Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Kwa mtazamo wako unaweza kuona kazi yake ilikuwa ndogo, ila lawama, fitna, majungu na chuki alivyovipata kutoka kwa mtangulizi wake, vilikuwa ni mzigo mkubwa kwake. mtangulizi aliona aliyoyafanya Mwinyi yalikuwa ya utu na yenye umuhimu mkubwa kwa taifa, kwahiyo mtangulizi aliona bila kumtengenezea Mwinyi majungu na chuki huenda legacy yake ingepotea kama chumvi majiniKazi yake ilikuwa NDOGO SANA YAANI "KILA KITU RUKSA"....