Rais wa China ampigia simu Rais Magufuli, ampongeza kwa ushindi na kwa utekelezaji wa miradi ya kimkakati

Kwanini watanzania mnaona ufahari sana kujua kiingereza...unajua chuo kikuu cha Dodoma sana Confucius's institute na ishatoa wakalimani wengi sana wa kichina...unadhani hayo mawasiliano walianza tu chekiana kama wahuni hadi mh Raisi asipate mda wa mkalimani
Waliongea kwa lugha gani? Maana Xi Jinping yeye ni Kichina huyu mwamba Kiingereza hakipo.....
 
Kwanini watanzania mnaona ufahari sana kujua kiingereza...unajua chuo kikuu cha Dodoma sana Confucius's institute na ishatoa wakalimani wengi sana wa kichina...unadhani hayo mawasiliano walianza tu chekiana kama wahuni hadi mh Raisi asipate mda wa mkalimani
Kwaio sasa alikua akiongea na mkalimani sasa au?
 
1. Amempongeza kwa ushindi.
2. Amempongeza kwa kukabiliana na Corona
3. Amempongeza kwa kazi nzuri aliyoifanya kwa miaka 5 iliyopita
4. Amesema anaiona Tanzania kuwa nchi itakayo ongoza kwa uchumi barani Africa
5. Amempongeza kwa utekelezaji wa miradi ya kimkakati ikiwemo mradi wa SGR, Nyerere Dam na ameahidi kushirikiana naye ktk utekelezaji wa miradi hiyo mikubwa.

Kwa upande wake rais JPM amemshukuru Rais wa China kwa kupiga simu na kumpongeza, amealika wawekezaji toka China kwa manufaa ya nchi zote, ameomba kupatiwa mikopo kwa gharama nafuu kwa ujenzi wa project nyingine kubwa za umeme na ameomba China kufungua masoko ya bidhaa toka Tz.
Maombi yote yamekubaliwa na Rais wa China
Wametumia lugha gani kuongea? Au ametaka tu tuyaone hayo Mafaili mezani ili kutuzuka kwamba anapitiaga mafaili. Watawala wengine ni limbukeni sana!
 
1. Amempongeza kwa ushindi.
2. Amempongeza kwa kukabiliana na Corona
3. Amempongeza kwa kazi nzuri aliyoifanya kwa miaka 5 iliyopita
4. Amesema anaiona Tanzania kuwa nchi itakayo ongoza kwa uchumi barani Africa
5. Amempongeza kwa utekelezaji wa miradi ya kimkakati ikiwemo mradi wa SGR, Nyerere Dam na ameahidi kushirikiana naye ktk utekelezaji wa miradi hiyo mikubwa.

Kwa upande wake rais JPM amemshukuru Rais wa China kwa kupiga simu na kumpongeza, amealika wawekezaji toka China kwa manufaa ya nchi zote, ameomba kupatiwa mikopo kwa gharama nafuu kwa ujenzi wa project nyingine kubwa za umeme na ameomba China kufungua masoko ya bidhaa toka Tz.
Maombi yote yamekubaliwa na Rais wa China
Hivi hapo ni ofisi ya serikali au ofisi binafsi? Siku ya kazi au mapumziko? Maana huwezi kwenda ofisini huku umevaa raba za mchakamchaka au wengine wanaita jogging.
 
Chadema bhana hata iweje lazima utoe kasoro tuu hata ambazo hazina mashiko acha hizo swaga huo ni umata...ko
 
Nchi zote zinazoamini socialism hufuata mkondo wa kuwa na chama kimoja hazitaki Demokrasia.

China ina chama kimoja
Urusi ina vyama vingi ila nayo ni yale yale
Korea kaskazini yale yale
So kupongezana kwa kuua Demokrasia ni kawaida yao.
Halafu unajua TZ kwa sasa ni koloni la China. Miradi yote ya ujenzi na barabara ipo na Mchina
 
Bora kuwa na rafiki wa kweli kuliko kuwa na rafiki mnafiki. Mababeru wasidhani watapigiwa magoti na Tanzania, Lissu arudi tu Tanzania maana nchi ina marafiki wa kweli wazuri kuliko huko anakoichafua nchi. Uzuri ni kuwa China hawana masharti katika misaada kama nchi za Ulaya.

