Tetesi: Rais wa Iran amuomba Ayatollah Khamenei kutokuishambulia Israel, ahofia anguko kubwa la uchumi litalopelekea kuanguka Dola hilo

Kupigana moja kwa moja haiwezekani bali watawindana au kutumia mataifa mengine ya jirani kwa kupeleka silaha au kuwindana
Nilisema kila mmoja anaujua mziki wa kuporomoka kwa uchumi na sio kwao tu bali hata sisi joto tutalisikia
Tuwe na ushabiki wa mandazi tu ila likija suala la vita haswa basi ujuaji tuweke pembene na tupeana facts
 
Huyo rais ana akili, ataweza kuisaidia Iran, kila mtu anaona anguko la Iran liko karibu endapo atapigana na Israel yenye technology ya hali ya juu, ukipogana na Israel amepigana na NATO, sasa Iran ana nguvu gani za kupigana na Israel,USA? Uchumi wa Iran ni mdogo sana kuliko uchumi wa nchi za Turkey, Saud Arabia
 
Habari za kinafik tu hizi, hazina ukweli.
 
Neno Breaking bad news 📰 linatumika vibaya hapa JF .
 
Fake news unakaa unatengeneza story zako za kijinga huko vichochoroni[emoji13]
 
FT. Irani. O : 3 Israel
Kwisha habari yake. Waislam wenzangu turudi gaza sasa tuhamishie magoal kwa yahaya sinawar. Astagafirwah
 
Wamejitengenezea tukio hao! Rais aongee hivi ili ionekane Ayatollah kakubaliana na ushauri wake! Soft way ya kuufyata.
 
Yaani mtu anawiki 2 serikalini anaweza kumuonya mtu mwenye over 10 years experience.

Hii story haipo sawa
Kwamba aliyekaa muda mrefu ndiye anayepaswa kufanya maamuzi, ila aliyekuja hivi karibuni hajui zaidi ya mkongwe na hastahili kuonya! Basi vyama vya upinzani havistahili kuishauri au kuionya serikali ya CCM maana vimeanzishwa baada ya CCM
 
Niliwaambia hakuna vita hapa mkabisha,Kiko wapi Sasa 🤣🤣
 
Kwamba aliyekaa muda mrefu ndiye anayepaswa kufanya maamuzi, ila aliyekuja hivi karibuni hajui zaidi ya mkongwe na hastahili kuonya! Basi vyama vya upinzani havistahili kuishauri au kuionya serikali ya CCM maana vimeanzishwa baada ya CCM
Huo rais, amewaza mbalimbali,yeye ndo mtendaji ambaye anashinda kwenye public kufungua miradi mbalimbali lakini Ayatollah ulinzi wake ni mkali pia hauonekani ovyoovyo, Huyo rais ameshajitoa kwenye lawama,hata kama wanafake ili kuizugaa Israel tayari yeye kashajitoa kiaina ili Iran akirusha makombora na Israel wakilipiza kisasi asitafutwe yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…