa kwa makusudi au bahati mbaya kwenye kumbukizi ya mtangulizi wake?

Ikumbukwe mwaka jana waliadhimisha Rais Samia pamoja na Kaguta Museveni huko Chato. Mwaka huu kulikoni?
Hana mda wa kijinga huo,kumbukizi unaweza fanya mwenyewe.
 
Mna moyo kweli.

Yaani pamoja na mihela yote ya plea bargain iliyofichwa China bado unataka Taifa lipoteze muda kumkumbuka dhalimu yule?
 
Kesho Machi 17 ni miaka miwili ya kumbukizi ya hayati Magufuli.

Rais Samia yupo nje ya nchi, je amekwepa kwa makusudi au bahati mbaya kwenye kumbukizi ya mtangulizi wake?

Ikumbukwe mwaka jana waliadhimisha Rais Samia pamoja na Kaguta Museveni huko Chato. Mwaka huu kulikoni?
Dead men don't count.
 
kwani hata asipokuwepo kwani yeye ni Mungu?Awzaye yeye Mungu hawazi hayo.kila jambo na wakati wake.
 
Kwanini ifanyike kila mwaka kwamba akifanyiwa kumbukumbu atarudi mtu ameenda ameenda tu maisha lazima yaendelee
mbona hata marehemu wako unawafanyia kumbukumbu kila mwaka kwani wao ni nani?
 
Kesho Machi 17 ni miaka miwili ya kumbukizi ya hayati Magufuli.

Rais Samia yupo nje ya nchi, je amekwepa kwa makusudi au bahati mbaya kwenye kumbukizi ya mtangulizi wake?

Ikumbukwe mwaka jana waliadhimisha Rais Samia pamoja na Kaguta Museveni huko Chato. Mwaka huu kulikoni?
BREAKING: Taarifa zinazidi kuzagaa, kwa Mzee Rhuksa Mikocheni kuna movements ambazo siyo za kawaida. Usafi unazidi kufanywa na watu wanaingia na kutoka wengi. Kuna kitu kinaendelea ambacho hatukijui au halijawekwa wazi kwa Umma. #TanzaniaLeaks
APOTEZEE NA HII
 
Back
Top Bottom