njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Waaajemi wameishi na vikwazo kwa miaka mingi hawaogopi hiloBreaking News Rais wa Iran amsihi Kiongozi Mkuu Ayatollah khamenei asithubutu kuishambuli Israel, ahofia anguko kubwa la uchumi litakalopelekea kuanguka Kwa utawala wa Kiislamu nchini humo
Wadau Hamjamboni nyote?
Hizo ni taarifa mpya kabisa za ndani Rais amemuonya Kiongozi wake Mkuu kuwa shambulizi dhidi ya Israel laweza leta anguko kubwa la uchumi wa nchi hiyo na hivyo kupelekea kusambaratika kwa Dola hilo
Taarifa kamili hapo chini:
---
Report: Iran’s president Pezeshkian urges Khamenei to avoid attack on Israel
Iranian President Masoud Pezeshkian has implored the country’s supreme leader to avoid a direct attack on Israel, warning an escalation could lead Israel to devastate infrastructure and energy targets and cripple the economy, according to a report in Iran International.
The report, which cited anonymous sources with knowledge of the matter and which could not be independently confirmed, said Pezeshkian told Ali Khamenei that a war could deepen citizens’ discontent with the regime and even bring about Iran’s collapse.
The report says Khamenei was noncommittal at the meeting.
Sasa wewe ndo umeenda shule?Mnatuletea habari za fake afu we unajua kizungu kweli? Hebu rudia usome wameandika nini rudi shule
Kama muislam kindakindaki unapenda iwe hivyo lakini wairan wanaona vita na Israel ni hasara kubwa kwao kiuchumi na kisiasa.Source? Acha ushamba, Israel anapigika lazima
Ofcourse huo ndio ukweli, wanageuza nchi yako sehemu ya mapigano inakuwa sio sawaShida sio uchumi shida ni iran kufanywa kama libya na iraq.
Israel ni chambo tu kwenye ndoano.
Ukipigana nae unakuwa hupigani na israel bali na wababe wa dunia
Waunge mkono wairan uwaponze!Habari za kinafik tu hizi, hazina ukweli.
Na wewe ndio inaonyesha hata akili hunaga , hadi vitu vidogo kama hivyo unataka ufafanuliwe kweli? Muyahudi hawezagi vita , na hata hii vita na mgambo imeonyesha udhaifu mkubwa sana ambao siku zote alikuwa ameuficha, hata wanajeshi hana , hana ubavu wa kupigana na jeshi lolote hapo middle east especially iranKumbe magaidi Iran wanajua mziki wa myahudi
Waunge mkono wairan uwaponzeHabari za kinafik tu hizi, hazina ukweli.
Najua unaitamani vita ili kukifuta kizazi cha myahudi.Lakini kabla ya matamanio yako hayo kama muislam kindakindaki umeshawahi kufanya risk assessment ya uchumi na siasa za Iran?Fake news unakaa unatengeneza story zako za kijinga huko vichochoroni[emoji13]
Myahudi angekua dhaifu asingeweza kusurvive kwa zaidi ya miaka 70 huku amezungukwa na maadui.Na wewe ndio inaonyesha hata akili hunaga , hadi vitu vidogo kama hivyo unataka ufafanuliwe kweli? Muyahudi hawezagi vita , na hata hii vita na mgambo imeonyesha udhaifu mkubwa sana ambao siku zote alikuwa ameuficha, hata wanajeshi hana , hana ubavu wa kupigana na jeshi lolote hapo middle east especially iran
Wanachojadili watu ni iran akimshambulia israel marekani na washirika wake ndio wataopiga iran siyo israel
Sasa unajifanya mtabiri kujuwa nnachotamani mimi?Waunge mkono wairan uwaponze
Najua unaitamani vita ili kukifuta kizazi cha myahudi.Lakini kabla ya matamanio yako hayo kama muislam kindakindaki umeshawahi kufanya risk assessment ya uchumi na siasa za Iran?
Wairan wenyewe watashika silaha kuung'oa utawala wa kiislam wa Iran kama ilivyokuwa Libya.
Huwezi kuingia vitani ukiwa na upinzani mkubwa ndani.
Mmarekani atafadhili ISIS ishughulike na Muiran yaani hutoamini.
Wenzio wasio na mihemko ya kidini wameona mbali kwa maslahi ya taifa lao.
We muza supu za miguu kanisani huko hupati kitu yote ni mashoga tu, vaa baibui uone Waislam kama hawajakuweka ndani utasahau hata kutoka kwenda tafuta soko. Rais wa Iran kasema watalipa yeye kaleta habari kutoka kwenye agano jipya la bibilia, au wale wapinzani wa Iran😄Sasa wewe ndo umeenda shule?
Mambo mengine ni kutaka kujishushia heshima tu mbele ya waungwana.
