Rais wa Iran asema mfumo wa ulinzi dhidi ya makombora wa Israel wa iron dome wa Israel ni mwepesi na laini kama glasi

Rais wa Iran asema mfumo wa ulinzi dhidi ya makombora wa Israel wa iron dome wa Israel ni mwepesi na laini kama glasi

Hao watatoka mbio kama mwaka 2006.
Waliwachiwa hivi hivi, waingie kwanza, kimbembe cha baada ya kuingia? Na vile walivyo kunguru hao, lazima watatoka mbio.
Kipigo cha jana mpaa alikuwa anatoa ulimi kama mbwa afu anatetemeka mpaa wakamua kuwacha kuonyesha mikono yake. Hapo alikuwa chini ya shimo wanalita wao eti siku ya kiyama huku anatetemeka 😄

View: https://youtu.be/XC5yYTqAWTg?si=hyYeYYyLjrAlH1HK
 
Huyo Ayotollah naye ni kichwa maji kama bibi FaizaFoxy.
Mfumo wa iron dome ni kwa ajili ya short range/masafa Mafupi, chini ya kilometa 50,Makombora yanayotoka Gaza na Lebanon. Kwa medium range /masafa ya Kati, Israeli wanayo, David Sling, mfumo huu ulidungua kombora la ballistic la Hezbollah lililolenga katikati ya Tel Aviv. Kwa Long range /masafa marefu, Israeli wanayo arrow 2&3,huo mfumo ndio unaondugua makombora ya ballistic ya Iran 🤔
Kwa maelezo zaidi soma hapa:
Hiyo mifumo yote uliyotaja katika shambulio la May iliwashwa na haikufanya kazi kazi kiufanisi.
Hata tukio la jana hiyo mifumo ilikua kazini kufanya kazi ila haikufua dafu.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Mfumo wa ulinzi dhidi ya makombora wa Israel wa iron dome ni laini mno na upo sawa tu na glasi ya maji au juice

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

.
October 02, 2024 at 08:45

Pezeshkian calls Iron Dome 'fragile,' warns of stronger response if Israel retaliates

Iranian President Masoud Pezeshkian, during a Wednesday cabinet meeting following the overnight attack on Israel, said, "The operation by the Armed Forces of the Islamic Republic of Iran once again proved that the so-called Iron Dome of the Zionists is more fragile than glass." He added, "The dignity and pride of our nation are non-negotiable. Should this regime err further, it will face an even more devastating response."
Muache ajifanye amnazo kama chemical Ali
 
Jana zilikuwa zimelala sio .vyuma vya jana sio lazima udake sio mishale ile hana iyo defence ya kuzuia
😅😅
Zilipiga wapi sasa?

Kikatokea nini?

Wafuasi wa Allah leteni hata picha tu basi
 
Hiyo mifumo yote uliyotaja katika shambulio la May iliwashwa na haikufanya kazi kazi kiufanisi.
Hata tukio la jana hiyo mifumo ilikua kazini kufanya kazi ila haikufua dafu.
Kwa hiyo makombora ya jana ya irani yalipiga wapi na wapi?

Madhara yake ikawaje?
 
Wadau hamjamboni nyote?

Mfumo wa ulinzi dhidi ya makombora wa Israel wa iron dome ni laini mno na upo sawa tu na glasi ya maji au juice

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

.
October 02, 2024 at 08:45

Pezeshkian calls Iron Dome 'fragile,' warns of stronger response if Israel retaliates

Iranian President Masoud Pezeshkian, during a Wednesday cabinet meeting following the overnight attack on Israel, said, "The operation by the Armed Forces of the Islamic Republic of Iran once again proved that the so-called Iron Dome of the Zionists is more fragile than glass." He added, "The dignity and pride of our nation are non-negotiable. Should this regime err further, it will face an even more devastating response."
Ngoja waje kutoka kwenye maandaki.
 
Jan
Netanyahu A.K.A Isha mashauzi wa middle East tayari kashajua hana Air defence hiyo Iron Dome ni kama karatasi jana zimashambuliwa military Base 5 na maafa yametokea
Jana ndo nimeju jamaa pamoja na kitambi anambio balaa
 
Nakwambia kitu ambacho huwezi kuamini,ukweli ni kwamba maisha ya Netanyahu yapo hatarini zaidi kuliko Ayatollah na anaweza akaanza kutangulia Netanyahu kabla ya Ayatollah au watangulie wote kwa pamoja.
Jifariji mkuu usije pata sukari kwa vita ya watu huko mashariki
Sisi tuendelee na vita yetu ya ujinga na maradhi
 
Back
Top Bottom