Rais wa Guinea, Alpha Conde apinduliwa na Jeshi

Africa tuna matatizo sana..mtu kazaliwa 1938 bado anang'ang'ania madaraka mpaka leo.
Badala akae na wajukuu watumbue mali. Ambacho angefanya ni kujiwekea mazingira mazuri ya kuendelea kutafuna mali hata baada ya kustaafu ona sasa anaenda kupangiwa aina fulani ya maisha ama ahame nchi au akubaliane na masharti watakayo mpatia aishi nayo
 
My friend you are wrong,remember in Tanzania all security apparatuses are CCM's wings.Hivyo sahau kitu Kama hicho hapa. Africa Magharibi wanajielewa wameanza Mali Sasa Guinea nadhani Cameroon na Ivory Coast wanafuata soon.

nani kakwambia hao watu wanajielewa? yaani ungezijua hizo nchi, Tanzania na hii CCM yetu ni bora x 10000....hizo nchi bado ni makoloni ya ufaransa na hiyo michezo yote ufaransa ndio mfadhiri mkuu... hayo maujinga ya kupinduana mkiyaendekeza sana hamuweza kuwa na jeshi imara lenye discipline hata siku moja....jeshi la Tanzania TPDF liko imara na discipline ya hali ya juu sana aisee kufananisha na majeshi mengi ya kipumbavu hapa Africa...
 
Mzee alitaka afie ikulu, shwaini KABISA[emoji3525]
 
Tulipofikia ni swala la muda tu hatua za mwanzo ndio Kama zile za kushangilia viongozi wa kitaifa wakifa hebu niambie Leo hii siro afe hiyo furaha yake itakuwa balaa Sana mtaani.
Sirro umeenda mbali Sana.
MWIGULU
 

Cc Jumbe Brown na binamu zako
 
Ebaana eeh!
Habari njema Sana Hii kwa madikteta wavunja katiba.

Hii habari imfikie ndugai na genge lake[emoji4][emoji4][emoji4]
Kwani Ndugai ni rais wa nchi gani, naye kavunja katiba ❕❔❓❕❔❓
 
Amepinduliwa kwa uzembe wake mwenyewe; hakukuwa na ulazima wa kubadilisha katiba ili asalie madarakani, siyo lazima Rais awe peke yake wakati wako wengi wenye sifa.

Mwalimu Nyerere amgekuwa na nia ya kufia madarakani angefanya hivyo lakini aliheshimu demokrasia na kuruhusu mawazo mapya kuijenga nchi yetu. Tuwaombee viongozu wetu wawe na busara
 
Baada ya miezi 3 nitakukumbusha hii post yako
Unabishana na bodaboda wana mihemko hawafatilii siasa za West Africa na mapinduzi. Hiyo Guinea tangu iwe huru mwaka 1958 mpaka leo huyo rais Conde ndiye wa kwanza kuchaguliwa na wananchi, ingawa na yeye alivunja katiba last year. Kama yangekuwa maendeleo wangeshapata maana miaka zaidi ya 60 wanaongozwa na jeshi na wana madini kibao huku ni watu milioni 12 tu, ila ni nchi maskini kama mbwa. Kati ya wale wahuni walioonekana hakuna kiongozi pale, miezi mitatu mingi tutaurudia huu uzi na kuwashangaa wanaosifia sahivi
 
Raisi Sekou toure alichaguliwa na nani na ilikua mwaka gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…