Rais wa Awamu ya Pili, Mzee Ali Hassan Mwinyi alazwa kwa maradhi ya kifua

Tanzania ni nchi ya ajabu sana

Hivi habari za mtu kuumwa na kupelekwa hospitali nayo ni habari na wakati huo huo familia inasema inataka faragha sasa ndio nini😏

Mbona wengine waliumwa na hamkusema tuwaombee😏😏😏😏😏
 
kila familia inautaratib wake na mtindo wake wa maisha..
 
Amelazwa hospital ipi?
 
Ma Dr wamemshauri apumzike Kwan kuna shughuli Gani ilikuwa inamuweka busy? Btw hatumdai kitu Mzee wetu
Kwa umri wake hata watu kwenda kumsalimia na kumwona ni kazi kubwa ya kumfanya kuwa busy.
Kwani kuna yupi mnamdai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…