PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Likija swala la uchangiaji kwenye mashirika ya kimataifa, China huwa inajiweka kwenye kundi la nchi zinazoendelewa sawa na Tanzania. Hata mchango inaotoa mara nyingi huwa specifica kwa mambo yanayoihusu yenyewe, haingizi hela kwenye pool.
Pamoja na yote hayo, bado China ndiyo imeteka influence ya WHO, viongozi wa WHO huwa na wepesi kwenye mapendekezo or interests za China na kupuuza wengine.
Katika awamu yake ya kwanza Trump aliwahi kuinya kuhusu hili, lakini hakueleweka.