Rais shtuka! Soon utapigiwa kura ya kutokuwa na Imani na wewe. Spika ana-mobilize wabunge kwa kasi sana, kumbuka hakupendi

Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa kasi sana na Ndugai ndio engineer wa hilo kwa kupitia Wabunge na ameandaa wachangiaji wa kukushutumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono.
Ndugai anaharibu nchi yetu, ashughulikiwe mapema.
 
Nadhani analoongelea mtoa mada ni kuwa mchakato umeshaanza chinichini ili ukiwasilishwa kwa spika uende haraka rais asipate mwanya.Kumbuka hoja ikiwasilishwa kwa spika rais anakaa pembeni kupisha uchunguzi na anakuwa hana mamlaka yoyote

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Katika hili kwa sasa nitajitahidi niwe kimya ili kuona kinachokwenda kutokea. Kiufupi kuna jambo.......

Kwenye siasa lolote linawezekana, na kwa siasa za Tanzania za sasa huenda lolote tusilolitegemea linaweza kutokea kirahisi mnoo.

Kwa yale niliyofanikiwa kuyasikia nyuma ya pazia, tena yakiratibiwa vizuri sana, kila kada wa juu wa CCM hayuko salama kwa nafasi yake kisiasa. Kuanzia mama Samia, Kasimu Majaliwa hadi Ndugai wote wamekaa kimtego mtego sana. Yoyote anaweza kumpiga ngwala mwenzake.

Tusubiri kuona.
 
Ndugai kama ana ubavu aanze kwanza mchakato wa kuvibadilisha baadhi ya vifungu vya Katiba vinavyompa madaraka Rais

Mkuu kumbuka Rais ndio lazima a sign sheria yoyote watakayopitisha bunge....

Pia Rais ndio mwenyekiti wa chama chao so lazima wajue kama watapiga kura ya kutokuwa na imani nae,, basi na wao wasahau ubunge na ufisadi waliofanya watashughulikiwa ipasavyo...

Bila hvo hili bunge ni takataka tu... Hakuna lolote watafanya... Wachumia tumbo wanaogopa sana purukushani za uchaguzi
 
correction ,raisi aliyepo sio mwenyekiti wa chama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa kasi sana na Ndugai ndio engineer wa hilo kwa kupitia Wabunge na ameandaa wachangiaji wa kukushutumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono.

Kwanza wampe uenyekiti was chama haraka sana.
 
"Wanafahamu nani aliamua Katiba ifuatwe na makamu wa rais awe rais?kwani wao walipenda hili litokee?!Walimtaka huyu mama?si wamelazimishwa?!kwani mnadhani hatujui?
Sasa jaribuni muone siku mmepanga kupiga kura badala ya kupiga kura mtapiga selfie mbele ya maderaya na mavifaru hapo mnapopaki mav8 yenu!Baada ya hapo mjiandae kushiriki uchaguzi huru na haki na hambebwi tena!kilanga kiwaishe yaani!😡
 
Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa kasi sana na Ndugai ndio engineer wa hilo kwa kupitia Wabunge na ameandaa wachangiaji wa kukushutumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono.
Mmmmmmh kuna Mbunge ambaye yuko radhi kurudi kwenye uchaguzi ndani ya CCM?, Sidhani kama wanaweza kufanya hivo, maana wakifanya hivo anatangaza kuvunja Bunge, je Mchungaji Gwajima atakubali arudi Kawe kuomba kura?.
 
Wawaulize wenzao wa Urusi nini kiliwatokea baada ya kuleta ujinga kama uwo.Boris yeltsin alituma vifaru kwenye bunge na kulilipua jengo lenyewe la bunge
 
Mmmmmmh kuna Mbunge ambaye yuko radhi kurudi kwenye uchaguzi ndani ya CCM?, Sidhani kama wanaweza kufanya hivo, maana wakifanya hivo anatangaza kuvunja Bunge, je Mchungaji Gwajima atakubali arudi Kawe kuomba kura?.
Achana na njaa ndugu.hakuna anayekubali kuliacha bunge na kwenda kusaka tonge mtaani
.Félix Tshisekedi juzi tu katishia kuvunja bunge, wabunge wote wa kabila wakawa wake.wakampiga chini spika na baraza la mawaziri likafutwa.
 
Binafsi ndugai, majaliwa asiwaamini kwa utawala wa mama kamwe.Mama asambase ma informer kote hasa bungeni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…