MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
Washavuta mikopo wana hasara gani? na huku uchaguzi wenyewe hawakutumia nguvu wala takrima? Kwa ufupi mama awe fair na asiendekeze anti Magufuli kumshauri! Hekima, busara na her security channel zitamsaidia. Tunamuombea atuvushe salama.Hao Wabunge hawana ubavu huo wakifanya hivyo Bunge litavunjwa na wote wanarudi kwenye Uchaguzi na ni ngumu kupita vile wengi walibebwa na beleko.