Hao watatoka mbio kama mwaka 2006.Kabisa kabisa na huko Lebanon walijaribu kuingiza ground force wameuliwa kumi katika mmoja wao ni Capt ndio incharge wao.
View: https://youtu.be/FAGJO7asHsI?si=MSd3PsvDIxuoFlSo
Watakimbia huko Lebanon
Media inaitwaje?Haya hii source ya nazayuni wenyewe, wasikilize wanasema nini?ππΎ
View: https://www.youtube.com/live/P_tn1X7bNJY?si=7J-YOOYBuHRWDaYJ
Wanakiri, moto unowawakiajana na leo mpaka Wamejiharia.ππΎ
View: https://www.youtube.com/live/P_tn1X7bNJY?si=7J-YOOYBuHRWDaYJ
Redio mbao.Media inaitwaje?
Kipigo cha jana mpaa alikuwa anatoa ulimi kama mbwa afu anatetemeka mpaa wakamua kuwacha kuonyesha mikono yake. Hapo alikuwa chini ya shimo wanalita wao eti siku ya kiyama huku anatetemeka πHao watatoka mbio kama mwaka 2006.
Waliwachiwa hivi hivi, waingie kwanza, kimbembe cha baada ya kuingia? Na vile walivyo kunguru hao, lazima watatoka mbio.
Hiyo mifumo yote uliyotaja katika shambulio la May iliwashwa na haikufanya kazi kazi kiufanisi.Huyo Ayotollah naye ni kichwa maji kama bibi FaizaFoxy.
Mfumo wa iron dome ni kwa ajili ya short range/masafa Mafupi, chini ya kilometa 50,Makombora yanayotoka Gaza na Lebanon. Kwa medium range /masafa ya Kati, Israeli wanayo, David Sling, mfumo huu ulidungua kombora la ballistic la Hezbollah lililolenga katikati ya Tel Aviv. Kwa Long range /masafa marefu, Israeli wanayo arrow 2&3,huo mfumo ndio unaondugua makombora ya ballistic ya Iran π€
Kwa maelezo zaidi soma hapa:
'David's Sling' and 'Arrow' anti-missile systems: How Israel defeated Iran's attack
Unlike "Iron Dome," they can bring down high-flying, faster long-range missiles.abcnews.go.com
Muache ajifanye amnazo kama chemical AliWadau hamjamboni nyote?
Mfumo wa ulinzi dhidi ya makombora wa Israel wa iron dome ni laini mno na upo sawa tu na glasi ya maji au juice
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
.
October 02, 2024 at 08:45
Pezeshkian calls Iron Dome 'fragile,' warns of stronger response if Israel retaliates
Iranian President Masoud Pezeshkian, during a Wednesday cabinet meeting following the overnight attack on Israel, said, "The operation by the Armed Forces of the Islamic Republic of Iran once again proved that the so-called Iron Dome of the Zionists is more fragile than glass." He added, "The dignity and pride of our nation are non-negotiable. Should this regime err further, it will face an even more devastating response."
Zilipiga wapi sasa?Jana zilikuwa zimelala sio .vyuma vya jana sio lazima udake sio mishale ile hana iyo defence ya kuzuia
π π
Kwa hiyo makombora ya jana ya irani yalipiga wapi na wapi?Hiyo mifumo yote uliyotaja katika shambulio la May iliwashwa na haikufanya kazi kazi kiufanisi.
Hata tukio la jana hiyo mifumo ilikua kazini kufanya kazi ila haikufua dafu.
Kwani hukuoneshwa video humu ndani maeneo mengi yakiwa yamelengwa ikiwemo Nevatim Airbase na shule kadhaa!?Kwa hiyo makombora ya jana ya irani yalipiga wapi na wapi?
Madhara yake ikawaje?
Ngoja waje kutoka kwenye maandaki.Wadau hamjamboni nyote?
Mfumo wa ulinzi dhidi ya makombora wa Israel wa iron dome ni laini mno na upo sawa tu na glasi ya maji au juice
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
.
October 02, 2024 at 08:45
Pezeshkian calls Iron Dome 'fragile,' warns of stronger response if Israel retaliates
Iranian President Masoud Pezeshkian, during a Wednesday cabinet meeting following the overnight attack on Israel, said, "The operation by the Armed Forces of the Islamic Republic of Iran once again proved that the so-called Iron Dome of the Zionists is more fragile than glass." He added, "The dignity and pride of our nation are non-negotiable. Should this regime err further, it will face an even more devastating response."
Jana ndo nimeju jamaa pamoja na kitambi anambio balaaNetanyahu A.K.A Isha mashauzi wa middle East tayari kashajua hana Air defence hiyo Iron Dome ni kama karatasi jana zimashambuliwa military Base 5 na maafa yametokea
Jifariji mkuu usije pata sukari kwa vita ya watu huko masharikiNakwambia kitu ambacho huwezi kuamini,ukweli ni kwamba maisha ya Netanyahu yapo hatarini zaidi kuliko Ayatollah na anaweza akaanza kutangulia Netanyahu kabla ya Ayatollah au watangulie wote kwa pamoja.