Rais Uhuru Kenyatta: Nchi jirani zinahitaji siasa ambazo ushindani si uadui na vita

Rais Uhuru Kenyatta: Nchi jirani zinahitaji siasa ambazo ushindani si uadui na vita

Kama 2017 kwako ni 'primitive past' you must be kidding. Ukiacha enzi za Mau Mau, hakuna kipindi siasa za Kenya zimesababisha mauaji makubwa na ukiukwaji wa haki za binadam kama uchaguzi Mkuu wa 2017. Na hadi leo hii mambo bado hayajakaa sawa - fuatilia mzozo kati ya Uhuru na Ruto, pia kesi ya Wakili Gicheru inayoendelea sasa ICC. Nasema tena, Kenya sio ya kuinyooshea kidole TZ kwa changamoto za kisiasa. Tuna changamoto ndiyo, lakini wao ni zaidi.
They will never appreciate your comment, ndugu. Nawajua! Kenya is being manipulated by Western & European imperialist powers to distabilize our country. Since we defeated them regarding corona pandemic, things have never been the same again.
 
Mkuu Philemon Mikael, kwa hiyo tumlinganishe Mwalimu Nyerere na Mzee Kenyatta kwa mabaya yaliyofanyika kwenye enzi zao?

Kuna kumbukumbu zozote ulizonazo kuhusu Mwalimu kuhimiza yeye moja kwa moja kuwadhuru raia zake, kama huko kuwapeleka maporini kuliwa na simba; au hayo ni matokeo mabaya ya watendaji kuhusu utekelezaji wa yaliyokuwa yameamriwa na vikao?

Unaweza kweli ukalinganisha unyama wa Kenyatta aliokuwa akiwafanyia waliokuwa wakipinga mambo yake kama akina JM Kariuki na ubinaadam aliokuwa nao Mwalimu?

Sijasema hapa kwamba hapakufanyika makosa chini ya utawala wa Mwalimu, lakini kuwalinganisha Kenyatta na Mwalimu ni kupotosha maksudi kabisa.

Huyu Kenyatta wa sasa, hata yeye sio msafi kivile. Anajaribu sana sasa hivi kujisafisha, lakini mabaya aliyofanya katika ngwe yake ya kwanza na katika chaguzi zake zote mbili na hata kabla ya hapo, makosa yaliyompeleka ICC yote hayo hayaonyeshi usafi wowote.

Kenya wameua watu wengi, maelfu kwa kila chaguzi wanazofanya. Hawana chochote cha kujivunia zidi ya nchi nyingine.

Naomba nisieleweke kuwa nawatetea hawa waliopo madarakani sasa wanaotupeleka kwenye mambo ya kusikitisha sana ndani ya taifa letu.
They really hoped we would die by thousands bs of post-election violence. Sasa ndicho kinachowakera kwa vile ramli zao za kishetani zimekataa kutimia.
 
East africa kiongozi ambae ni civilized educated and matured ni Uhuru pekee wote ni primitives.
Civilization, education na maturity havipimwi kwa kauli za vimaneno tu vya siku moja kutoka kwa mtu ambaye ameshindwa kuelewana hata na Makamu Rais wake tu. Anajua ndiyo hivyo anaiga siasa na pia ananipendekeza kwa wafadhili wake.
 
Nini hicho?.
Wewe unao huo ushahidi wa kuibiwa kura?

Mmeibiwa kura ngapi?
Kwenye vituo kipi ngapi na kipi ngapi?

Mnao huo ushahidi au ni malalamiko tu kama yale ya trump?
Screenshot_20201101-101529.jpg
 
Eti hofu ya wananchi, sio hofu, ni kuridhika na support kubwa aliyonayo ya the silent majority. Huwaga mnadisregard kabisa tuliompigia kura, as if hakuna tunaomkubali.
Sudan, Zimbabwe walikuwa wanaandamana, huwezi wa linganisha wale na ccm, imewakuza wote hao.
You guys have no idea of ccm, na bado 2025.
2015 enyewe na popularity ya lowasa bado viti vya ubunge hamkufika hata nusu ya ccm, afu eti sasa hivi mmeibiwa, nyinyi toka multipartism inaanza 90's huko, mnaibiwa kila chaguzi, si wajinga nyinyi
 
