Rais Trump asitisha ufadhili wa Marekani kwa Shirika la Afya Duniani (WHO)

Rais Trump asitisha ufadhili wa Marekani kwa Shirika la Afya Duniani (WHO)

Hela zenyewe za kuachiwa na dingi ake la sivyo angekua bonge la fala,ushawahi kuona raisi anagoma kutoa tax records zake?ndio yeye sasa na inshort US inaongozwa na muhuni kwa sasa.

Kwa pesa alizoachiwa 1980'shata angeziweka tu huko kwny Index Fund angekua tajiri mara 5 ya sasa hivi,jamaa ni kilaza biashara zote hizi alizoanzisha zimefeli from:

Trump University
Trump Airlines
Trump Vodka
Trump Magazine
Trump World
Trump Steaks
Trump’s Vegas steak house
Trump Mortgage
Trump Casinos
Trump charity ventures
Trump game ventures
Trump luxury travel
Trump Ice bottled water
Trump Fire carbonated fruit drinks
Trump America
Trumpnet Corporate telephone service
Trump Tower Tampa
Trump Serta Mattresses
Trump Colognes
Trump Shirts

Inshort jamaa ni looser tu na utajiri wake huko states uko debatable sana, he's not that rich.

Financial Times wanakwambia 'he may have few billion based on the total gross value of the properties Trump companies own, but as for the net values probably far less than a billion.'
Akili za kimaskini izi..

Sent from my SM-A105G using Tapatalk
 
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
emoji56.png
Kwahio kila asiokua na hayo uloyaorodhesha kama ww anakua hana akili
emoji23.png
emoji23.png

Leo hii umekua unashindwa kutofautisha uwezo wamali na akili

Pole sana kijana.

Sent using My COVID-19
🤣🤣🤣Nimeweka hizo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji56]Kwahio kila asiokua na hayo uloyaorodhesha kama ww anakua hana akili[emoji23][emoji23]

Leo hii umekua unashindwa kutofautisha uwezo wamali na akili

Pole sana kijana.

Sent using My COVID-19
Naona unajitekenya na kucheka mwenyewe😆😆😆 nilijua tu hizo picha zitakupa wenge uache nilichokiandika na kukimbilia kujadili picha, yaan hapo ni sawa na umeuliza hivi 'ambao sio POTUS hawana akili?'
Watu smart kama akina Mark Zuckerberg, bill gates, Elon Musk, Page, nk hawawezi kuchagua kilaza kuwaongoza. Trump na Rais anayeongoza wananchi wa race karibia zote dunia, hata waajemi wenzio kibao tu wanaongozwa na Bwana Trump.
 
Yaani unapigana vita.., umezidiwa..., alafu unaamua kuacha kuwapa msaada wa risasi majemadari wako..., sijui hapo unamkomoa nani ?
 
Kaduguda, Hawa jamaa WHO ni wapuuzi sana, wanaelekea kuteketeza dunia kwa uoga wa kuiogopa china, wangestuka mapema na kutoa taarifa yote haya yasingetokea. Pia China anastahili adhabu kwa kuruhusu hii kirusi isambae duniani..

Kwasasa USA tunawaombe wache msaada uendelee tutakwisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Walikosea sana walipokua wanaogopa kumwambia china ukweli
 
Kwan kujua kama US Ndio Nchi Yenye Deni Kubwa Inayo Daiwa Na UCHINA Nayo Inahitajia Kuwa Gavana [emoji16][emoji16][emoji16]

US Zama Zake Zinaelekea Ukingoni Apishe Wengine tena.

