Rais Uhuru Kenyatta: Nchi jirani zinahitaji siasa ambazo ushindani si uadui na vita

Rais Uhuru Kenyatta: Nchi jirani zinahitaji siasa ambazo ushindani si uadui na vita

Civilization, education na maturity havipimwi kwa kauli za vimaneno tu vya siku moja kutoka kwa mtu ambaye ameshindwa kuelewana hata na Makamu Rais wake tu. Anajua ndiyo hivyo anaiga siasa na pia ananipendekeza kwa wafadhili wake.

Sio mchakato wa siku moja ni muendelezo wa majumuisho,we uoni makamu ndo mwenye matatizo jiwe type Kenya wakifanya tu kosa imekula kwao.Wenzetu
Watu waliokosa malezi Bora utotoni awapewi hata umonita darasani
 
Sasa unamfananisha Uhuru Kenyatta na loser kama Mawe au nani hasa?

Stop this nonsense wewe!

Kenya is leading this region in democracy na uchumi by far...huwezi fananisha na haya ma monkey dictators with nothing in their heads...

Chumi zao mbovu,democracy zao zipo kwenye disarray..International relations zao ni mavi...no happyness in those nations,etc

Umfananishe Uhuru na these monkeys?

Like really?

Stop this nonsense wewe
Clearly, you are either confused or desperate; both are conditions of a failed individual. Ndiyo maana kwako binadamu ni tumbili. I hope one day you will regret this childish, thoughtless statement.
 
Sio mchakato wa siku moja ni muendelezo wa majumuisho,we uoni makamu ndo mwenye matatizo jiwe type Kenya wakifanya tu kosa imekula kwao.Wenzetu
Watu waliokosa malezi Bora utotoni awapewi hata umonita darasani
Nadhani hujui unachozungumza; Uhuru ni an outright betrayer na puppet kama tu Mzungu wenu yule mliyemwajiri awavurugie na kuwaulia chama.
 
Sawa Twaib......
Ahaaa umeshiba wewe ...angalia usivimbiwe ukatapikia viatu vyako ......Huwezi kuona madhara ya unachoshabikia leo ..ila wataona watoto wetu na wajukuu zetu na vizazi....vyetu ....Mungu atusamehe.....!
Bila shaka wewe ndiye ambaye huwezi kuona manufaa ya mambo mazuri unayoyapinga leo; watoto wetu watakuja kushangaa tuliweza kusavaivu na aina ya watu sampuli yako.
 
Kwa Ukweli,NAMPENDA SANA RAIS KENYATA.NI MFANO BORA WA MA-RAIS AFRICA NZIMA.HAKUNA KAMA YEYE.Alishinda U-Rais akaambiwa na mahakama Uchaguzi haukuwa huru na haki,kwa Hiyo Uchaguzi urudiwe Tena,na akakubali urudiwe.HAKUNA RAIS YEYOTE MWA-FRICA ANGEKUBALI HIYO KITU.NASEMA HAKUNA.Uchaguzi ulirudiwa na akashinda tena.Mungu akubariki Sana RAIS Kenyatta,UISHI MAISHA MAREFU.Umekuwa MFANO wa kuigwa.UNASTAHILI "NISHANI".
Amruhusu miguna miguna arudi kenya aishi kwa amani.
Pia aiombe radhi familia ya Chris Musando, kwa kuuwawa kikatili.
 
Tanzania hasa toka Magufuli aingie madarakani nchi imepoteza kabisa mwelekeo na heshima iliyokuwa nayo.

Nchi imeingia kwenye orodha ya mataifa yenye kukiuka haki za binadamu na yenye utawala usioheshimu misingi ya sheria na uhuni uliofanywa kwenye uchaguzi ndio umeimaliza kabisa hii serikali.
 
Uchochezi wa kisiasa. Huyu pia yuko kwenye mission ili kuuonyesha uso wa dunia kuwa Tanzania sio sehemu salama.

