Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania: Wagonjwa wa COVID19 wamepungua SANA nchini

Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania: Wagonjwa wa COVID19 wamepungua SANA nchini

NI HATARI KUSHUHUDIA SIASA ZIKIINGIA KWENYE UTAALAMU KAMA HIVI. MTAALAMU WA NGAZI YA UDAKTARI WA BINADAMU ANAKIRI WAZI KWAMBA HANA TAKWIMU LAKINI ATATOA TAARIFA YA KUPUNGUA KWA UGONJWA. SASA HIZO ASILIMIA ZINATOKA KWENYE TAKWIMU ZIPI?

MAANA HATA 2, 3, 4 AU 5 ZINA 90% ZAO. DAKTARI ATWAMBIE AMESHINIKIZWA AITISHE HICHO KIKAO NA WANA HABARI TUJUE MOJA. MSITUFANYE WATANZANIA WAJINGA KIASI HICHO. WAPO WASOMI WENGI TENA WA NGAZI ZA JUU KULIKO HAO WALIOPPEWA DHAMANA YA KUWAONGOZA WENGINE. ACHENI HUO UJINGA
 
Huu ni ujinga wa hali ya juu sana. Yaani wataalamu wa afya wanaomgelea hili siku tano baada ya wanasiasa kusema maambukizi yamepungua. Nilitegemea wataalamu watuambie kwanza kabla ya wanasiasa hawa wa hovyo...
Ni shinikizo tu la serikali linawasumbua wataalamu hawawezi kusema tofauti
Haya tumekusikia basi kalale upunguze stress! Pole.
 
Rais kawakatisha deal yenu ya kukuza ugonjwa! kawashushua mmetahayari! hovyo kabisa nyie madokta wa nchi hii! mnatujaza hofu hadi twafa kwa BP kumbe wagonjwa hamna!!
 
hawapokelewe mahospitalini so ninkweli wagonjwa wamepungua sana
 
Haya tumekusikia basi kalale upunguze stress! Pole.
Well spoken. Siasa chafu zimeimeza hata tasnia ya utaalamu kama udaktari wa binadamu. Leo hata professor anapojitokeza kuongea kwa umma anauacha uprofessor ofisini anaenda na siasa hadharani. Unajitokezaje mbele ya umma na utaalamu wako halafu unasema kitu ambacho huna uhakika nacho kwa takwimu?

Si ungebaki huko huko ofisini kwako? Wanatuona watanzania ni wajinga sana. Juzi hapa wataalamu wametoa ripoti ya corona ya mapapai. Badala ya kusema moja kwa moja kwamba serikali haijawaajili wataalamu wa kutosha kwenye maabara ya Taifa wanaanza kuzunguka eti vifaa vilikuwa vibovu, mara oooh hakuna mfumo mzuri wa kiutendaji na uendeshaji wa kitaalamu katika upimaji.

Sasa unajiuliza maswali haya: Nani alipaswa kutoa fedha za matengenezo ya hivyo vifaa? Nani asiyejua kwamba taasisi nyingi za umma hazina fedha za kutosheleza mahitaji? utakuwaje na mfumo bora wa kiutendaji kama taasisi haina wataalamu na wafanyakazi wa kutosha?

Ina maana hao wasimamizi walio tumbuliwa ndio wangetoa fedha zao mfukoni watengeneze au wanunue vifaa vya kazi? Wao ndio wangewaajiri watumishi wa kutosha? Halafu unajiuliza, ugonjwa hata kabla haujaingia ulijulikana, sasa serikali ilipaswa kukagua maabara hizo kujua mahitaji yake na upungufu wake. Mbona mwenge kabla ya kufika ofisi fulani wapo wanaotangulia kuweka mazingira sawa?
 
Hujamuelewa amekuambia takwimu zipo lakini utaratibu wa kuzitoa wapo watu mahususi wakuzitoa lakini si Waziri Mkuu na Rais wameshatoa takwimu waliobaki mahospitali wiki jana??
Sasa kama Rais na waziri Mkuu wametoa yeye wa nini?
 
Wamepungua wangapi na mwanzo walikuwa wangapi
 
Mimi ni mtu. Taarifa tunazo yeye aongee tu.
Nadiriki kuwaza WATANZANUA NI WATU WA HOVYO ingawa si wote!!! Raise wa madaktar katoa tsarifa covid19 inapungua, wewe Ni Nani hata upinge Haya let na we analysis yako kuonyesha Corona inaongezeka! Ww unaepinga Ni mwehu sawa na mwehu mwingine! Ulitegemea WATANZANUA tufe Iki upate nn? NDO HIVYO SASA CORONA IMEPUNGUA KAJINYONGE PUMBI WEWE. HAKUNA JEMA LINALOFANYWA NA SERIKALI KILA SIKU KUPINGA TUU!! Yaani we Ni wa hovyoooo! Natamani nikupe za uso ila unaudhi Sana. Hiii Ni taarufa nzuri mungu kasaidia ugonjwa inapungua si tushukuru mungu basi! MJINGA KABISA
 
Ugonjwa haijapungua ila wagonjwa wengi hawaendi tena hospitali kwa kuwa wameishambiwa hakuna tiba zaidi ya nyungu. Wengi wao na kufia majubani
 
tuingie mitaani tupige kazi corona imepungua ashukuliwe Mungu kwa matokeo haya
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Bila kuwepo TESTING kama inavyofanyika katika Nchi nyingi duniani ili kujua idadi ya maambukizi mapya na ya vifo, hii kauli ya chama cha madaktari ni uongo wa kupindukia.

Unasemaje kwamba ugonjwa umepungua wakati hakuna TESTING kwa mwezi sasa? Kwanini hakuna TESTING wakati tumeambiwa kuna maabara mpya? Hiyo maabara imekuwa ni MUSEUM!?
Sawasawa.Haya wameongezeka na hadi Sasa wagonjwa wamefika milion Saba na Vifo milion nne na wewe ukiwemo Kati ya waliokufa na Covid.Unasemaje hapo?
 
Wagonjwa wa COVID19 wamepungua kutoka idadi ipi mpaka ipi?

Chama zinaongozwa na madakatari wasio na vichwa
 
Bila kuwepo TESTING kama inavyofanyika katika Nchi nyingi duniani ili kujua idadi ya maambukizi mapya na ya vifo, hii kauli ya chama cha madaktari ni uongo wa kupindukia.

Unasemaje kwamba ugonjwa umepungua wakati hakuna TESTING kwa mwezi sasa? Kwanini hakuna TESTING wakati tumeambiwa kuna maabara mpya? Hiyo maabara imekuwa ni MUSEUM!?
Huwezi elewa kwa kuwa tayari unamsimamo wako!
 
Nchi hii sasa kila mtu analazimishwa kumfurahisha Magu
 
Huyu atakuwa mgonjwa wa akili, kazunguka lini kupima waatu nchi nzima na kugundua kuwa wagonjwa wamepungua au ni kupitiaa taarifa zisizo za vipimo wala kitaalamu za kusikika ili upatiwe nafasi na mkulu. Anatambuliwa na serikali si jumuia ya madaktari!!!
 
Back
Top Bottom