Rais Vladimir Putin amesema Urusi itaanza kuunda makombora mapya!


Mtaalamu wetu wa Nuclear hapa TZ Dr.Bilal yeye aliamua kua mwanasiasa ndio uzalendo wake uliishia pale,so no 'Sweti'.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nimesoma andiko lako hapo, na pamoja na kuwa na na hoja murua, bado haijabatilisha hoja ya Jay One kuwa US wana uchumi mkubwa, na ili kuweza kuhimili vita unahitaji kuwa na uchumi mkuwa, Pamoja na kuleta hoja ya PPP, assumption kubwa sana ambayo ipo kwenye hoja yako ni kuwa kama Urusi na Marekani wanapewa kiwango sawa cha fedha. Sasa badili hiyo assumption usema Marekani apewe mara 10 ya Urusi, conclusion inabadilika kabisa. Sasa, the reality is, Marekani ni far, far richer kuliko Urusi kiasi kwamba hata kama PPP inawa favor Urusi, bado Marekani atanunua/tengeneza vifaru vingi kuliko Urusi (according to your example). Kitu cha pili ambacho pia ume overlook ni technology. Hata kama Urusi ataishia kutengeneza vifaa vingi, technology advantage aliyonayo Marekani ita more that compensate numerical advantage atakayokuwa nayo Mrusi. Korea ya kaskazini ina submarines nyingi kuliko nchi yeyote duniani including Marekani, lakini zipo obsolete sana. Submarine moja tu ya Marekani yaweza kuiangamiza Korea nzima. Trump amemwambia Putin point blank kuwa ukitaka mashindano ya silaha, sawa lakini wewe ndo utashindwa. Kwa hiyo bado hoja ya Jay One ina mashiko, hata uki consider PPP.
 
Usijidangaye. Kwa kukusaidia, ebu google Ohio Class Submarines halafu usome mavitu. Au soma link niliyotoa hapo juu.
 
Mkuu makombora/silaha za masafa mafupi na ya kati ni hatari kuliko ya masafa marefu??
Naomba ufafanuzi kama ni kweli, kwa nini?
 
Ok, I know the end justifies the means but sometimes achieving military victory with a massive human loss equates to impregnating a beautiful girl you so much coveted but ending up acquiring HIV in the process.

It's an achievement of one's personal ego in disguise which is not worth boasting.

The massive human loss the Russians sustained in the WWII prompted them to adopt the policy of developing more defensive weapons than the offensive ones because that calamity has remained indelible in their minds to date.
 
Hoja ya Marekani kuwa tajiri haina ubishi wowote ule, hata mimi sijaibishia kabisa. Lakini ambacho mimi nitaendelea kuwaambia siku zote ni kwamba vita huwezi kushinda kwa kuwa na uchumi mkubwa tu. Unasema nyambizi ya Marekani inaweza kuharibu Korea yote, mbona hata nyambizi za Ufaransa zinaweza kufanya hivyo ??? Marekani ana nguvu lakini hawezi kucheza na Urusi kama anavyocheza na Korea, Syria au Libya. Hana huo uwezo..
 

Again you disregard the realities of history: The reality is that it is the Western Alliance that adopted a defensive strategy after the second world war and not the Soviet Union: The Russians were on the offensive. Refer these examples:
-Europe formed NATO out of the fear of Soviet Military Aggrandizement.
-President Harry S Truman adopted The Containment Policy out of the fear of Soviet Communism.
-The Berlin Crisis of 1948 happened because the Soviets wanted to annex the whole of Germany.
-The Marshall Plan was adopted to rule out the European from the snares of communism.
-It was the Soviet Union that started the Korean War of 1950-53 and not the Western Alliance.
-Soviets invaded Hungary in 1956 and Czechoslovakia in 1968.

How were they defensive my friend ????

NB: Russian Federation has adopted a defensive strategy, and the Russian Federation is not the Soviet Union.
 
Inazidi kuonyesha kuwa namba si hoja na sija-discredit nyambizi za Ufaransa. Marekani hana uwezo wa kucheza na Urusi ila ana uwezo wa kumpiga kama si kutoka sare. Ila usisahau wale Russian mercenaries wenye support ya Russia walivyopigwa na Marekani vibaya sana, na jinsi Marekani na washirka wake walivyotuma cruise missiles Syria, in total disregard ya Russia warning kuwa watatungua missiles zanyewe na kupiga kule zilikorushiwa Silaha nyingi za Urusi ni defensive in nature so the best katika vita na US, watamalizana wote, otherwise atashindwa tu. Urusi hawezi ku project power yake mbali na Urusi, ukilinganisha na Marekani.
 
Usijidangaye. Kwa kukusaidia, ebu google Ohio Class Submarines halafu usome mavitu. Au soma link niliyotoa hapo juu.

Na wewe google nchi yenye nuclear war heads nyingi zaidi duniani ni nani?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Unaamini kwamba wenyewe hawalifahamu hili!?.
Hawalifahamu, unaona kila siku akiwekewa vikwazo anabaki kulialia. Tizama ktk kipindi cha miaka minane pesa yao imeporomoka thamani kwa zaidi ya asilimia 100.
 
Trump ametoa tena onyo kwa China na Urusi kuwa wakianza nuclear race, US watawashinda. Anasema “Perhaps we can negotiate a different agreement, adding China and others, or perhaps we can't — in which case, we will outspend and out-innovate all others by far.” Soma hapa.
Trump warns China, Russia: US would win nuclear arms race
 

Huyo babu jinga msema hovyo ni kawaida yake kuropoka.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…