TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia
Tuliwasimanga sana Chadema Wakati wa msiba wa Lowassa na ile ajali ya Arusha

Je, Jumamosi siku ya mazishi ya mzee Mwinyi Uwanja wa Mkapa ufungwe?

Ni hilo tu Komredi Lucas

Mlale Unono 😀😀
Msio na akili, machawa, wauaji washirika wa Jiwe ndio mliwasimanga chadema
 
RIP Rais Mwinyi.
Pole kwa Rais Mwinyi, familia, na Watanzania wote kwa ujumla.
 
Mzee mwinyi ana wake ? . Watoto?.
Wazee historia zenu zinajulikana kuzaa kila kitu cha Kazi.

Kilichonishangaza Zaidi , anaenda kupumzishwa Kwa wakwe Zake, Yan ukweni. Hii kimila haija Kaa Sawa
 
Acha kabisa tukipishana na wa 2000 wao ndo wamezeeka...
Aisee wamezeeka sana hawa watototo wa siku hizi, wengine wameota upara mpaka nashangaa vilikuwa vitoto juzi vinatembea na bukta tumbo wazi
 
tunashukuru safari hii tuliambiwa afya na maendeleo ya matibabu ya mzee vipi kwanin wakati jiwe anakata kamba au kuugua ilikuwa siri au jiwe alidhan ataishi milele?
 
Back
Top Bottom