Rais wa China ampigia simu Rais Magufuli, ampongeza kwa ushindi na kwa utekelezaji wa miradi ya kimkakati

Ila mbona ukizoom simu iko off?

Ofisi japo bendera tu ya Rais au nchi mezani hawa wasaidizi vipi?
 
Aloo, mbona kila mahali pa L waweka r na kinyume chake?
 
Si alikataza kupiga self mtu akiwa kazini na kupost whatsapp hapa sijui kafanyaje. Yote tisa ukizoom kuna kifulana cha njano kwa ndani.
 
Vizuri sana, amempongeza kwa kujeruhi na kupora ushindi wa upinzani sivyo?
 
Kuna wanaoumia..
Hii ndio Tanzania na za kabatini Joe Baideni akiwa kitini anaioaisha Tanzania kimataifa zaidi.
Yule Mzee wa majungu kazi anayo Ubeligiji.
 
China ni muumini wa chama kimoja na taifa lisilojali haki za binadamu, mtu anayeshangaa China kumpongeza dikiteta Magufuli akapimwe akili, Dikiteta magufuli kapongezwa Sababu anaishi ideology za China!!
 
Huwajui wachina vizuri. pole sana.
 
Wakati huo huo nchi za ulaya zatoa salio la kutosha kuisapoti Serikali ya JPM, kuna watu wanaumia sana ukizingatia waliamua waende ulaya kabisa wakachafue
 
Tayari jana wametoa mabilioni ya fedha! EU inamaana na Ubeligiji ikiwemo!
 
Matajiri wameongea huoni meza imejaa mafile
 
Wachina ni mabeberu, pia Ni wanafiki, wezi, matapeli.
 
Hiyo sio ofisi ya Rais jamani,acheni kuumiza vichwa
 
Hii nayo ni habari
Hamna namna mkuu ,inabidi mkubali kuwa serikali ni zaidi ya kelele zenu ambazo hazina kichwa wala miguu.. eu nao jana wametoa msaada tena (sio mkopo) yani mwaka huu solution ni kukimbia nchi tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ no way out πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii ndo ofisi ya rais wetu?!!
Shelfs ziko tupu mafile yote mezani!
Printer mezani maanaake anajiprintia kazi zake?!!
Mbona iko so disorganised?!!
Mshamba mimi lol!!
Kwanini wasiwe wanamoa report in soft copy
 
Mabeberu jana wametoa msaada kwa tanzania na wenzako huko wanashangilia kwelikweli
 
Tuna marafiki (wahisani na wawekezaji) aina tatu kuu
1. Mabeberu wa kibepari
2. Mabeberu wa kikomunisti
3. Mabeberu wa kinafiki wasiofungamana na upande wowote wenye urafiki wa nipe nikupe "usipo... sikupi!!"
Hakuna mahala ambapo tuko salama kama tungali shimoni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…