Angalau anawafanyia "fitna" ya kisiasa ..hajawapiga ,kuwafunga ,kuwauwa au kuwateka huwezi kuhalalisha ukandamizaji unaoendelea hapa na fitna za kisiasa ....hata hapa wakati wa Kikwete wapinzani walikuwa wanfanyiwa fitna ...kwenye siasa fitna ndio namna ya siasa .....not below the belt .
Huyo Miguna kitendo alichokifanya ni treasonable .....kumuapisha kiongozi wa Upinzani aliyeshindwa kama rais wa jamuhuri...alafu baada ya hapo huyo Raila badala ya kushtakiwa kwa uhaini anaunga mkono juhudi ....amemjeuka Miguna ..unategemea arudi Kenya afanye nini sasa ......lakini zaidi ana uraia wa Canada ...tayati , sisi hapa kwetu asingeweza hata kuruusiwa kwakuwa hatuna uraia pacha .
Angalia sasa unavyojichanganya kama rangi za maji! Kama kosa la Miguna liliamount kuwa treasonable, kama unavyodai, kwa nini basi asipimiwe Raila kosa hilohilo, tena kubwa zaidi, kwa sababu yeye alikuwa ndiye key player??? "Triple-standard!!!" Kuhusu fitina ya Uhuru kwa Rutto, usisahau hiyo ni miaka 2 kabla ya uchaguzi mkuu! Imagine kuja kufika twenty-twenty two itakuwaje??? Halafu, who killed Chris Musando --- IEBC Chief IT Officer??? Unadai Uhuru ni Rais wa Kenya kihalali, why have those guys refused to open the servers since then???
 
Huyu ndie alipelekwa the Hague wakahonga mashahidi.
Baada ya kutafuna pesa za misaada ya Co vid anataka kupata pesa za wahisani za kujifanya anataka demokrasia bahati nzuri uchaguzi wao haupo mbali
 
Dah, we uchumi ni mwepesi sana bhana [emoji1787]
Hata last election, licha ya kwamba it was the safest, wameuana zaidi ya zanzibar.

Alafu bandari mbona sisi tunazo kuwazidi, foreign exchange is nuthn, hela yao ina thamani Sawa na Yen ya Japan, hela ya Tz ni ndogo ila inafanya manunuzi mengi kushinda same amount ukiwa Kenya.

Uchumi achana nao bhana, tubase kwa siasa
Wewe acha uongo ,ukiwa na tsh elfu 26 unanunua mifuko miwili ya cement kutoka kenya , je elfu ngapi utanunua mifuko mieili ya cement ya Tz?

Sent from my TECNO CF8 using JamiiForums mobile app
 
Angalia sasa unavyojichanganya kama rangi za maji! Kama kosa la Miguna liliamount kuwa treasonable, kama unavyodai, kwa nini basi asipimiwe Raila kosa hilohilo, tena kubwa zaidi, kwa sababu yeye alikuwa ndiye key player??? "Triple-standard!!!" Kuhusu fitina ya Uhuru kwa Rutto, usisahau hiyo ni miaka 2 kabla ya uchaguzi mkuu! Imagine kuja kufika twenty-twenty two itakuwaje??? Halafu, who killed Chris Musando --- IEBC Chief IT Officer??? Unadai Uhuru ni Rais wa Kenya kihalali, why have those guys refused to open the servers since then???h

Haya BASI TUSEME RAIS JOHN JOSEPH MAGUFULI NI RAIS WA MFANO ANAYEONGOZA KWA DEMOKRASIA NA HAKI ZA BINADAMU ...USHINDI WAKE WA KISHINDO NI ISHARA KUWA ANAPENDWA NA WATU WAKE ....NA HAKUNA MALALAMIKO YEYOTE ....
WAPINZANI WAKE WANA UHURU WA KUFANYA SIASA IKIWEMO MIKUTANO YA HADHARA
 
Haya BASI TUSEME RAIS JOHN JOSEPH MAGUFULI NI RAIS WA MFANO ANAYEONGOZA KWA DEMOKRASIA NA HAKI ZA BINADAMU ...USHINDI WAKE WA KISHINDO NI ISHARA KUWA ANAPENDWA NA WATU WAKE ....NA HAKUNA MALALAMIKO YEYOTE ....
WAPINZANI WAKE WANA UHURU WA KUFANYA SIASA IKIWEMO MIKUTANO YA HADHARA
You are very right! Marekebisho kidogo tu kwamba hao wapinzani wajifunze kutuliza midomo yao inayowasha halafu pia wafanye siasa za kizalendo, siyo ushari na uhuni wa kutamani madaraka kinafiki na kugawa nchi kwa mabepari.

