Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugai anaharibu nchi yetu, ashughulikiwe mapema.Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa kasi sana na Ndugai ndio engineer wa hilo kwa kupitia Wabunge na ameandaa wachangiaji wa kukushutumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono.
Ngoja tusubiri tuone hii vita itaishaje!Isikubalike hii. Najua vita ni kubwa ila hii isikubalike
Bora iwe hivyo!Hii ni hujuma, kama ndivyo soon bunge litavunjwa turejee kwenye uchaguzi.
Nadhani analoongelea mtoa mada ni kuwa mchakato umeshaanza chinichini ili ukiwasilishwa kwa spika uende haraka rais asipate mwanya.Kumbuka hoja ikiwasilishwa kwa spika rais anakaa pembeni kupisha uchunguzi na anakuwa hana mamlaka yoyoteWatu wanavyo ongea utadhani hiyo kura inapigwa na hapo hapo rais anaachia urais hahaaaaa
Wakasome katiba vizuri waone kama ni rahisi hivyo kutekeleza hilo
Mchakato wa hilo jambo unampa nafasi kubwa sana rais kufanya maamuzi yake kabla hata ya kupiga hiyo kura kwa hiyo hilo haliwezekani kabisaaaaaaa muwe na amani
Hana nguvu ya kudesolve hoja ikishawasilishwa.Anatakiwa akae pembeniNdugai hana akili kujaribu kuwashawishi eti Wabunge wampigie vote of no confidence SASHA; hajui kuwa SASHA ana powers za kudisolve bunge kabla ya kupiga hiyo kura yao!!
Naum....!!!Tanzania hakuna Bunge.
Ndugai kama ana ubavu aanze kwanza mchakato wa kuvibadilisha baadhi ya vifungu vya Katiba vinavyompa madaraka Rais
correction ,raisi aliyepo sio mwenyekiti wa chamaMkuu kumbuka Rais ndio lazima a sign sheria yoyote watakayopitisha bunge....
Pia Rais ndio mwenyekiti wa chama chao so lazima wajue kama watapiga kura ya kutokuwa na imani nae,, basi na wao wasahau ubunge na ufisadi waliofanya watashughulikiwa ipasavyo...
Bila hvo hili bunge ni takataka tu... Hakuna lolote watafanya... Wachumia tumbo wanaogopa sana purukushani za uchaguzi
Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa kasi sana na Ndugai ndio engineer wa hilo kwa kupitia Wabunge na ameandaa wachangiaji wa kukushutumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono.
Mmmmmmh kuna Mbunge ambaye yuko radhi kurudi kwenye uchaguzi ndani ya CCM?, Sidhani kama wanaweza kufanya hivo, maana wakifanya hivo anatangaza kuvunja Bunge, je Mchungaji Gwajima atakubali arudi Kawe kuomba kura?.Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa kasi sana na Ndugai ndio engineer wa hilo kwa kupitia Wabunge na ameandaa wachangiaji wa kukushutumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono.
Kumbuka huyu hajapewa uenyekiti wa chama. Huwa ni ngumu akiwa na kofia mbili....ya chama na serikali.
Kwa jinsi Samia alivyo hivi sasa, CCM wakimpoka kadi tu hana issue[/QUOTE
Mama samia ni Rais wa mpito.hakuna sehemu inayosema kuwa Rais wa mpito ni sharti awe na chama.kwa iyo yeye hata mkimpokonya kadi ni kazi bure tu.kwa iyo bi mkubwa akiamua sizani kama tutawaona tena kina Ndungai
Wawaulize wenzao wa Urusi nini kiliwatokea baada ya kuleta ujinga kama uwo.Boris yeltsin alituma vifaru kwenye bunge na kulilipua jengo lenyewe la bunge"Wanafahamu nani aliamua Katiba ifuatwe na makamu wa rais awe rais?kwani wao walipenda hili litokee?!Walimtaka huyu mama?si wamelazimishwa?!kwani mnadhani hatujui?
Sasa jaribuni muone siku mmepanga kupiga kura badala ya kupiga kura mtapiga selfie mbele ya maderaya na mavifaru hapo mnapopaki mav8 yenu!Baada ya hapo mjiandae kushiriki uchaguzi huru na haki na hambebwi tena!kilanga kiwaishe yaani![emoji35]
Achana na njaa ndugu.hakuna anayekubali kuliacha bunge na kwenda kusaka tonge mtaaniMmmmmmh kuna Mbunge ambaye yuko radhi kurudi kwenye uchaguzi ndani ya CCM?, Sidhani kama wanaweza kufanya hivo, maana wakifanya hivo anatangaza kuvunja Bunge, je Mchungaji Gwajima atakubali arudi Kawe kuomba kura?.