Rais Trump amesaini amri ya kuiondoa Marekani kwenye uanachama wa Shirika la Afya Duniani (WHO)

Rais Trump amesaini amri ya kuiondoa Marekani kwenye uanachama wa Shirika la Afya Duniani (WHO)

Likija swala la uchangiaji kwenye mashirika ya kimataifa, China huwa inajiweka kwenye kundi la nchi zinazoendelewa sawa na Tanzania. Hata mchango inaotoa mara nyingi huwa specifica kwa mambo yanayoihusu yenyewe, haingizi hela kwenye pool.
Pamoja na yote hayo, bado China ndiyo imeteka influence ya WHO, viongozi wa WHO huwa na wepesi kwenye mapendekezo or interests za China na kupuuza wengine.
Katika awamu yake ya kwanza Trump aliwahi kuinya kuhusu hili, lakini hakueleweka.
 
Dr Mwaka na Isaac ndodi watapiga pesa plus wamasai acha kabisa!!

Lakini mbona kama tulikua pro active vile!!?

Humphrey pole pole so yupo Cuba kule na program zake za za mitishamba zilishaanza!!?

Nakubali!

Mwaka
Fursa hii mkuu na mimi ngoja nitafute mizizi feki, ndio muda wa kupiga pesa huu, usisahau na kina mwamposa sasa watajaza watu mara dufu
 
Turudi kwenye tiba asilia tulizosema za kishenzi
SAhihi kavisa.
Nipo D.C sa huu, nimekutana na MAGA operatives, banasema hivyo hivyo.

Wanasema, miaka mia moja tu iliyopita tulikuwa tukitumia dawa asili ama mitishamba, ila kwa sababu hawa "Pharmaceuticals Industrial Complex" Magonjwa yameongezeka kutokana na kemikali zilizomo ndani za madawa.

Alinichekesha aliposema, his words
' they have been shaming us' akimaanisha hawa PIC kwa kusema ' stop using natural ingredients from sharmans' wakidai zinaua lol, wakati dawa zao ndizo zinazofanya watu wafe.

Alisema, wanatengeneza madawa yasiyotibu ili urudi kununua. In short, Imekuwa Biashara.
 
Rais Donald J. Trump ametia saini agizo la kuiondoa Marekani kutoka Shirika la Afya Duniani(WHO) 20 Januari 2025, muda mfupi baada ya kuapishwa kwake

Uamuzi huu umezua mjadala na wasiwasi mkubwa miongoni mwa wataalam wa Afya duniani.

Rais Donald Trump alitaja sababu kadhaa za Marekani kujiondoa kwenye Shirika la Afya Duniani (WHO). Moja ya sababu hizo ni tofauti katika michango ya Kifedha, akibainisha kuwa China pamoja na Idadi kubwa ya watu(population over a billion) inalipa karibia US$40 wakati Marekani yenye idadi ndogo inalipa zaidi ya US$400.

Source:USAToday.
=======
My take
Tuamke.
Wangemuambia tu China aongeze mchango Jamani 🤭
 
Ajitoe na kusapoti siasa

Ile ya kutosa mashoga ni uamuzi mzuri, now who

Amalizie tu siasa
 
Back
Top Bottom