Angalizo: Lissu awe makini na hao mababeru, asiendelee kuichafua Tanzania.. maana si ajabu mababeru wakajirudi kwetu huku wakimtelekeza Lissu kwani hawatakuwa tayari kuiachia China iwapite katika mahusiano na Africa, Tz ikiwemo kwani wanajua ni hasara kubwa kwao kuwaruhusu China kuwapita kwenye mahusiano na Afrika.
Eti China haina masharti! Hivi hujui kwa nini miradi yote ya ujenzi na ya barabara ipo na Mchina? Kuna sharti tulipewa ndio maana miradi yote hiyo tumewapa wachina.
 
Chadema bhana hata iweje lazima utoe kasoro tuu hata ambazo hazina mashiko acha hizo swaga huo ni umata...ko
Naomba unijibu tu ndugu yangu. hakuna haja ya matusi. hapo ni ofisi ya serikali? Maana ofisi za serikali unapoenda kazini kuna masharti, kanuni na taratibu ikiwemo mavazi. Nijibu ndugu yangu.
 
Relax hapo ilikuwa weekend aliingia ofisini chapu kwa shida maalum na kutoka.
 
Bora kuwa na rafiki wa kweli kuliko kuwa na rafiki mnafiki. Mababeru wasidhani watapigiwa magoti na Tanzania, Lissu arudi tu Tanzania maana nchi ina marafiki wa kweli wazuri kuliko huko anakoichafua nchi. Uzuri ni kuwa China hawana masharti katika misaada kama nchi za Ulaya.
Ungejua namna china inavyofix nchi za kiafrika kwa mikopo yao usingesema huu utumbo!
 
Kwahiyo Jiwe baada ya kuongea na simu akamwambia Msigwa kuwa nimepigiwa simu na Rais wa china kwahiyo kaniambia hivi!
 
Sasa ni lazima kutangaza mazungumzo yao ya simu. Huu nao ni ushamba au usukuma
Hayo "mazungumzo" yenyewe ni fiksi tu hizo. Magufuli ameongea na huyo Mchina kwa lugha gani, Kisukuma? Bila mkalimani hayo mazungumzo hayawezekani maana Magufuli English na Kichina vyote havijui.
 
Bora kuwa na rafiki wa kweli kuliko kuwa na rafiki mnafiki. Mababeru wasidhani watapigiwa magoti na Tanzania, Lissu arudi tu Tanzania maana nchi ina marafiki wa kweli wazuri kuliko huko anakoichafua nchi. Uzuri ni kuwa China hawana masharti katika misaada kama nchi za Ulaya.

Angalizo: Lissu awe makini na hao mababeru, asiendelee kuichafua Tanzania.. maana si ajabu mababeru wakajirudi kwetu huku wakimtelekeza Lissu kwani hawatakuwa tayari kuiachia China iwapite katika mahusiano na Africa, Tz ikiwemo kwani wanajua ni hasara kubwa kwao kuwaruhusu China kuwapita kwenye mahusiano na Afrika.
Kwa fikra zako, unadhani ni nini Tanzania itapata toka kwa China ambayo kila siku ipo busy kutafuta wawekezaji Ulaya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ya kutafuniwa kila kitu mara nyingine hupelekea misleading nyingi sana. Kajitoa kuifanya kazi mwache azungukwe na mafaili hata yote. Hao waliokuwa na "wasaidizi" ndiyo walideliver Richmond, EPA, Bagamoyo, etc

Lazima uwe na imani na wasaidizi wako , sababu unauwezo wa kubishana kwa hoja na wasaidizi wako na hata kuwatumbua kama Rais kitu ambacho anakifanya sana kubwa ni kujiwekea mfumo wa wasaidizi watakao kuwa huru kumueleza asichotaka kusikia lakini ni chanya kwa taifa. Kwa staili hii Mwenyekiti wenu anakaribisha magonjwa nyemelezi kibao kwake na hasara kwa Taifa kimaamuzi na gharama za kwenda "gereji" kila mara.
 
Back
Top Bottom