kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huyo alikuwa nomaWawaulize wenzao wa Urusi nini kiliwatokea baada ya kuleta ujinga kama uwo.Boris yeltsin alituma vifaru kwenye bunge na kulilipua jengo lenyewe la bungeView attachment 1752290View attachment 1752291
Mkuu usipuuze watu humu, hatujuani.unakumbuka tetesi za wapi alipo jpm?Ukiswekwa korokoroni kwa kueneza taarifa ambazo hazina ukweli wowote na zinazoweza kuleta taharuki, unaanza kulialia kwamba Uhuru wa habari umeminywa.
Ukiambiwa uthibitishe pasi na shaka yoyote kwamba ni lini spika wa bunge alianza huo mchakato unaanza kulialia kwamba vyombo vya usalama vinatumia nguvu nyingi sana.
Nilichokuelewa hapa unachotaka kufanya wewe na genge lako kwa manufaa unayoyajua wewe ni kutaka kuwepo mgogoro baina ya hii mihimili miwili, kitu ambacho si rahisi kutokea kwa sababu nchi hii watu wanaokuzidi akili ni wengi sana.
Hata mimi nimewaza kama wewe binadamu tumeumbwa na hulka ya tamaa ukipewa kidogo unataka na kikubwa kumbuka Adam na EvaMkuu usipuuze watu humu, hatujuani.unakumbuka tetesi za wapi alipo jpm?
Watashindana lakini hawatashindaMama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa kasi sana na Ndugai ndio engineer wa hilo kwa kupitia Wabunge na ameandaa wachangiaji wa kukushutumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono.
Mgonjwa ghali zaidi dunianiNdugai ni mwizi kama report za CAG zilivyoonesha huko nyuma, na pia anamtumia mkewe ambae ni ded wa Bahi kuliibia taaifa na kutumia uspika wake kuwatisha TAMISEMI wasimchukulie hatua!!
Ndio maana tunamsihi Ummy Mwalimu kuwa asiwe kama Jaffo aliyekuwa muoga kumchukulia hatua yule mama kwa sababu ya kumuogopa Ndugai.
Sio siri kuwa Ndugai kwa ufisadi wake hampendi Rais wetu kwani ameonesha utofauti wa jinsi anavyotaka nchi iendeshwe tofauti na mnafiki Ndugai ambaye alikuwa beneti na mwendazake na leo anampinga!!
Mku alichoongea January Makamba ndio jibu wa hii mada kwani yy alikuwa anawafikishia ujumbe na Watanzania wajue kuna kuna watu wanajambo lao .Ukiona mod wameacha uzi huu uendelee kuwepo,basi ni wazi kuna jamho. Muda utasema.
KabisaBinafsi ndugai, majaliwa asiwaamini kwa utawala wa mama kamwe.Mama asambase ma informer kote hasa bungeni...
Alafu Babu Tele alichaguliwa bila kupingwa, hiyo ina maana Morogoro yote ilikosa Mtu wa kupimana ubavu naye?!! 😭😭😭 Tanzania bhana, ukitafakari hawa wenye hizi ndoto Unaweza kuwasamehe ukasema, they dare to dream!Teh teh teh...unawaongelea wabunge gani kina Babu Tale na kina Kibajaji.
Yaani wana expectations mfu, kwakweli hawa vijana ni vioja!Uchonganishi, vijana Acheni fitina. Mlichopanga hakitakua abadan.
Kila karata mtakayocheza itabuma. Mmekua wachawi siku hizi. Na Mungu atawachapa na kuwasambaratisha kila mtu njia yake.
Uvumilivu tulio onesha tangu 2016 umetuimarisha, hakuna ubaya tutakao shindwa kuvumilia! Wewe mwenyewe hapa tunakubumilia tu, au tufanyeje akati umepatwa na msiba mkubwa majuzi?!Unataka kusema hata akitupeleka hovyo tuvumilie?kisa ananguvu?
Mbona wale covid 19 walifukuzwa uanachama bado Dady kawakumbatia?Mama apambane akabidhiwe uwenyekiti ili pale atakapopata ushahidi wa huu mpango awafukuze uanachama kama wabunge watano hapo ndo watajua hii ngoma sio ya kuicheza.
Ukishafukuzwa uanachama basi mbunge hana nguvu tena na watakaobaki watakuwa na hofu juu ya huo mpango kwani akishafukuzwa uanachama umekula kwa mbunge husika
Naye Ana uwezo wa kuilivunja bunge,Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa kasi sana na Ndugai ndio engineer wa hilo kwa kupitia Wabunge na ameandaa wachangiaji wa kukushutumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono.
Hao wanambeleka ya tasisi ya wanayoitukia na kumbuka Urais ni tasisi kubwa zaidi kwa hiyo Mama ndo jibuMbona wale covid 19 walifukuzwa uanachama bado Dady kawakumbatia?
Hilo genge lisambaratishwe asubuhi mapema,wamwache Mama aendeleze kaziKumtoa Mama Samia madarakani sio rahisi, kama kuna genge linawaza hayo ni vema wajitoe wao sababu ndio wataijua nguvu ya umma,
Wasitufanye sie hatuna akili, wasituchezee, wasitujaribu.
🤣🤣..yule mwamba acha kabisa!binadamu kuna mda wanaudhi sana unaweza jikuta unafanya mambo ya ajabu kabisa!Wawaulize wenzao wa Urusi nini kiliwatokea baada ya kuleta ujinga kama uwo.Boris yeltsin alituma vifaru kwenye bunge na kulilipua jengo lenyewe la bungeView attachment 1752290View attachment 1752291
Patamu hapoMama apambane akabidhiwe uwenyekiti ili pale atakapopata ushahidi wa huu mpango awafukuze uanachama kama wabunge watano hapo ndo watajua hii ngoma sio ya kuicheza.
Ukishafukuzwa uanachama basi mbunge hana nguvu tena na watakaobaki watakuwa na hofu juu ya huo mpango kwani akishafukuzwa uanachama umekula kwa mbunge husika
Gwajima ndo Nani mkuu. Au yule mla watu!Mmmmmmh kuna Mbunge ambaye yuko radhi kurudi kwenye uchaguzi ndani ya CCM?, Sidhani kama wanaweza kufanya hivo, maana wakifanya hivo anatangaza kuvunja Bunge, je Mchungaji Gwajima atakubali arudi Kawe kuomba kura?.