Rais, viongozi na watu wengine watakaoguswa na jambo hili naombeni msaada wa kupata passport

Anasaidiwaje sasa na hajasema shida yake wala yeye ni nani ukizingatia humu anatumia jina la uongo?
Aseme ajulikane amalizwe juu juu,Nadhani ameonyesha anajambo lakusikilizwa,Kana Mh Rais au wasaidizi wake wamepata sms hii wanaweza kumtafuta nakujua kwa undani nini kimemsibu..
 

Bado ujasema tatizo lako! Liseme kwanza; huna cha kusaidiwa ulichosema zaidi ya tatizo la kuombwa rushwa!

Sema uonevu uliofanyiwa, kuombwa rushwa sio uonevu, wake zetu wanaombwa nyuchi kila siku, tumlilie rais? Wanapaswa tu kusema hapana!

Dogo kuliko kulia lia hapa, sema rushwa ni Kiasi gani tuone Kama unaweza saidika; hii nchi rushwa ni soft drinks kwa joto la Dar es salaam!
 
Unatakiwa utoe rushwa ili ufanyiwe nini? Sasa useme tuone kamw hicho unachodai ni halali yako au nawe unataka upewe kitu usichostahili?
Usikete mada za kipumbavu eti usaidiwe halafu husemi msaada gani.
 
Niliambiwa nitoe million 1 nipewe passport
Unatakiwa utoe rushwa ili ufanyiwe nini? Sasa useme tuone kamw hicho unachodai ni halali yako au nawe unataka upewe kitu usichostahili?
Usikete mada za kipumbavu eti usaidiwe halafu husemi msaada gani.
 
Weka bayana mkuu.
 
Mkuu asante Sana ila nitakupa pm sababu kwa maeneo ombayo nimepita kuomba msaada hasa viongozi nao walitaka pesa. Hivyo kuweka namba direct hapa naimani usalama utakuwa mdogo ila ukipenda nikupe pm
Unamjua huyo unayetaja kumpa hiyo namba ya simu huko pm? Labda ni huyo aliyekuomba rushwa ambayo husemi ni ya nini?
 
sasa unataka msaada alafu unaficha kwamba unataka raisi aje inbox kwako akuulize shida nn

hao walio kunyanyasa wako sahihi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…