Rais wa Iran Masoud Pezeshkian asema kuwa jeshi la nchi yake limejiandaa kikamilifu kuipiga Israel

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,274
Reaction score
9,326
We are ready to strike Israel again,' Iran’s president warns
1 hour ago
Updated 8:53 AM

Share
A screengrab from Iranian President Masoud Pezeshkian during an interview with Al Jazeera (July 2025)

Iran's president said that the country is ready for further conflict with Israel as tensions continue to simmer in the wake of the 12-day war.

“We are fully prepared for any Israeli military action, and our forces stand ready to strike deep into the occupied territories once again,” Masoud Pezeshkian told Al Jazeera Arabic.

The warning follows last month’s 12-day conflict between Iran and Israel, triggered by Israeli airstrikes on June 13 that hit military, nuclear, and civilian sites across Iran. Among those killed were senior Iranian military commanders and nuclear scientists. Iran retaliated with ballistic missile and drone strikes on Israel.

Iran says 1,062 people were killed during the 12-day conflict with Israel, including 786 military personnel and 276 civilians.

Israeli medical officials say a total of 28 people were killed and over 3,000 were wounded by Iranian attacks.

Pezeshkian said Tehran holds Washington partly responsible for the attacks. The US conducted follow-up strikes on three major Iranian nuclear facilities, later saying to have obliterated them. A ceasefire between Iran and Israel took effect on June 23.

Iran says its nuclear program is peaceful. Pezeshkian repeated the same position in the interview, adding that the Islamic Republic has no intention of acquiring nuclear weapons.

“We categorically reject possessing nuclear weapons,” he said. “This is our political, religious, human, and strategic position.”

The president also disputed US President Donald Trump's statement that Iran’s nuclear capabilities had been "obliterated" following strikes at three of the country's key sites.

“These efforts are based on illusion,” he said. “Nuclear capability resides in the minds of our scientists, not in our facilities.”
 
Ni pandikizi la Yahudi huyo
 
The Iranian president's statement shows that the Persian State is only ready to retaliate in the event of an attack on their country by the battle hardened Israelis.

Conversely, this obviously contravenes the Iran's long held conviction that it would once wipe out the jewish state off the world map.

However, despite the Iran's frequent rhetoric what's rather astounding is the fact that in the aftermath of the just ended 12 day war, the country remains vividly vulnerable to the hostile attacks following the annihilation of the country's air defense systems by the marauding Israeli's air offensives.

The Iranian leadership is always shrewd in manipulating its people to believe its propaganda whenever it is beleaguered in a political quagmire like the one it is currently finding itself in.

It remains to be seen how the country will manage to subdue the ever tenacious Israelis should the war between the two foes breaks out.
 
Iran says 1,062 people were killed during the 12-day conflict with Israel, including 786 military personnel and 276 civilians.

Israeli medical officials say a total of 28 people were killed and over 3,000 were wounded by Iranian attacks.
Dah yaani ile show ya chapchap na kutambiana ubabe kwingi kumbe watu buku+ waliondoka!

Vita ni hatarisana
 
We are ready to strike Israel again,' Iran’s president warns
1 hour ago
Updated 8:53 AM

Share
A screengrab from Iranian President Masoud Pezeshkian during an interview with Al Jazeera (July 2025)
A screengrab from Iranian President Masoud Pezeshkian during an interview with Al Jazeera (July 2025)
Iran's president said that the country is ready for further conflict with Israel as tensions continue to simmer in the wake of the 12-day war.

“We are fully prepared for any Israeli military action, and our forces stand ready to strike deep into the occupied territories once again,” Masoud Pezeshkian told Al Jazeera Arabic.

The warning follows last month’s 12-day conflict between Iran and Israel, triggered by Israeli airstrikes on June 13 that hit military, nuclear, and civilian sites across Iran. Among those killed were senior Iranian military commanders and nuclear scientists. Iran retaliated with ballistic missile and drone strikes on Israel.

Iran says 1,062 people were killed during the 12-day conflict with Israel, including 786 military personnel and 276 civilians.

Israeli medical officials say a total of 28 people were killed and over 3,000 were wounded by Iranian attacks.

Pezeshkian said Tehran holds Washington partly responsible for the attacks. The US conducted follow-up strikes on three major Iranian nuclear facilities, later saying to have obliterated them. A ceasefire between Iran and Israel took effect on June 23.

Iran says its nuclear program is peaceful. Pezeshkian repeated the same position in the interview, adding that the Islamic Republic has no intention of acquiring nuclear weapons.

“We categorically reject possessing nuclear weapons,” he said. “This is our political, religious, human, and strategic position.”

The president also disputed US President Donald Trump's statement that Iran’s nuclear capabilities had been "obliterated" following strikes at three of the country's key sites.

“These efforts are based on illusion,” he said. “Nuclear capability resides in the minds of our scientists, not in our facilities.”
huyu Mzee naona kuzimu kuna mwita hamjui myahudi atapita nae

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Yani mzee Masudi anayataka sasa hii watapita nae
Yaani hakuna kitu myahudi anapenda kama ku retaliate, kama Iran wataanza basi tutegeme maafa makubwa zaidi kwa raia wa Iran maana myahudi hataangalia anapiga wapi tofauti na vita iliyoisha ambayo target yao ilikuwa ni viongozi wa kijeshi na miundombinu yake.
 