Sent using My COVID-19
Zama za maAyatollah ndo ziko ukingoni, MaAyatollah yakishakuwa chali, na mashia yote chalii[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa namuelewa huyu mzee ila nimekuja kugundua ana tabia moja mbaya sana ya kutokubali kuwajibika kwa mambo ya kipuuzi anayokuwa kafanya. Hapendi kabisa kukosolewa na haamini kabisa kama hua anakosea. Ni mwepesi sana wa kuhamisha lawama hata msala unapokuwa umetokana na yeye mwenyewe. Hii ngoma ilikuja anaiona na alikuwa na muda wa kutosha kupambana nayo ila akaishia kubeza taarifa na ushauri wa wataalam wa afya kwa kasumba yake ya kuamini kila asichokiona na kukiamini nasi ni mbinu za mahasim wake kisiasa kumtoa relini. Msala umeanza Wuhan akawa fed na intelligence kuhusu hii kitu, ikahamia South Korea, Ikaingia Japan ye yupo tu, msala ukazivagaa zile meli za abjria ambazo baadae zikawa zinanyimwa kudock kwenye bandari mbalimbali. Ngoma imeingia ulaya imeanza kufagia mitaa ndo anashtuka kuzuia safari za anga. Msala umefika California bado hakuupa uzito sana mara paap ngoma iko New York inaxhinja kila inaekutana nae leo badala akubali alizingua anawashika uchawi China na WHO, tukisema huyu mzee atakuwa memba wa cha Arusha die hard fans wake wanatuita Warusi na Wairani wa tandahimba. Trump ee pumbavu kila ukihema
 
Sifa ya kiongoz ni kuwa responsible kwa yanayotokea na sio kutupia lawama watu wengine
 
Akili kubwa siku zote ni zile ambazo zinakupa maisha. Alafu zingine ndio zinafata
wengne wapo tayari kuuwa wapate mali na utajiri wengine wapo tayari kufanya biashara haramu wapte mali na utajiri

Hata escobar ana mipesa yakushato ila bado sio kigezo chakumuona ana akili

Au ww pia huna pesa zakumfikia mwana wa trump ila unaweza ukawa una akili kuliko familia nzima ya yule mpuuzi.

Sent using My COVID-19

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimeweka hizo
Naona unajitekenya na kucheka mwenyewe[emoji38][emoji38][emoji38] nilijua tu hizo picha zitakupa wenge uache nilichokiandika na kukimbilia kujadili picha, yaan hapo ni sawa na umeuliza hivi 'ambao sio POTUS hawana akili?'
Watu smart kama akina Mark Zuckerberg, bill gates, Elon Musk, Page, nk hawawezi kuchagua kilaza kuwaongoza. Trump na Rais anayeongoza wananchi wa race karibia zote dunia, hata waajemi wenzio kibao tu wanaongozwa na Bwana Trump.
Ndio ulipomaliza kufikiria kwan huko uajemi hakuna hao wa US wanao ongozwa ?!

Sent using My COVID-19
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Zama za maAyatollah ndo ziko ukingoni, MaAyatollah yakishakuwa chali, na mashia yote chalii[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
IRAN Pamoja Nakunyimwa Misaada Namikopo Kama Monetary Fund Bado Inapambana Kiume Wakati wao US Ndio Kwanza Wanachukua Maamuzi Yakujitoa WHO [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using My COVID-19
 
hahaha uko mamtoni ya manzese..third world ambayo wazaz wako ndio walikutana wakatombana na ukatokea wewe , tena hospital mojawapo ya tanzania, leo hii unadharau unaiita nchi uliyozaliwa third world...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpumbavu hajibiwi.
Wait for your gift
 
mfa maji haishi kutapatapa !!

na he will continue to burry more us citizens for his arrogance and non ending complaining...ni vile tu anashindwa.kusema ila ameshachoka urais tunasubiri muda ufike tu atambae zake

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe huna staha wala busara hata kidogo.

Do you give money to an unbiased organization that is biased? Probably not. Take Trump out of the equation. Now pretend you are a CEO or COO You’re company is relying on truthful info, and your competitor has just covered up a scandal that can physically hurt not just your company but all the people that work for you, their families, and friends, and any strangers they come in contact with. This includes all of the people you sell a product to, including distributors around the world. Huge impact. It’s a domino effect. Now... what were you saying?
.
BTW i reported your comment to Mods
 
Masaki ndio wap Hata kama ningekua naishi mogadishu haiondoi ukwel kama kale kazew hakana akili ama kashazeeka mpaka akili imeruka

Mzee atajitoa mpaka kwenye familia yake yule alvyokua hana akili sawa sawa.

Sent using My COVID-19
Okay Ayatollah
 
Kama wanavofanya super power [emoji23][emoji23][emoji23] super power waliona wao wanaweza kila kitu sasa hv wanalalamika tu shunakenge miti zao[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using My COVID-19
Unayajua madhara ya US kuacha kutoa funds kwa WHO au unabwata tu?
 
Back
Top Bottom