Rais wa China ampigia simu Rais Magufuli, ampongeza kwa ushindi na kwa utekelezaji wa miradi ya kimkakati

Rais wa China ampigia simu Rais Magufuli, ampongeza kwa ushindi na kwa utekelezaji wa miradi ya kimkakati

Ila mbona ukizoom simu iko off?

Ofisi japo bendera tu ya Rais au nchi mezani hawa wasaidizi vipi?
 
Picha ya mwisho "NIME ZOOM" ila nimeona simu ipo off. Jamaa sijui alikua anaongea vipi au simu yangu ina makengeza wadau?

Kwa hayo mapozi ya hizo picha nahisi atakua amemtumia mpiga picha wa diamond platnumz yule mwenye panki kama kuku kishingo. Na kuna kila dalili ya ile misemo "HEBU SOGEA NA KWA HUKU, HARAFU HAYO MATAA YAKO YANANIUMIZA. . . UHAKIKISHE HIYO REBO YA ADIDASI INASOMEKA VIZULI". . .

Sio bure, hakuna mpiga picha akakurupuka na kwenda kumpiga picha kichwa kichwa ofisini bila kuitwa. Kibarua kinaweza kikaota nyasi.
Aloo, mbona kila mahali pa L waweka r na kinyume chake?
 
Si alikataza kupiga self mtu akiwa kazini na kupost whatsapp hapa sijui kafanyaje. Yote tisa ukizoom kuna kifulana cha njano kwa ndani.
 
Vizuri sana, amempongeza kwa kujeruhi na kupora ushindi wa upinzani sivyo?
 
Kuna wanaoumia..
Hii ndio Tanzania na za kabatini Joe Baideni akiwa kitini anaioaisha Tanzania kimataifa zaidi.
Yule Mzee wa majungu kazi anayo Ubeligiji.
 
China ni muumini wa chama kimoja na taifa lisilojali haki za binadamu, mtu anayeshangaa China kumpongeza dikiteta Magufuli akapimwe akili, Dikiteta magufuli kapongezwa Sababu anaishi ideology za China!!
 
Bora kuwa na rafiki wa kweli kuliko kuwa na rafiki mnafiki. Mababeru wasidhani watapigiwa magoti na tz, Lisu arudi tu tz maana nchi ina marafiki wa kweli wazuri kuliko huko anakoichafua nchi. Uzuri ni kuwa China hawana masharti ktk misaada km nchi za Ulaya...
Huwajui wachina vizuri. pole sana.
 
Wakati huo huo nchi za ulaya zatoa salio la kutosha kuisapoti Serikali ya JPM, kuna watu wanaumia sana ukizingatia waliamua waende ulaya kabisa wakachafue
 
Bora kuwa na rafiki wa kweli kuliko kuwa na rafiki mnafiki. Mababeru wasidhani watapigiwa magoti na tz, Lisu arudi tu tz maana nchi ina marafiki wa kweli wazuri kuliko huko anakoichafua nchi. Uzuri ni kuwa China hawana masharti ktk misaada km nchi za Ulaya...
Tayari jana wametoa mabilioni ya fedha! EU inamaana na Ubeligiji ikiwemo!
 
Bora kuwa na rafiki wa kweli kuliko kuwa na rafiki mnafiki. Mababeru wasidhani watapigiwa magoti na Tanzania, Lissu arudi tu Tanzania maana nchi ina marafiki wa kweli wazuri kuliko huko anakoichafua nchi. Uzuri ni kuwa China hawana masharti katika misaada kama nchi za Ulaya...
Wachina ni mabeberu, pia Ni wanafiki, wezi, matapeli.
 
Comm's na PR Unit ya Rais inafeli wapi jamani? Kweli kabisa walishindwa kuandaa mazingira bora ya kupiga hizo picha?
Mnampiga picha Rais, akiwa "kazini" hakuna hata bendera ya mezani? Halafu mnampiga picha huku kuna maji ya chupa, kama vile tangazo la biashara? Ingekuwa kwenye hafla, angalao lakini hapo ni ofisini kwake! Halafu kuta zipo tupu kabisa, hakuna hata chochote cha kuibrand Tanzania kwenye hiyo ofisi. It's a missed opportunity!
Hiyo sio ofisi ya Rais jamani,acheni kuumiza vichwa
 
Hii nayo ni habari
Hamna namna mkuu ,inabidi mkubali kuwa serikali ni zaidi ya kelele zenu ambazo hazina kichwa wala miguu.. eu nao jana wametoa msaada tena (sio mkopo) yani mwaka huu solution ni kukimbia nchi tu😂😂😂😂 no way out 😁😁😂😂
 
Hii ndo ofisi ya rais wetu?!!
Shelfs ziko tupu mafile yote mezani!
Printer mezani maanaake anajiprintia kazi zake?!!
Mbona iko so disorganised?!!
Mshamba mimi lol!!
Kwanini wasiwe wanamoa report in soft copy
 
Bora kuwa na rafiki wa kweli kuliko kuwa na rafiki mnafiki. Mababeru wasidhani watapigiwa magoti na Tanzania, Lissu arudi tu Tanzania maana nchi ina marafiki wa kweli wazuri kuliko huko anakoichafua nchi. Uzuri ni kuwa China hawana masharti katika misaada kama nchi za Ulaya...
Mabeberu jana wametoa msaada kwa tanzania na wenzako huko wanashangilia kwelikweli
 
Tuna marafiki (wahisani na wawekezaji) aina tatu kuu
1. Mabeberu wa kibepari
2. Mabeberu wa kikomunisti
3. Mabeberu wa kinafiki wasiofungamana na upande wowote wenye urafiki wa nipe nikupe "usipo... sikupi!!"
Hakuna mahala ambapo tuko salama kama tungali shimoni...
 
Back
Top Bottom