Rais wa Harvard University ajiuzulu kutokana na Plagiarism iliyobainika kwenye machapisho yake

Wewe na wenzako wengine
Hoja ukiamua kuzipinga zote ama moja moja sawa tuuu
Kabla ya kukosoa unyama unaofanywa na mazayuni hawakuwahi kujua kama ana hio skendo yeye na wenzake
Au imekuja kujulikana tokea alipowaita mazayuni kua watenda jinai na uhalifu dhidi ya binaadam hasa wanawake na watoto pale ukanda wa ghaza
 
Mazayuni watu wabaya sana yaani sanaaaa
Washamtia mama wawatu kwenye skendo chafu
 
Shida wamechelewa sana kujua haya majambo
Ila uzuri ukiishajua unajua watashughulikiwa sana watauliwa sana
Ila ipo siku wataukata mzizi wa hao wauaji
 
Bora kaondoka lakini,alikuwa pia na mtihani wa kukatiwa funding na donors waliokuwa wana support chuo chake
 
Hizo zote sababu tokea alipowachana mazayuni kua wauaji basi wamemuandama kwel
Yeye na wenzake wawili waliwatia sana spana wazayuni
Tokea siku hio ndio wakaanza kusambaziwa uzushi
 
Mimi sina mwenzangu katika hoja hizo hapa.

Kabla, baada, katikati.

Plagiarism siku zote ni kitu kibaya.
 
Hizo zote sababu tokea alipowachana mazayuni kua wauaji basi wamemuandama kwel
Yeye na wenzake wawili waliwatia sana spana wazayuni
Tokea siku hio ndio wakaanza kusambaziwa uzushi
Hii issue inahusiana na chuki dhidi ya Wayahudi (antisemitism) katika vyuo vikuu hasa vinavyoongozwa na hao watatu.

Wote watatu waliitwa kujieleza kwenye kamati maalumu ya Bunge, wakaulizwa maswali, wakatoa majibu mepesi, isitoshe yenye double standards. Kimaadili, hilo pekee linatosha kuwaondoa kwenye nafasi zao za kitaaluma.

Hao wawili waliojiuzulu wamekiri makosa hadharani na kuomba radhi kutokana na majibu waliyoyatoa mbele ya kamati ya Bunge.
 
Hizo zote sababu tokea alipowachana mazayuni kua wauaji basi wamemuandama kwel
Yeye na wenzake wawili waliwatia sana spana wazayuni
Tokea siku hio ndio wakaanza kusambaziwa uzushi

Mnafiki tu huyo mjinga. Wakati Hamas wanavamia mara ya kwanza mbona alikaa kimya?. Mnafiki tu huyo mwizi wa kazi za watu
 
Kabisa mwisho wao umefika zaidi ya wakati mwengine wowote ule uliowahi kuepo

Mwisho wao upi? Marekani ni ya kila mtu, ndio maana Kuna mpalestina ni mbunge na msomali mwingine ni mbunge. Sasa wewe ukidhani wayahudi sio wamarekani.
 
Shida wamechelewa sana kujua haya majambo
Ila uzuri ukiishajua unajua watashughulikiwa sana watauliwa sana
Ila ipo siku wataukata mzizi wa hao wauaji

Watauliwa na nani?. Unadhani kule ni Gaza.
 
Kwani c walipangwa hakuna ukweli wowote
Ndio maana United Shits Of Americant wanatumia nguvu kubwa sana kuwaaminisha watu
Ukiwa ndani ya United Shits Of Americant ukipinga Holocaust unaweza kufia jela
Hivi utajisikiaje baada ya miaka 50 huko mbele ukasikia mtu akipayuka kuwa Israel haikuwahi kuishambulia Gaza na Kisha kubomoa na kuua watoto na wanawake zaidi ya 20000?.
 
Mwisho wao upi? Marekani ni ya kila mtu, ndio maana Kuna mpalestina ni mbunge na msomali mwingine ni mbunge. Sasa wewe ukidhani wayahudi sio wamarekani.
Wapi kuna sehem nimeandika kama mazayuni sio wamarekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…