FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Kabisa kabisa na huko Lebanon walijaribu kuingiza ground force wameuliwa kumi katika mmoja wao ni Capt ndio incharge wao.
View: https://youtu.be/FAGJO7asHsI?si=MSd3PsvDIxuoFlSo
Watakimbia huko Lebanon
Hao watatoka mbio kama mwaka 2006.
Waliwachiwa hivi hivi, waingie kwanza, kimbembe cha baada ya kuingia? Na vile walivyo kunguru hao, lazima watatoka mbio.