Ingekuwa ni Ulaya ama Marekani, kitendo chao cha kushinikizwa na kudhaminiwa na mataifa ya nje kingewadisqualify kuingia kwenye kinyang'anyiro chochote cha uchaguzi. Shame!
 
You are very right! Marekebisho kidogo tu kwamba hao wapinzani wajifunze kutuliza midomo yao inayowasha halafu pia wafanye siasa za kizalendo, siyo ushari na uhuni wa kutamani madaraka kinafiki na kugawa nchi kwa mabepari. Ingekuwa ni Ulaya ama Marekani, kitendo chao cha kushinikizwa na kudhaminiwa na mataifa ya nje kingewadisqualify kuingia kwenye kinyang'anyiro chochote cha uchaguzi. Shame!
Sawa Twaib......
Ahaaa umeshiba wewe ...angalia usivimbiwe ukatapikia viatu vyako ......Huwezi kuona madhara ya unachoshabikia leo ..ila wataona watoto wetu na wajukuu zetu na vizazi....vyetu ....Mungu atusamehe.....!
 
Siasa zetu zemekua za kishamba sana, kura zilizoandaliwa kwaajili ya watu fulani zinapenyezwa kwenye sanduku la kura na tukihoji tunapewa kibano na vyombo vya dola.
Don't worry my sister....alianguka Farao jitu kubwa....wakina goriath na mabavu yao......mpaka wakina idd amini na kina Mobutu seseseko......

Ndo ikawe hawa mbuzi.......mwisho wao wa kuimiliki nchi yetu Kama Mali ya familia zao utafika
 
Don't worry my sister....alianguka Farao jitu kubwa....wakina goriath na mabavu yao......mpaka wakina idd amini na kina Mobutu seseseko......

Ndo ikawe hawa mbuzi.......mwisho wao wa kuimiliki nchi yetu Kama Mali ya familia zao utafika
Amen 🙏🏾 kaka
 
Katika kile unachoweza kutafsiri kama ni Kenya kuguswa na siasa mpya za Tanzania, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesistiza ustahimilivu wa kisiasa hasa kwa nchi zilizoizunguka. Amesema uchaguzi unafaa kuleta utangamano wa nchi na siyo kinyume chake.

Amedai kuwa siyo siri nchi zinazoizunguka Kenya hazina utulivu mzuri wa kisiasa kama ilivyozoeleka. Amedai kuwa kukosekana kwa utulivu kwa jirani ni hatari kwa Kenya.

Huku akipigiwa makofi na wabunge Rais Kenyatta, amesisitiza kuwa wanasiasa wazee wasiwachokoze wanasiasa vijana badala yake wawalee kwa upendo.

=======

Katika hotuba yake Bungeni, Rais Kenyatta amesema:

Nchi nyingi jirani zetu leo zinahitaji kupeana mikono. Wanahitaji siasa ambazo ushindani haugeuki uadui na vita. Wanahitaji viongozi wa kisiasa waliolenga kujumuisha vijana na waliokata tamaa, bila kuwachochea kuasi dhidi ya nchi zao na wazee wao.

Tumejifunza kama Wakenya kwamba uchaguzi pekee hauwezi kuleta amani na umoja kwa watu waliogawanyika. Kwa hilo, viongozi lazima waafikiane na kuwa madaraja ya kuwavusha watu keuelekea kwenye usalama na ustawi.

------------

Many neighboring countries today need a handshake. They need politics in which competition is not turned into enmity and war. They need political leaders focused on including the young and desperate, not inciting them to revolt against their countries and their elders.

We have learned as Kenyans that elections alone cannot bring peace and unity to a divided people. For that, leaders must reach out to each other and build bridges over turbulent waters to allow the people to cross into safety and prosperity.


Ujumbe huu umfikie bwana yule wa burigi na rafiki zake
 
Useless pieces of papers?.
Unajua hizo karatasi zilikamatwa lini?
You cannot collect some useless pieces of papers halafu ukadai kama ndio ushahidi. Kama mambo yangekuwa hivyo kisheria na kimantiki, basi kila mtu ANGESHINDA na KUSHINDWA kesi! Najua kuelewa hapo huwezi!
 
Back
Top Bottom