Rais Uhuru Kenyatta: Nchi jirani zinahitaji siasa ambazo ushindani si uadui na vita

They will never appreciate your comment, ndugu. Nawajua! Kenya is being manipulated by Western & European imperialist powers to distabilize our country. Since we defeated them regarding corona pandemic, things have never been the same again.
 
They really hoped we would die by thousands bs of post-election violence. Sasa ndicho kinachowakera kwa vile ramli zao za kishetani zimekataa kutimia.
 
East africa kiongozi ambae ni civilized educated and matured ni Uhuru pekee wote ni primitives.
Civilization, education na maturity havipimwi kwa kauli za vimaneno tu vya siku moja kutoka kwa mtu ambaye ameshindwa kuelewana hata na Makamu Rais wake tu. Anajua ndiyo hivyo anaiga siasa na pia ananipendekeza kwa wafadhili wake.
 
Eti hofu ya wananchi, sio hofu, ni kuridhika na support kubwa aliyonayo ya the silent majority. Huwaga mnadisregard kabisa tuliompigia kura, as if hakuna tunaomkubali.
Sudan, Zimbabwe walikuwa wanaandamana, huwezi wa linganisha wale na ccm, imewakuza wote hao.
You guys have no idea of ccm, na bado 2025.
2015 enyewe na popularity ya lowasa bado viti vya ubunge hamkufika hata nusu ya ccm, afu eti sasa hivi mmeibiwa, nyinyi toka multipartism inaanza 90's huko, mnaibiwa kila chaguzi, si wajinga nyinyi
 
Angalia sasa unavyojichanganya kama rangi za maji! Kama kosa la Miguna liliamount kuwa treasonable, kama unavyodai, kwa nini basi asipimiwe Raila kosa hilohilo, tena kubwa zaidi, kwa sababu yeye alikuwa ndiye key player??? "Triple-standard!!!" Kuhusu fitina ya Uhuru kwa Rutto, usisahau hiyo ni miaka 2 kabla ya uchaguzi mkuu! Imagine kuja kufika twenty-twenty two itakuwaje??? Halafu, who killed Chris Musando --- IEBC Chief IT Officer??? Unadai Uhuru ni Rais wa Kenya kihalali, why have those guys refused to open the servers since then???
 
Huyu ndie alipelekwa the Hague wakahonga mashahidi.
Baada ya kutafuna pesa za misaada ya Co vid anataka kupata pesa za wahisani za kujifanya anataka demokrasia bahati nzuri uchaguzi wao haupo mbali
 
Rais WA Kura zilizobebwa kwenye mabegi na vikapu vya sokoni anahutubia leo Kikao cha Chama chake Dodoma.
 
Wewe acha uongo ,ukiwa na tsh elfu 26 unanunua mifuko miwili ya cement kutoka kenya , je elfu ngapi utanunua mifuko mieili ya cement ya Tz?

Sent from my TECNO CF8 using JamiiForums mobile app
 

Haya BASI TUSEME RAIS JOHN JOSEPH MAGUFULI NI RAIS WA MFANO ANAYEONGOZA KWA DEMOKRASIA NA HAKI ZA BINADAMU ...USHINDI WAKE WA KISHINDO NI ISHARA KUWA ANAPENDWA NA WATU WAKE ....NA HAKUNA MALALAMIKO YEYOTE ....
WAPINZANI WAKE WANA UHURU WA KUFANYA SIASA IKIWEMO MIKUTANO YA HADHARA
 
You are very right! Marekebisho kidogo tu kwamba hao wapinzani wajifunze kutuliza midomo yao inayowasha halafu pia wafanye siasa za kizalendo, siyo ushari na uhuni wa kutamani madaraka kinafiki na kugawa nchi kwa mabepari.

Ingekuwa ni Ulaya ama Marekani, kitendo chao cha kushinikizwa na kudhaminiwa na mataifa ya nje kingewadisqualify kuingia kwenye kinyang'anyiro chochote cha uchaguzi. Shame!
 
Sawa Twaib......
Ahaaa umeshiba wewe ...angalia usivimbiwe ukatapikia viatu vyako ......Huwezi kuona madhara ya unachoshabikia leo ..ila wataona watoto wetu na wajukuu zetu na vizazi....vyetu ....Mungu atusamehe.....!
 
Siasa zetu zemekua za kishamba sana, kura zilizoandaliwa kwaajili ya watu fulani zinapenyezwa kwenye sanduku la kura na tukihoji tunapewa kibano na vyombo vya dola.
Don't worry my sister....alianguka Farao jitu kubwa....wakina goriath na mabavu yao......mpaka wakina idd amini na kina Mobutu seseseko......

Ndo ikawe hawa mbuzi.......mwisho wao wa kuimiliki nchi yetu Kama Mali ya familia zao utafika
 
Don't worry my sister....alianguka Farao jitu kubwa....wakina goriath na mabavu yao......mpaka wakina idd amini na kina Mobutu seseseko......

Ndo ikawe hawa mbuzi.......mwisho wao wa kuimiliki nchi yetu Kama Mali ya familia zao utafika
Amen 🙏🏾 kaka
 
Ujumbe huu umfikie bwana yule wa burigi na rafiki zake
 
Useless pieces of papers?.
Unajua hizo karatasi zilikamatwa lini?
You cannot collect some useless pieces of papers halafu ukadai kama ndio ushahidi. Kama mambo yangekuwa hivyo kisheria na kimantiki, basi kila mtu ANGESHINDA na KUSHINDWA kesi! Najua kuelewa hapo huwezi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…