Unadhani kwa nini Iran hajajibu mashambulizi hadi sasa?
Kuishambulia Israel ni hatari kwa siasa za ndani za Iran kuliko kitu chochote kile. Iran ameshafanya risk assessment kaamua kuufyata.
Sasa mtoa mada kakosea nini hapo?
MArekani na magharibi wanaweza kufanya chochote kwa dunia ya sasa ,wana nguvu kubwa sana ya kucontroll mambo dunianiMyahudi angekua dhaifu asingeweza kusurvive kwa zaidi ya miaka 70 huku amezungukwa na maadui.
Wameanza kupishanaBreaking News Rais wa Iran amsihi Kiongozi Mkuu Ayatollah khamenei asithubutu kuishambuli Israel, ahofia anguko kubwa la uchumi litakalopelekea kuanguka Kwa utawala wa Kiislamu nchini humo
Wadau Hamjamboni nyote?
Hizo ni taarifa mpya kabisa za ndani Rais amemuonya Kiongozi wake Mkuu kuwa shambulizi dhidi ya Israel laweza leta anguko kubwa la uchumi wa nchi hiyo na hivyo kupelekea kusambaratika kwa Dola hilo
Taarifa kamili hapo chini:
---
Report: Iran’s president Pezeshkian urges Khamenei to avoid attack on Israel
Iranian President Masoud Pezeshkian has implored the country’s supreme leader to avoid a direct attack on Israel, warning an escalation could lead Israel to devastate infrastructure and energy targets and cripple the economy, according to a report in Iran International.
The report, which cited anonymous sources with knowledge of the matter and which could not be independently confirmed, said Pezeshkian told Ali Khamenei that a war could deepen citizens’ discontent with the regime and even bring about Iran’s collapse.
The report says Khamenei was noncommittal at the meeting.
Sasa wewe ndo umeenda shule?
Mambo mengine ni kutaka kujishushia heshima tu mbele ya waungwana.
Unadhani kwa nini Iran hajajibu mashambulizi hadi sasa?
Kuishambulia Israel ni hatari kwa siasa za ndani za Iran kuliko kitu chochote kile. Iran ameshafanya risk assessment kaamua kuufyata.
Sasa mtoa mada kakosea nini hapo?
Hivi wafia dini huwaga akili zenu zipo matakoni israel hawezi vita kivipi wakati gaza imepondwa pondwa hivi na viongozi wakubwa wa hamas wamepukutishwa mfano ismail haniyeh, Mohamed Deif na gaza yote inashikiliwa mpaka rafah unawasifia hamas hawa wanaovaa kiraia kipindi cha mapigano na kujificha kwenye miundombinu ya kiraia inawapa israel ugumu kwa sababu makelele yenu ya duniaNa wewe ndio inaonyesha hata akili hunaga , hadi vitu vidogo kama hivyo unataka ufafanuliwe kweli? Muyahudi hawezagi vita , na hata hii vita na mgambo imeonyesha udhaifu mkubwa sana ambao siku zote alikuwa ameuficha, hata wanajeshi hana , hana ubavu wa kupigana na jeshi lolote hapo middle east especially iran
Wanachojadili watu ni iran akimshambulia israel marekani na washirika wake ndio wataopiga iran siyo israel
Ingekua dhaifu israel isingeweza kumuua haniyeh ndani ya Iran tena siku ya kuapishwa rais mpyaMArekani na magharibi wanaweza kufanya chochote kwa dunia ya sasa ,wana nguvu kubwa sana ya kucontroll mambo duniani
Kuanzia kuweka viongozi wanaowataka wao nchini kwako etc
Kuonyesha kama israel dhaifu, walivyomuuwa haniyeh ,marekani faster kapeleka meli za kivita na silaha kwa kujua huyu dogo ni dhaifu lazima alindwe
Assassination zinafanyika mara nyingi watu walishaua hadi raisi wa marekani, waziri mkuu wa israel, hicho siyo kigezo cha uimara wa jeshi as we speak hii vita na mgambo tu israel kaishiwa askariIngekua dhaifu israel isingeweza kumuua haniyeh ndani ya Iran tena siku ya kuapishwa rais mpya
Na wewe huna bado viwango vya kujadili international affairs maana hata uwezo wako wa kufikiria unaonyesha ni mdogo sanaHivi wafia dini huwaga akili zenu zipo matakoni israel hawezi vita kivipi wakati gaza imepondwa pondwa hivi na viongozi wakubwa wa hamas wamepukutishwa mfano ismail haniyeh, Mohamed Deif na gaza yote inashikiliwa mpaka rafah unawasifia hamas hawa wanaovaa kiraia kipindi cha mapigano na kujificha kwenye miundombinu ya kiraia inawapa israel ugumu kwa sababu makelele yenu ya dunia