Ukiswekwa korokoroni kwa kueneza taarifa ambazo hazina ukweli wowote na zinazoweza kuleta taharuki, unaanza kulialia kwamba Uhuru wa habari umeminywa.
Ukiambiwa uthibitishe pasi na shaka yoyote kwamba ni lini spika wa bunge alianza huo mchakato unaanza kulialia kwamba vyombo vya usalama vinatumia nguvu nyingi sana.
Nilichokuelewa hapa unachotaka kufanya wewe na genge lako kwa manufaa unayoyajua wewe ni kutaka kuwepo mgogoro baina ya hii mihimili miwili, kitu ambacho si rahisi kutokea kwa sababu nchi hii watu wanaokuzidi akili ni wengi sana.