Huko kwao kuna tatizo la ukabila, mbona hakuwachukua na kuwahifadhi wale wazee wa Kenya walelewe kwa upendo na vijana wake wenye upendo ?
Tatizo la ukabila ni jambo jingine na utatuzi wake kamwe hauwezi kua sawasawa na kutatua matatizo ya siasa za kishamba na ujinga unaoenda hadi kwenye chaguzi.Ila pia pamoja na ukabila namatatizo ya wakenya wao wameanza safari ya kweli ya maendeleo kwasababu wamekua wazi na wanajipa muda wakutafakari matatizo yao nakutafuta njia bora zakuyatatua badala yakujifanya hayapo..Wakiendelea hivyo amini nakwambia miaka 20 ijayo watakua mbali sana kwenye kila nyanja.
 
Tatizo la ukabila ni jambo jingine na utatuzi wake kamwe hauwezi kua sawasawa na kutatua matatizo ya siasa za kishamba na ujinga unaoenda hadi kwenye chaguzi.Ila pia pamoja na ukabila namatatizo ya wakenya wao wameanza safari ya kweli ya maendeleo kwasababu wamekua wazi na wanajipa muda wakutafakari matatizo yao nakutafuta njia bora zakuyatatua badala yakujifanya hayapo..Wakiendelea hivyo amini nakwambia miaka 20 ijayo watakua mbali sana kwenye kila nyanja.
Asante kwa maoni yako. Tuombe uzima ili tujionee yote uliyasema hapo.

Naomba unisaidie kujibu hayo maswali yaliyorushwa hapa jana na JF member .

Dear,
Uhuru Kenyatta:

1. Tunajua hii ni ngwe yako ya mwisho katika utawala ndiyo maana unasahau haraka ulikotoka. Ingekuwa muhula wako wa kwanza huu, kamwe usingethubutu hata kusogelea hiyo maiki.

2. Uliwatisha sana na kuwaondolea ulinzi majaji wa Supreme Court, akiwepo Jaji Mkuu Mr Maraga, hadi leo hampatani na hata mapendekezo yake ya kuwapitisha majaji zaidi ya 40 umeyaweka pending kwa kuyapuuza kwa vile unajua anastaafu Januari mwakani.

3. Miguna Miguna ---- wakili na mwanasheria yuko wapi??? Mbona hayuko Kenya tangu ukwapue utawala???

4. Pls Mr Uhuru, open the IEBC servers ya zile matokeo dufu ili Raila ajue alipata kura ngapi, sawa???

5. Who brutally killed Chris Msando, chief expert wa IT katika ile Tume ya Uchaguzi/IEBC???

Copy: William S. Rutto (Vice President, UR-Kenya. I hope you are paying attention to what your sly boss is doing. Muulize kwa nini anakusakama mno wewe, halafu loyalists wako kawavuruga-vurugu???).

FYI: 2022 RUTTO4Presisent of Kenya.
 
Angalia sasa unavyojichanganya kama rangi za maji! Kama kosa la Miguna liliamount kuwa treasonable, kama unavyodai, kwa nini basi asipimiwe Raila kosa hilohilo, tena kubwa zaidi, kwa sababu yeye alikuwa ndiye key player??? "Triple-standard!!!" Kuhusu fitina ya Uhuru kwa Rutto, usisahau hiyo ni miaka 2 kabla ya uchaguzi mkuu! Imagine kuja kufika twenty-twenty two itakuwaje??? Halafu, who killed Chris Musando --- IEBC Chief IT Officer??? Unadai Uhuru ni Rais wa Kenya kihalali, why have those guys refused to open the servers since then???
Asante Asante
 
Kweli tuna hali mbaya, yaani tumefikia hatua ya kushauriwa na Kenya kuhusu Demokrasia na Utawala bora kweli??? CCM, CCM lawama zote hizi ni zenu.... Mungu anawaona!!!
 
Back
Top Bottom