Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Wewe na wenzako wengine"Mmeyajua haya" mimi na nani?
Kiranga is a singularity. I am not single, I am a singularity.
Two things can be true at the same time.
Hoja ni plagiarism, ambayo kashindwa kuipangua. Mpaka kajiuzulu.
Hayo ya Mazayuni ni hoja nyingine. Inawezekana hakukosea.
Lakini, kama kafanya plagiarism kweli, hilo haliondoi ukweli kwamba kafanya plagiarism. Regardless ya habari za Uzayuni zikoje.
Na mimi hao Mazayuni wala sipo nao, naona matatizo yao. Kuanzia false entitlement yao kwamba wao ni taifa teule la Mungu ambaye mimi siamini kwamba yupo, mpaka occupation ya sehemu ya watu na kuifanya yao. I do not support any of that.
Lakini pia naona matatizo ya plagiarism katika academia.
Naruhusiwa kupinga Uzayuni na plagiarism kwa wakati mmoja?
Au natakiwa nichague kati ya Uzayuni na plagiarism ni support kimoja na kupinga kingine in a stupidly narrow minded clubbish squabble?
How is this a mutual exclusive choice?
Kwa nini unaona kama nikipinga plagiarism nina support Uzayuni? Wakati mimi si support Uzayuni wala plagiarism?
Hoja ukiamua kuzipinga zote ama moja moja sawa tuuu
Kabla ya kukosoa unyama unaofanywa na mazayuni hawakuwahi kujua kama ana hio skendo yeye na wenzake
Au imekuja kujulikana tokea alipowaita mazayuni kua watenda jinai na uhalifu dhidi ya binaadam hasa wanawake na watoto pale ukanda wa ghaza