Rais Trump awapa siku tatu Hamas kuwaachia mateka wanaoshikiliwa

Kuhamisha wa palastine ni ngumu sana kwasababu kuna shirikisha nchi nyingi hapo mashariki ya kati, hiyo ni impossible kabisa
Kwa mtizamo wetu tunaweza kuona ni impossible kabisa. Lakini hebu tumpe muda...... si amesema atafanya? Cha msingi hapo ni asituombe au kutulazimisha tumpe msaada au Ushirikiano e.g. kutoa maeneo ya ardhi mahali pa kuwaweka hao wapalestina wake n.k. Baada ya hapo itajulikana kama ni impossible au sio.
 
Meli zake za Kijesh zimepigwa sana apo na Yemen na akuna Wamefanya awajamaa naona kama Wameamua kujaribu mala ya Mwisho Wakishindwa Manake sasa itaundwa tu Taifa la Palestina yumkini Wakapiga marufuko MEDIA ya Al jazeera ili Wafiche uhalifu wao!!! Ngoja tuone àkili za mlokole!
 
Aisée🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ubabe,ubabe!
 
Masikini ya Mungu hata kuandika tu kiswahili hujui, eti unatoa ushauri wa kivita. Mudi aliwatapeli sana kudeal na elimu ya ahera kuwa mtapewa mabikra 72 so elimu dunia haina maana. Angalia ulichoandika sasa
 
Chuma wapi PUTO tu uyo kizeee kikiona Mbunye akili yote inaama!! pale amna mtu kajaa upepo tu!! IRAN si alikula kona uyu Babu au sio uyu!!!!
Mkuu huyu ni rais wa kuigwa anaongea na anafanya.
 
Wanaume wa Yemen wamesema hii mbungi itaanza upya trump(fool) angaalie

#Yemen

Key points from the speech of Ansar Allah leader Sayyed Abdul-Malik Badreddine Al-Houthi:

- Some people imagine that if America wants something, it simply says "Be," and it is, and that failure is impossible for the Americans.


- Will Trump buy the Gaza Strip from its people, who have stood firm and held onto their rights for 15 months amid an unparalleled genocide and aggression?


- Sayyed Abdul-Malik Al-Houthi addressing Trump: Do you, foolish and ignorant, think that after all their unmatched resilience and immense sacrifice, the honorable people of Gaza will sell you their homeland?!


- From whom will you buy Gaza, you ignorant and reckless fool?! You treat everything as a business transaction and assume everyone is willing to bargain with you!


- The conditions are ripe for Arabs, Muslims, and Palestinians to unite in their stance against America's attempts to displace the Palestinian people from Gaza, the West Bank, or any part of Palestine.


- The "Israeli" enemy must understand that no matter how much it relies on the Americans, it will not achieve its goals if it escalates.


- The "Israeli" enemy is stalling on implementing the second phase of the agreement, and if it chooses escalation, it will be met with Palestinian steadfastness.


- If the enemy escalates, the free people of the Ummah will stand with the Palestinian people, and we will continue our stance.


- Our fingers are on the trigger, and we are ready to escalate immediately against the "Israeli" enemy if it resumes aggression on Gaza.


- If the enemy resumes escalation, it will return to the conditions and dangers of war in security, military, and economic terms, regardless of American support.


- It is not in Netanyahu's interest to launch a new aggression, thinking that things will go smoothly.

#Military_Media
 
Mbona apigi IRAN tumuone kweli yeye ndio kiongozi wa Ile USA ya zama zileee!!
Mmh! Na ww bhana; Yeye anazungumzia HAMAS huko Gaza, sasa huko Iran unakosema ww; kwani kuna HAMAS??
 
Atukatai lkn uwezi kuwafananisha Mpalestine yani Hamas na mwanajesh mwengine jamaaa wapo kama Taleban Wakijua haki ni kupigana ujue iyo vita itachukue ata miaka 50+
Jumapili Mziki unaanza tena mpaka Hamas waishe.
 
Pia ana ubaguzi frani hivi, anawafukuza wahamiaji wanaoomba hifadhi kama wakimbizi huko US, lakini anawakaribisha Wazungu wa South Africa kuja kuishi US kama wakimbizi walionyang'anywa aridha yao huko SA 😎
Mkuu; unataka umpangie Trump aendeshe nchi yake kwa namna unayoona ww inafaa?
Pia na ww inaonekana unakaubaguzi fulani hivi: Kwa mfano unasema anawafukuza Wahamiaji (Haijatajwa ni weusi, weupe wekundu n.k.) wanaoomba (manake amekataa)........ lakini tena baadaye unataja categorically kwamba anawakaribisha Wazungu wa South Africa ..... kwani ni wazungu tuu waliokaribishwa kwenda kuishi USA kama wakimbizi? Hao wazungu waliomba au walikaribishwa tuu just like that alimradi ni mzungu (Race)?
 
“…we have given Hamas ‘till Saturday noon to release the Israel captives, i know they will act tough guys, we will see how tough they are…” Trump! Hili ‘biti’ limekaa kibabe sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…