Rais Vladimir Putin amesema Urusi itaanza kuunda makombora mapya!

Russia amesema ili aweze kurudi kwenye mkataba haya lazima yafanyike. Russia mpya imeingia kwenye eneo lake.
===
In order to achieve this, the US must “destroy its Mk-41 universal launchers, designed for launching Tomahawk cruise missiles and target missiles,” which in fact have the same specifications as ground-based medium- and shorter-range ballistic missiles prohibited by the INF.

The American attack drones should also be disposed of because they fall under the definition of “land-based cruise missile” in accordance with the deal, the ministry added.

In early February, Washington unilaterally withdrew from the INF deal, which had been the cornerstone of European security since 1987. The US accused Russia of building prohibited missiles, but said that it may return to the accord if Moscow eliminates the violation within the next 180 days.

=====
Russia to US: Destroy Tomahawk launchpads & attack drones to return to INF compliance
 
2020

And


How modern day terrorists wage Irregular- Warfare within Europe's homestead.
 

Story hizi za kumanghushi yalikuwa yanasikika tangu 1917 lakini mpaka sasa Urusi inadunda kama kawa, actually kwenye miaka ya 1950s na earily 1960s Uchumi wa Urusi aikuwa inaongoza kiuchumi Duniani, hilo huwa alisemwi?

Kazi zenu kutabiri kifo cha Urusi kila kukicha, media za magharibi zimewachota akili kweli kweli mnarudia rudia propaganda za mataifa ya magharibi bila ya kufanya tafiti zakina kwanza - mnatekwa nyara na CNN, Fox News, BBC, Al Jazeera nk; mna amini kwamba kila wasemalo ni Gospel truth!!
 

JF inahitaji nondo kama hizi, najua @magonjwamtambuka anaona nyota tu hapa


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Stop being stupid..
Don't think every body has poor IQ like you do. Ww ndio una preach gospel with no data. Poor you. It seems ur shuleless kabisa ww. Still working on propaganda tu.



Texas
• GDP:
$1.6 trillion
• Country w/ similar GDP: Russian Federation ($1.7 trillion)
• Texas population: 28.3 million (Russian Federation: 144.5 million)
• Texas GDP per capita: $57,077 (Russian Federation: $11,441)
The second largest state economy in the country, the GDP of Texas rivals that of world superpower Russia. Russia's economy depends on gas, though not as much as many other nations on this list. About half of the country's exports are petroleum. Similarly, Texas is the top oil and natural gas-producing state in the U.S. Though they have similar GDPs, Texas has a GDP per capita roughly five times that of Russia.
 
Na uwepo wa miji ya chini ya ardhi itakuwa ni wewe tu na Urusi mnayefahamu, na Marekani haijui wala hukuwahi kuisikia.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Putin, ataendelea kuichokonoa US, ila iko siku haina jina, US watampiga miti na hataamini utakuwa ndio mwisho wake..!! Mark my words
Hivi marekani aliwahi kushinda Vita gani....pengine ile ya irak na libya
 
Vijitu vingine vimekua hiki kipindi Cha Chuck noris,Rambo,Van Damme na Anold.
Haviijui Moscow vizuri.
Vimebakia kusema uchumi uchumi.
Vinadjani uchumi ndio Lila kitu.
Kama uchumi ni kila kitu Leo hi Marekani wangekua Mabingwa wa Soccer wa kudumu.nadhani World cup lingekua Mali yao.
Marekani anapambana na kikundi Cha Watalabani kwa kushirikiana na washirika wake.Urusi alipambana na waafghanistani wakisaidiwa na Us, Uk,Pakistan,China,Saudia,na vinchi vingine vingi.
 
Ni kweli kwamba uchumi Mkubwa ni ngao muhimu ktk vita LAKINI SIYO KILA WAKATI mfano hakuna aliyetegemea COSSOVO ingeisumbua NATO kiasi kile
 
Hivi marekani aliwahi kushinda Vita gani....pengine ile ya irak na libya
Vita ambazo Marekani amepigana akiwa peke yake na akashinda ni zile za miaka zaidi ya 100 iliyopita. Mwaka 1846-1848 alipigana na Ufalme wa Mexico na kumnyang'anya majimbo kama California, Utah, Nevada, New-Mexico, Colorado, Arizona na Wyoming.

Mwaka 1898 Marekani aliutwanga Ufalme wa Uhispania na kumnyang'anya majimbo kama Ufulipino, Puerto Rico na Guam.

Mwaka 1812-1814 Marekani alitwangwa na Muingereza baada ya kutaka kuvamia Canada na kuigeuza kuwa jimbo lake. Muingereza alimkung'uta hadi akafika pale mtaa wa Columbus na kuchoma moto Ikulu yote ya Marekani (The White House) ambapo walifanikiwa kuokuoa tu picha ya Raisi George Washington.

Akiwa ameshirikiana na mataifa mengine:
Mwaka 1805 Marekani akiwa na Ufalme wa Uswidi walivamia Tripoli na kuanzisha vita ya kwanza ya Barbary (The First Barbary War). Hili lilisababishwa na wafalme wa kiarabu kuwatumia maharamia kuteka meli za biashara za Marekani na kuwaletea utajiri. Hii ndiyo ilikuwa vita ya kwanza jeshi la Marekani lilipigana nje ya mipaka ya Bara la Marekani na kupata mafanikio makubwa sana.

Vita vya kwanza na vya pili vya dunia mchango wa Marekani kijeshi ulikuwa ni mkubwa mno, japo sasa haifahamiki kama Marekani angeweza kusimama peke yake dhidi ya Ufalme wa Ujerumani (Imperial Germany) au Ujerumani ya Wanazi (NAZI Germany) kama ambavyo Uingereza na Urusi walisimama.

NB: Vita nyingine ndogo ndogo ndiyo kama zile za Afghanistan, Iraq na Japan kipindi cha Commodore Perry.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…