Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya tumekusikia basi kalale upunguze stress! Pole.Huu ni ujinga wa hali ya juu sana. Yaani wataalamu wa afya wanaomgelea hili siku tano baada ya wanasiasa kusema maambukizi yamepungua. Nilitegemea wataalamu watuambie kwanza kabla ya wanasiasa hawa wa hovyo...
Ni shinikizo tu la serikali linawasumbua wataalamu hawawezi kusema tofauti
Nimekuelewa sanaNamkumbuka Stephen Ulimboka
Well spoken. Siasa chafu zimeimeza hata tasnia ya utaalamu kama udaktari wa binadamu. Leo hata professor anapojitokeza kuongea kwa umma anauacha uprofessor ofisini anaenda na siasa hadharani. Unajitokezaje mbele ya umma na utaalamu wako halafu unasema kitu ambacho huna uhakika nacho kwa takwimu?Haya tumekusikia basi kalale upunguze stress! Pole.
Sasa kama Rais na waziri Mkuu wametoa yeye wa nini?Hujamuelewa amekuambia takwimu zipo lakini utaratibu wa kuzitoa wapo watu mahususi wakuzitoa lakini si Waziri Mkuu na Rais wameshatoa takwimu waliobaki mahospitali wiki jana??
Ungetangulia wewe kusema kbla ya serikali tuone utaalamu wako foolNi shinikizo tu la serikali linawasumbua wataalamu hawawezi kusema tofauti
Nadiriki kuwaza WATANZANUA NI WATU WA HOVYO ingawa si wote!!! Raise wa madaktar katoa tsarifa covid19 inapungua, wewe Ni Nani hata upinge Haya let na we analysis yako kuonyesha Corona inaongezeka! Ww unaepinga Ni mwehu sawa na mwehu mwingine! Ulitegemea WATANZANUA tufe Iki upate nn? NDO HIVYO SASA CORONA IMEPUNGUA KAJINYONGE PUMBI WEWE. HAKUNA JEMA LINALOFANYWA NA SERIKALI KILA SIKU KUPINGA TUU!! Yaani we Ni wa hovyoooo! Natamani nikupe za uso ila unaudhi Sana. Hiii Ni taarufa nzuri mungu kasaidia ugonjwa inapungua si tushukuru mungu basi! MJINGA KABISA
Sawasawa.Haya wameongezeka na hadi Sasa wagonjwa wamefika milion Saba na Vifo milion nne na wewe ukiwemo Kati ya waliokufa na Covid.Unasemaje hapo?Bila kuwepo TESTING kama inavyofanyika katika Nchi nyingi duniani ili kujua idadi ya maambukizi mapya na ya vifo, hii kauli ya chama cha madaktari ni uongo wa kupindukia.
Unasemaje kwamba ugonjwa umepungua wakati hakuna TESTING kwa mwezi sasa? Kwanini hakuna TESTING wakati tumeambiwa kuna maabara mpya? Hiyo maabara imekuwa ni MUSEUM!?
Huwezi elewa kwa kuwa tayari unamsimamo wako!Bila kuwepo TESTING kama inavyofanyika katika Nchi nyingi duniani ili kujua idadi ya maambukizi mapya na ya vifo, hii kauli ya chama cha madaktari ni uongo wa kupindukia.
Unasemaje kwamba ugonjwa umepungua wakati hakuna TESTING kwa mwezi sasa? Kwanini hakuna TESTING wakati tumeambiwa kuna maabara mpya? Hiyo maabara imekuwa ni MUSEUM!?