Rais Tshisekedi siku zake zinahesabika

Wengi hawafahamu ukweli huu. Mkongomani yuko radhi asajiliwe kwenye band ya fally pupa au kofii bure kuliko kuajiriwa na jeshi lao kwa malipo.
 
Congo wako vizuri sana kwa upande wa tukunyema na kibinda nkoi. Ila mapambano ya ana kwa ana na jeshi la Rwanda hawawezi.
 
Halafu Hivi lakini kwa akili yako, Rwanda aipige DRC Tanzania unafikiri itaangalia tu?! Hahahah, unachekesha ndugu..; Rwanda iache kufadhili M23 , hiyo ndio bottom line.., hakuna excuse.
 
Kagame mnamtukuza mno.
Kagame kaongoza Ragtag rebels na kukomesha Genocide mbaya kabisa kuwahi kutokea kwenye Ardhi ya Afrika.

Kagame kaligeuza jeshi la Msituni na kulifanya kuwa Jeshi lenye nidhamu ya hali ya juu kabisa Barani Afrika

Sifa zake tumpe Myonge mnyongeni.
 
Wakati wa Mobutu, alipeleka Majeshi yake Rwanda kwenda kupambana na RPF. wakachapwa, baada ya Serikali ya Rwanda kuondolewa na Waasi, Jeshi la zamani likakimbilia DRC, na mimi naamini mpaka leo linalindwa na elements kwenye Regime ya Kinshasa.
 
Halafu Hivi lakini kwa akili yako, Rwanda aipige DRC Tanzania unafikiri itaangalia tu?! Hahahah, unachekesha ndugu..; Rwanda iache kufadhili M23 , hiyo ndio bottom line.., hakuna excuse.
Swala la Tanzania kuingilia vita ya Congo na Rwanda ni lingine.
Ninachozungumza ni kuwa endapo Congo na Rwanda zitaingia vitani bila usaidizi wa nchi jirani, basi Tshisekedi atatekwa mchana kweupe na dunia inashuhudia.
 
Kagame kaongoza Ragtag rebels na kukomesha Genocide mbaya kabisa kuwahi kutokea kwenye Ardhi ya Afrika.

Kagame kaligeuza jeshi la Msituni na kulifanya kuwa Jeshi lenye nidhamu ya hali ya juu kabisa Barani Afrika

Sifa zake tumpe Myonge mnyongeni.
Vijana wanataka kufananisha jeshi lenye uweledi wa vita na lile la wacheza kibinda nkoi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umeandika utumbo mahaba
 
Kwa nini mnaanzisha threads kwa stori za vijiweni?
 
Hebu angalao hata ulisome tu jeshi la drc, labda litegemee miujiza ya uchawi ili masasi yawe mayi.
Ndombolooooo ndombolo ya solo![emoji849][emoji1787][emoji1787] Na niwachawi kweli ila nadhani wana experience kubwa ya mapigano maana kule kumekua na machafuko mara kwa mara
 
Kagame kaongoza Ragtag rebels na kukomesha Genocide mbaya kabisa kuwahi kutokea kwenye Ardhi ya Afrika.

Kagame kaligeuza jeshi la Msituni na kulifanya kuwa Jeshi lenye nidhamu ya hali ya juu kabisa Barani Afrika

Sifa zake tumpe Myonge mnyongeni.
Genocide alianzisha nani!?..waluawa wangapi wa kabila gani!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…