Rais wa Guinea, Alpha Conde apinduliwa na Jeshi

 
Ni noma aisee
 
Kwa tz hii kitu haiwezekani katu, kwa majeshi yapi, kwa wajeda gani..
 

Watekwe tu ma rais wote wa Africa
 
Francis, kumbuka mfaransa hampendi mwafrika na ndiyo maana katika ukoloni wake hakuna nchi ambayo aliacha umoja, bali fitina na kuchukiana.
 
Afrika hakuna ishu, sababu kubwa ya mapinduzi eti ni kuongeza fedha kwa wabunge na maofisa wa serikali wa ngazi za Juu huku akipunguza fedha kutoka kwa polisi na wanajeshi sasa ulitaka wanajeshi wafanye nini?
 
Huko West Africa Bado majeshi yao yanajielewa na inapotokea watawala wakacross line majeshi huingilia na recently tumeona Mali. Na ukimsikilza huyo kiongozi wa mapinduzi anacite bad governance ndo imepelekea wao kuchukua power.
kwa sababu wana hali ngumi sana za maisha.ukisikia africa mbovu iko huko.
 
Mara nyingi ni matokeo kwa watawala wasiiofuata sheria. Wabadiri katiba ili wadumu mpaka wanachokwa na wapambe wao. Ni staili ya CCM.
ccm wako smart ndio maana ni moja ya vyama bora sana duniani[emoji1][emoji1]

we ushasikia wapi mtu kamaliza miaka kumi ccm anakomaa na funguo za ikulu!!!

wapinzani kule ndio wana style hiyo ya kukomalia ofisi.
 
Big up sana wajeda wa Guinea huku kwetu wanachoweza ni kupiga raia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…