Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Haruhusiwi kuvunja bunge mchakato unapoanzaHao wabunge hawanana ubavu huo wakifanya hivyo bunge litavunjwa na wote wanarudi kwenye uchaguzi na ningumu kupita vile wengi walibebwa na beleko.
Yaani watulindie tu hii hazina Mungu alituletea katikati ya Jehanamu. Mlindeni mama yetu tunaomba saaaanaSiyo rahisi kihivyo kumbuka watu wa system wapo macho muda wote
Hivi anakabidhiwa lini? Mbona wanachelewa? Ni haki yake apewe harakaSamia hajakabidhiwa uenyekiti wa chama bado. Kwahiyo kwasasa ni rahisi mno kumtupa nje mama Samia
Ndipo jeshi litachukua nchi, halafu maji mtaima mmaaaKama ndugai atafanya hivyo atafanya jambo lililojema sababu sio yeye tu na wabunge hata wananchi hawana Imani nae kabisa huyo Mama
Lete sukariMama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa Kasi sana na ndugui ndo engineer wa Hilo kwa kupitia wabunge na ameanda wachangiaji wa kukushtumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono
Mimi nataka 4+5+5+5=19 ili tunyooke. Apatikane mtu ambaye atatuthamini.Na wakimpa uenyekiti wa chama tu kazi kwisha inakuwa 4+5=9.
A
Hawana huo ubavu aisee wanataka kutupa hasara ka taifa haoSukuma gang ikiongozwa na Ndugai, Gwajima na Bashiru (GS wa ccm)
Hawana heshima kwa Rais na hyo trend alianza mwigulu, Leo na mwona kibajaji anamfundisha Raisi Cha kufanya.Mkuu hata mimi napata hizi hisia,, wabunge wameanza kumdirect mama nini cha kufanya, wanataka afate nyayo za jiwe utadhani mama yeye hana fikra, utadhani mama hana akili yeyote, na wanawashangiliana.
Nilimsikia mbunge eti anamwonya mama. Kibajaji nae kachomoa ya kuchomoa yake anamtaka mama afate nyayo za jiwe.
Napata wasiwasi.
Mama anatakiwa kutengua na kuteua haraka sana. Asilale kwani wenzake wako fasta.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Apokwe na Nani? Mama ana sapoti kubwa mno,Kumbuka kundi lisilompenda mama kundi la wasukuma ambao bungeni hawafiki 30%.Na wakianza hivyo jeshi litakuwa na uhalali wa kupindua serikali na kukaa pale kwa muda watakaotaka.Tunafahamu ugumu wa mchakato wa kulifanikisha hili lkn mama hana nguvu maana siyo mwenyekiti wa chama. Kwahiyo anaweza kupokwa kadi ya ccm.
Siyo kubebwa na mbeleko tu, Bali kura za CCM zilijazwa kwenye "ballot boxes" baada ya kuhitimishwa shughuli za uchaguzi kwa msaada wa manjago!Hao wabunge hawanana ubavu huo wakifanya hivyo bunge litavunjwa na wote wanarudi kwenye uchaguzi na ningumu kupita vile wengi walibebwa na beleko.
Ofisi ya mama ndio Superior Ofisi ndani ya nchi hii ina Resources na Watu wa kila aina kuanzia economists, Analysts, engineers, doctors, Lawyers tena loyal tu ambao ni vetted, Ofisi ya Rais ni very powerful indeed mpaka wewe umehisi kuna hujuma basi kama zipo tayari Taasisi itakuwa imeziona na Wata rectify on timely fashioned.Uko sahihi!
Kuna mtandao wa hatari wa kumhujumu mama. Wanajifanya watetezi wa Magufuli lakini wana ajenda yao nyuma ya pazia ya kuhujumu utawala wa mama.
Mama anatakiwa ashitukemapema,vinginevyo hiyo movement atashindwa kuidhibiti.
Unataka kusema hata akitupeleka hovyo tuvumilie?kisa ananguvu?Ofisi ya mama ndio Superior Ofisi ndani ya nchi hii ina Resources na Watu wa kila aina kuanzia economists, Analysts, engineers, doctors, Lawyers tena loyal tu ambao ni vetted, Ofisi ya Rais ni very powerful indeed mpaka wewe umehisi kuna hujuma basi kama zipo tayari Taasisi itakuwa imeziona na Wata rectify on timely fashioned
Tumuamini mama na panapohitaji ushauri Tutoe, Type ya watu kama Spika ni wakuupuzwa kwa sababu wamekuwa kama wafa maji na kawa hawajui Nguvu aliyopewa Rais na Katiba yetu hii wajaribu waone moto
Acha uongo.Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa Kasi sana na ndugui ndo engineer wa Hilo kwa kupitia wabunge na ameanda wachangiaji wa kukushtumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono
Huo muswada ili uwe Sheria baada ya kupitishwa na bunge lazima usainiwe na Rais. Au watamvizia akiwa usingizini amelala?Tetesi isiiyo na tija hii. Kwa Tanzania bado sana.
Ndugai kama ana ubavu aanze kwanza mchakato wa kuvibadilisha baadhi ya vifungu vya Katiba vinavyompa madaraka Rais (na Mwenyekiti wa CCM) kulithibiti Bunge/Wabunge wa CCM
Mama akiwa wapi? Unafikiri hakuna vijana wanao mpenyezea mama hizo taarifa?Suppose wakamwahi mama kabla ya kulivunja! So atakuwa ametolewa kiulaini
Weka ushahidi kama anazungukwa watu humsema hata Mungu,maraisi kusemwa na kuzungukwa na wabunge mbona ni kawaida alisema Kikwete na hadi kuitwa dhaifu, amekuja mwendazake pamoja na mazuri yote aliyoyafanyia nchi hii bado mnamusema, hakuna binadamu asiye semwa na ambaye hasemi,hata wewe ni mmojawapo,kwani mama sio malaika.Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa Kasi sana na ndugui ndo engineer wa Hilo kwa kupitia wabunge na ameanda wachangiaji wa kukushtumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono