Mzee wa old school
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 873
- 1,405
Ninyi si mlibeza kikombe cha Babu? Mkatunga na uongo kwamba, waliokunya wamekufa... akati kuna watu wengi walokunywa wametoa ushuhuda wamepona...Wamejitoa!?!?sasa ARV itakuwaje?
Hii ni ya kukaa nayo kwa tahadhari sana, sina hakika kama WHO watakubali kiwepesi kiasi hichi.Kwamba sasa hii ni dalili litazuka gonjwa la ajabu muda si mrefu...
Kujitoa kwao kutasababisha upungufu wa fedha za kununua chanjo muhimu kama vile ile ya polio na kifua kikuu.
Nitoke nje kidogo ya ninachotaka kuelezea. Biden alisaini hii kabla ya kuondoka Ikulu.
WHO wana wafadhili, wanao jitoa ni Serikali ya USA ila wafadhili binafisi hata walioko Marekani wataendelea kufadhili WHOHii inatoa ishara kubwa miradi mingi ya afya hapa Tanzania huenda ikadorora, hususani HIV, Malaria, uzazi salama, TB na tafiti za afya.
Kwenye hili amebugi sana, japo mimi ni supporter wakeView attachment 3208429
Rais wa Marekani Donald Trump leo amesaini executive order ya kuindoa US kwenye uanachama wa Shirika La Afya Duniani (WHO).
Trump aliwahi kutoa shutuma nyingi dhidi ya WHO wakati wa kipindi cha Covid na aliashiria kujitoa.
US inachangia karibia asilimia 18 ya bajeti ya WHO.
Soma zaidi hapa: Donald Trump signs order to withdraw US from World Health Organization
kwani kuna ubaya? trump ni mwendawazimu ambae atafeli vibayaHivi kwa nini Director wa WHO ameamua kuja Tanzania na kutoa msaada wakati wa kuapishwa kwa Trump ambaye alishaashiria kujitoa?
Ha ha ha kwa wajomba siyo?!Zamaulid, tuangalia Mataifa ya Makobasi yatusaidie
Itasaidia na watu kuwa makini maana saivi mwenye ukimwi na mzima huwezi kumtofautishaKuhusu wenye ukimwi waachwe wafe siku hizi hakuna ukimwi wa bahati mbaya.Wakafe mbele kwa uasherati wao.
Kabisa mkuu. Naiwazia Basket Fund inavyo tusaidia huku Afya.Hii inatoa ishara kubwa miradi mingi ya afya hapa Tanzania huenda ikadorora, hususani HIV, Malaria, uzazi salama, TB na tafiti za afya.
Mhh, Ngabu nyie hamtaki panado huko marekani?WHO haina manufaa yoyoye kwa Wamarekani!
... du marekani si wa kubeza hivyo...kwa msaada wa watu wa marekaniSi wanasemma mchina super power. Na mrus watazbaa gap. et marekan si lolote
Bradha dunia lazima iendelee maana arv zinachochea ukimwi.Watu wanapata nguvu kisha wanaendelea kuueneza waachwe wafe.Itasaidia na watu kuwa makini maana saivi mwenye ukimwi na mzima huwezi kumtofautisha
Mpka net za zahanat mkwa mmsaadaa wawatu wa marekan... du marekani si wa kubeza hivyo...kwa msaada wa watu wa marekani
kumbuka wakati akiwa rais mara ya kwanza,alizuia fedha za marekani lakini hatukudororaKabisa mkuu. Naiwazia Basket Fund inavyo tusaidia huku Afya.
Tulidorora aisee,ni vigumu huku kada ya Afya kutegemea Makusanyo ya papo pekee na bima ili kuweza kutekeleza activities zote muhimu.kumbuka wakati akiwa rais mara ya kwanza,alizuia fedha za marekani lakini hatukudorora
Nashukuru kwa ufafanuzi kuhusu ARV, kwasisi tunaopenda chini angalau hatukuwa na hofu tukiukwaa dawa nafuu zitapatikana, zikiwa gharama au pungufu hali itakuww tete. Kuku wanakufa hivi👇ARV siku zote zinauzwa. Wanachokifanya Serikali ya Marekani kupitia PEPFAR, ni kununua haya madawa kutoka kwenye kampuni kubwa za Madawa halafu wanatugaia kama Msaada as part of their "soft policy" bure. Offcourse baadae lazima upanue.
Athari ni ndogo sana. Almost none. Msaada wa ARV's kutoka marekani ni Direct Funding na hazipitii WHO. Nimehakikishiwa PEPFAR itakuwepo, anagalabu kwa sasa.
Kuku wanakufaje?🤣
Wanavyosema wataalam ARV hazichochei UKIMWI zinapunguza.Bradha dunia lazima iendelee maana arv zinachochea ukimwi.Watu wanapata nguvu kisha wanaendelea kuueneza waachwe wafe.
Utasubiri sana mpaka uzeeke ila Donald Trump ndiye ATAFANIKIWA sana katika marais wote wa kuanzia mwaka 2000. Sababu hizi hapa:-kwani kuna ubaya? trump ni mwendawazimu ambae atafeli vibaya