ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Tunapongezwa kwa namna tulivyopambana na corona?
Hivi kulikuwa na pambano?
Hivi kulikuwa na pambano?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aloo, mbona kila mahali pa L waweka r na kinyume chake?Picha ya mwisho "NIME ZOOM" ila nimeona simu ipo off. Jamaa sijui alikua anaongea vipi au simu yangu ina makengeza wadau?
Kwa hayo mapozi ya hizo picha nahisi atakua amemtumia mpiga picha wa diamond platnumz yule mwenye panki kama kuku kishingo. Na kuna kila dalili ya ile misemo "HEBU SOGEA NA KWA HUKU, HARAFU HAYO MATAA YAKO YANANIUMIZA. . . UHAKIKISHE HIYO REBO YA ADIDASI INASOMEKA VIZULI". . .
Sio bure, hakuna mpiga picha akakurupuka na kwenda kumpiga picha kichwa kichwa ofisini bila kuitwa. Kibarua kinaweza kikaota nyasi.
Halafu tuliambiwa tuache kujipigapicha za kujionyesha tupo kazini na kuzituma mitandaoni.Sasa ni lazima kutangaza mazungumzo yao ya simu. Huu nao ni ushamba au usukuma
Huwajui wachina vizuri. pole sana.Bora kuwa na rafiki wa kweli kuliko kuwa na rafiki mnafiki. Mababeru wasidhani watapigiwa magoti na tz, Lisu arudi tu tz maana nchi ina marafiki wa kweli wazuri kuliko huko anakoichafua nchi. Uzuri ni kuwa China hawana masharti ktk misaada km nchi za Ulaya...
Yale ya wazee wako na ndevu nyeupe wanachora kwa miguu? Ahahsawa ngoja tusubiri MAPIGO YAO
Tayari jana wametoa mabilioni ya fedha! EU inamaana na Ubeligiji ikiwemo!Bora kuwa na rafiki wa kweli kuliko kuwa na rafiki mnafiki. Mababeru wasidhani watapigiwa magoti na tz, Lisu arudi tu tz maana nchi ina marafiki wa kweli wazuri kuliko huko anakoichafua nchi. Uzuri ni kuwa China hawana masharti ktk misaada km nchi za Ulaya...
Wachina ni mabeberu, pia Ni wanafiki, wezi, matapeli.Bora kuwa na rafiki wa kweli kuliko kuwa na rafiki mnafiki. Mababeru wasidhani watapigiwa magoti na Tanzania, Lissu arudi tu Tanzania maana nchi ina marafiki wa kweli wazuri kuliko huko anakoichafua nchi. Uzuri ni kuwa China hawana masharti katika misaada kama nchi za Ulaya...
Hiyo sio ofisi ya Rais jamani,acheni kuumiza vichwaComm's na PR Unit ya Rais inafeli wapi jamani? Kweli kabisa walishindwa kuandaa mazingira bora ya kupiga hizo picha?
Mnampiga picha Rais, akiwa "kazini" hakuna hata bendera ya mezani? Halafu mnampiga picha huku kuna maji ya chupa, kama vile tangazo la biashara? Ingekuwa kwenye hafla, angalao lakini hapo ni ofisini kwake! Halafu kuta zipo tupu kabisa, hakuna hata chochote cha kuibrand Tanzania kwenye hiyo ofisi. It's a missed opportunity!
Hamna namna mkuu ,inabidi mkubali kuwa serikali ni zaidi ya kelele zenu ambazo hazina kichwa wala miguu.. eu nao jana wametoa msaada tena (sio mkopo) yani mwaka huu solution ni kukimbia nchi tu😂😂😂😂 no way out 😁😁😂😂Hii nayo ni habari
Mabeberu jana wametoa msaada kwa tanzania na wenzako huko wanashangilia kwelikweliBora kuwa na rafiki wa kweli kuliko kuwa na rafiki mnafiki. Mababeru wasidhani watapigiwa magoti na Tanzania, Lissu arudi tu Tanzania maana nchi ina marafiki wa kweli wazuri kuliko huko anakoichafua nchi. Uzuri ni kuwa China hawana masharti katika misaada kama nchi za Ulaya...