Rais shtuka! Soon utapigiwa kura ya kutokuwa na Imani na wewe. Spika ana-mobilize wabunge kwa kasi sana, kumbuka hakupendi

Hao Wabunge hawana ubavu huo wakifanya hivyo Bunge litavunjwa na wote wanarudi kwenye Uchaguzi na ni ngumu kupita vile wengi walibebwa na beleko.
Washavuta mikopo wana hasara gani? na huku uchaguzi wenyewe hawakutumia nguvu wala takrima? Kwa ufupi mama awe fair na asiendekeze anti Magufuli kumshauri! Hekima, busara na her security channel zitamsaidia. Tunamuombea atuvushe salama.
 
Bashiru alikuwaga GS wa chama. Cheo kilijifuta automatically alipoteuliwa kuwa KMK na kuhamia ikulu, serikalini.

Everyday is Saturday............................... 😎
Duuh! Asante sana mkuu kwa chakula hiki cha ubongo. Sikulijua hili.

Kwahiyo kwa Sasa CCM haina mwenyekiti na haina katibu????
 
Huu ni unafiki na uongo, rais anapendwa na wabunge na wanamuunga mkono kumsaidia na kumshauri. Ila wambea na wenye roho mbaya ndio wanatamani ugomvi, ili ionekane rais na wabunge kuna mgogoro. Siku zote watu hawa ni masikini wa pesa na akili
 
Tetesi isiiyo na tija hii. Kwa Tanzania bado sana.

Ndugai kama ana ubavu aanze kwanza mchakato wa kuvibadilisha baadhi ya vifungu vya Katiba vinavyompa madaraka Rais (na Mwenyekiti wa CCM) kulithibiti Bunge/Wabunge wa CCM
ATATOKA YEYE KWENYE USABUFA!🤣🤣🤣
 
Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa kasi sana na Ndugai ndio engineer wa hilo kwa kupitia Wabunge na ameandaa wachangiaji wa kukushutumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono.
Wakithubutu imekula kwao, Rais bado anaweza kulivunja bunge wote wakaangukia pua!
 
Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa kasi sana na Ndugai ndio engineer wa hilo kwa kupitia Wabunge na ameandaa wachangiaji wa kukushutumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono.
Tanzania mapichapicha
 
Washavuta mikopo wana hasara gani? na huku uchaguzi wenyewe hawakutumia nguvu wala takrima? Kwa ufupi mama awe fair na asiendekeze anti Magufuli kumshauri! Hekima, busara na her security channel zitamsaidia. Tunamuombea atuvushe salama.
Mataga team praise and worship umeshaanza kulegeza msimamo.

Hahahah.... lilikuwa ni suala la muda tu.
 
Duuh! Asante sana mkuu kwa chakula hiki cha ubongo. Sikulijua hili.

Kwahiyo kwa Sasa CCM haina mwenyekiti na haina katibu????
Wala katibu muenezi hawana, ndiyo maana Polepole yupo yupo tu.. Alipoteuliwa ubunge viti maalum, akapoteza ukatibu uenezi.

Everyday is Saturday................................😎
 
Kasome katiba vizuri Kura ya kumuondoa Rais madarakani inamchakato mrefu na mgumu kufanikisha ni ngumu Sana na pia ikifanikiwa jua na Bunge litakuwa limejivunja lenyewe mbunge gani Yuko tayari apoteze ubunge saa hizi wakati hajasahu mziki wa Kura za Naomi achilia uchaguzi mkuu
 
Tunafahamu ugumu wa mchakato wa kulifanikisha hili lkn mama hana nguvu maana siyo mwenyekiti wa chama. Kwahiyo anaweza kupokwa kadi ya ccm.
Kwa tamzania hajatokea mbabe wa namna hiyo
 
Kama anafikiria hivyo ataondoka Ndugai ataondoka asubuhi tu. Mwenyekiti was chama ataamuru wabunge wa CCM wakae kama caucus na kupitisha hoja ya bunge kutokuwa na imani na spika. Mwisho wa game. Usicheze na Rais. Kwa katiba hii ana nguvu kweli kweli!
Upo sahihi kabisa
 
Ilipangwa apewe mwezi mei. Lkn kuna manyang'au yanadai mwendazake amewanyanyasa Sana kwasabb alikuwa na kofia zote 2. Hivyo wanapiga kampeni Samia asipewe uenyekiti.
Isikubalike hii. Najua vita ni kubwa ila hii isikubalike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…