Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Kwa mtazamo wako unaweza kuona kazi yake ilikuwa ndogo, ila lawama, fitna, majungu na chuki alivyovipata kutoka kwa mtangulizi wake, vilikuwa ni mzigo mkubwa kwake. mtangulizi aliona aliyoyafanya Mwinyi yalikuwa ya utu na yenye umuhimu mkubwa kwa taifa, kwahiyo mtangulizi aliona bila kumtengenezea Mwinyi majungu na chuki huenda legacy yake ingepotea kama chumvi majiniKazi yake ilikuwa NDOGO SANA YAANI "KILA KITU RUKSA"....
Ni pande zote, kwenda mbele na kurudi nyumaKutoka point moja kwenda nyingine
Sana ndugu, yan hakuna kama Mwinyi na hatotokea. Hata mtoto wake hatoweza kuthubutu kuvaa viatu vya baba yakeYAni Mwinyi ameifanyia Hii nchi mambo meengiii. Ni vile mpole tu lakini Mwinyi alitusaidia sana
Kwa hiyo Mkuu unataka kutuaminisha kwamba kama wabunge wakizidi kumzingua Mama yetu kinaweza kufuata kama hicho? tukarudi kwenye uchguzi upya?Najikumbusha tu ujasiri wa Rais wa awamu ya pili mh Ali Hassan Mwinyi ( Ruksa)
Profesa Kighoma Malima akauliza " mh Rais hata mimi simo?"
Rais akamjibu "Kwani wewe ni nani? "
Ramadhan Kareem!
Yeye anawaza ndege....Hivi neno "Maendeleo" unalitafsiri vipi?
Wazanzibari huwa nawaaminia sana!Kwa hiyo Mkuu unataka kutuaminisha kwamba kama wabunge wakizidi kumzingua Mama yetu kinaweza kufuata kama hicho? tukarudi kwenye uchguzi upya?
Moja ya hadithi nzuri inayosimuliwa kumhusu "Mzee Ruksa".Najikumbusha tu ujasiri wa Rais wa awamu ya pili mh Ali Hassan Mwinyi ( Ruksa)
Profesa Kighoma Malima akauliza " mh Rais hata mimi simo?"
Rais akamjibu "Kwani wewe ni nani? "
Ramadhan Kareem!
Wabunge wote ni CCM hivyo bajeti siyo kikwazo!sio rahisi kulivunja kwa sasa ukizingatia ndio wameketi kwa ajili ya bajeti labda ingekuwa baada ya bajeti au ingekuwa mwez wa 10 hivi
Hayana chamaHivi neno "Maendeleo" unalitafsiri vipi?
Hahahaaaa.......!Hayana chama
We achatu kuna mtu aliwahi ingiza tshirt zimeandikwa video kutoka kenya na watu vijijini wanananua na kuvaa za , enzi hizo fundi cherehani kazi kubwa ilikuwa kuweka viraka mtu mzima anatembea na indiketa makalioni.. mzee mwinyi acha aishi maisha malefu ni baraka hizoUmesahau moja; Television( Tuliita video) nazo zikaruhusiwa kuingia nchini maana kabla, wengi walikuwa wanazisikia tu kwenye stori za vijiweni.
Nimecheka sana..😀 Hata viraka vilikuwa na viwango, mwenye uwezo kidogo alikuwa anawekewa kwa ndani. Lakini kama hela yako ya wasiwasi, wanabandika tu kwa nje juu ya makalio. Utajijua na indicator zako. New generation wakimuangalia Mzee Mwinyi wanamchukulia poa, ila waliokula ugali wa njano wa yanga wanamjua vizuri sana..We achatu kuna mtu aliwahi ingiza tshirt zimeandikwa video kutoka kenya na watu vijijini wanananua na kuvaa za , enzi hizo fundi cherehani kazi kubwa ilikuwa kuweka viraka mtu mzima anatembea na indiketa makalioni.. mzee mwinyi acha aishi maisha malefu ni baraka hizo
Ndiyo. Tulianza kununua na TV kuona kinachoendelea duniani ikiwemo Ligi ya Uingereza. Nayo hayop ni maendeleo. Tatizo mmekaririshwa na mwendazake kwamba maendeleo ni Flyovers za Ubungo kumbe hata uhuru wa mawazo na uhuru wa kujieleza ni maendeleo. Mwendazake ameliharibu Taifa na kupandkiza roho mbaya kwa wengi sana!Baada ya kulivunja maendeleo yalipatikana?
Hakika bwashee!Nimecheka sana..😀 Hata viraka vilikuwa na viwango, mwenye uwezo kidogo alikuwa anawekewa kwa ndani. Lakini kama hela yako ya wasiwasi, wanabandika tu kwa nje juu ya makalio. Utajijua na indicator zako. New generation wakimuangalia Mzee Mwinyi wanamchukulia poa, ila waliokula ugali wa njano wa yanga wanamjua vizuri sana..
TeteteteNdiyo. Tulianza kununua na TV kuona kinachoendelea duniani ikiwemo Ligi ya Uingereza. Nayo hayop ni maendeleo. Tatizo mmekaririshwa na mwendazake kwamba maendeleo ni Flyovers za Ubungo kumbe hata uhuru wa mawazo na uhuru wa kujieleza ni maendeleo. Mwendazake ameliharibu Taifa na kupandkiza roho mbaya kwa wengi sana!
Sawa dingiNi pande zote, kwenda mbele na kurudi nyuma
Singida, Dom, Tabora, Shinyanga n.k mbona bado kuna nyumba za tembe/nyasi?Basi kuanzia kipindi cha Mwinyi kama ulikuwa unaenda kwa mguu,bado unaenda kwa mguu?. Bado una nyumba ya nyasi?
Nawe umegeuka?Najikumbusha tu ujasiri wa Rais wa awamu ya pili mh Ali Hassan Mwinyi ( Ruksa)
Profesa Kighoma Malima akauliza " mh Rais hata mimi simo?"
Rais akamjibu "Kwani wewe ni nani? "
Ramadhan Kareem!