Kamuulize ruto alivyowatimua kwake wale waliotumwa kumuua kipindi cha nyuma.Kaagiza Ruto apigwe risasi ngapi?
dogo achana na hizo maneno za hovyo hovyo, heshimu matokeo ya uchaguzi na heshimu walioshinda.
Kamuulize ruto alivyowatimua kwake wale waliotumwa kumuua kipindi cha nyuma.
Kisha umuulize yule mlinzi wa ruto ambaye ni askari nani alimuua.
Uko sahihi mkuu. NEC uiunde mwenyewe na kura feki uzilete na mpira ukimbie nao,vitu vya ajabu kabisa kuwahi kutokea nchini.Haya yanayotokea hapa kwetu atakuwa anayaona mambo ya kishamba sana, kutofutiana itikadi ndio unamuona mwenzio adui, mpaka anakimbia nchi aliyozaliwa upo kimya husemi chochote?!
Ofcoz Kama mngeibiwa watu wangetoka, ila we both know watu tulireact aje, najua hamkuamini na mliumia sana.Ni kweli, tungekuwa na support kubwa tungekwenda kwenye box la kura na kura kwenye mabeg.
kuto kukubali kushindwa ni tabia ya wanaoshindwa wote hata Trump mzungu hataki kukubali itakuwa wewe, lissu na bwege?Ule haukuwa uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Ofcoz Kama mngeibiwa watu wangetoka, ila we both know watu tulireact aje, najua hamkuamini na mliumia sana.
kuto kukubali kushindwa ni tabia ya wanaoshindwa wote hata Trump mzungu hataki kukubali itakuwa wewe, lissu na bwege?
Tanzania 🇹🇿 kuingia uchumi wa kati majirani wamenuna,kujenga uchumi siyo uadui majirani wajue namna bora ya kushindana pasipo kuingiza siasa
Wapuuzi hawa miguna miguna, yule babu Wamekaa sana lupango mambo yametulia baada ya Uhuru kujipendekeza kwa Odinga.Mbona asimuruhusu Miguna miguna kurudi Kenya kuishi kwa Amani? nchi zote za EAC ni hovyo linapokuja swala la uchaguzi.
Ukweli inauma naona kakuchoma penyeweAwapokee tu na kazi awape kabisa.
Basi na wewe nenda kenya au ubelgiji kama umeumia sana.Kura za kwenye mabeg tumeziona kwa macho yetu. Umwagaji wa damu tumeuona. Matokeo ya uongo pia tumeyaona. Sasa sijui unatuambia nini.
Mmeona kwa macho halafu mkazichoma. Mburura nyie. Mtasubiri sana na huyo beberu wenu.Kura za kwenye mabeg tumeziona kwa macho yetu. Umwagaji wa damu tumeuona. Matokeo ya uongo pia tumeyaona. Sasa sijui unatuambia nini.