Wacha kuropoka wewe.
Vita iliyoisha Israel alilipua makazi ya raia tena kimakusudi alipoanza kuelemewa.
Kalipua hospitali,kalipua kituo Cha habari na majenerali wengi waliuliwa ndani ya apartments zao.
Hao raia zaidi ya 600 unataka kusema walikaa ndani ya kambi ya jeshi?
Israel alishambulia kimakusudi maeneo ya kiraia Iran akajibu kwanguvu na yeye maeneo ya raia,hii ilimfanya aogope na kusitisha vita.
Habari zisizo rasmi zinasema Kuna mamia ya raia walinasa chini ya bomb shelters na wengine hawajatolewa hadi sasa.
Huyo muajemi sio muarabu,ukipiga hospitali na yeye anapiga hospitali,ukigusa raia na yeye anagusa raia.
 
Tatizo lako unaleta ushabiki hapa wakati mimi nimeandika fact. Embu tumia akili sio mihemko. Unadai Israel aliomba vita iishe sasa kwa nini Iran alikubali ilhali yeye siku zote ambition yake ni kuifuta Israel kwenye uso wa dunia? Kumbuka myahudi alianza kumchokoza sasa hapo sindoilikuwa nafasi ya Iran kumtokomeza kabisa myahudi kwa kumletea ushenzi?

Mimi sio mshabiki wa vita ila nadhani unaona kinachoendekea Gaza baada ya Hamas kumchokoza myahudi na pia unaona kilichowakuta viongozi wa hezbolah baada ya kuingilia vita ya hamas, ni mara ngapi viongozi wa Iran wamekuwa wakiuwawa ndani ya nchi yao na wayahudi na hata washirika wao lakini wameshindwa kufanya hivyo ndani ya Israel? Embu nitajie kiongozi yetote wa kijeshi au serikali wa Israel aliuwawa na Iran tangu ugomvi wa ulipoanza.

Usiwe unapata habari kutoka kwenye online media ambazo zipo kwa malengo yao. Ukipata habari ichekeche ndugu halafu ufikie conclusion mwenyewe kwa kushirikisha ubongo wako.

Hivi unajua hasara nchi inayopata kwa kumpoteza mtaalamu wa nyuklia mmoja au kamanda wa ngazi ya juu ya kijeshi iliyomuandaa kwa miongo kadhaa? Nyie huku mnakaa mnasifia wakati vita ya siku 12 imeacha maafa makubwa sana kwa Iran ambayo itachukua muda kuyasahau na ndio maana kila siku wanalalamika, wenzao majengo watajenga wao je?
 
Tatizo lako unaleta ushabiki hapa wakati mimi nimeandika fact. Embu tumia akili sio mihemko. Unadai Israel aliomba vita iishe sasa kwa nini Iran alikubali ilhali yeye siku zote ambition yake ni kuifuta Israel kwenye uso wa dunia? Kumbuka myahudi alianza kumchokoza sasa hapo sindoilikuwa nafasi ya Iran kumtikomeza kabisa myahudi kama kwa kumletea ushenzi?

Mimi sio mshabiki wa vita ila nadhani unaona kinachoendekea Gaza baada ya Hamas kumchokoza myahudi na pia unaona kilichowakuta viongozi wa hezbolah baada ya kuingilia vita ya hamas, ni mara ngapi viongozi wa Iran wamekuwa wakiuwawa ndani ya nchi yao na wayahudi na hata washirika wao lakini wameshindwa kufanya hivyo ndani ya Israel? Embu nitajie kiongozu yetote wa kijeshi au serikali wa Israel aliuwawa na Iran tangu ugomvi wa ulipoanza.

Usiwe unapata habari kutoka kwenye online media ambazo zipo kwa malengo yao. Ukipata habari ichekeche ndugu halafu ufikie conclusion mwenyewe kwa kushirikisha ubongo wako.

Hivi unajua hasara nchi inayopata kwa kumpoteza mtaalamu wa nyuklia mmoja au kamanda wa ngazi ya juu ya kijeshi iliyomuandaa kwa miongo kadhaa? Nyie huku mnakaa mnasifia wakati vita ya siku 12 imeacha maafa makubwa sana kwa Iran ambayo itachukua mida kuyasahau na ndio maana kila siku wanalalamika, wenzao majengo watajenga wao je?
Sasa wewe ndio unaongea kimihemko.
Nani alikwambia Iran lengo lake ni kuifuta Israel kwenye uso wa dunia!?
Hiyo kauli aliongea Ahmedinajad kipindi akiwa rais wa Iran ila hiyo siyo Ilani ya serikali ya Iran.
Hapo tayari inaonesha wewe ni mtu wa stori za vijiweni.

Kuuliwa kwa kiongozi kulileta impact gani kwa Israel!?
Iran Ina succession nzuri ya uongozi na imeshaandaa namna ya kurithisha uongozi kwa watu wengine.
Kama haujui hao ambao wanakufa ndio wanasayansi wanafunzi na walimu ingali hai.
HUWEZI kushinda vita kwa kuua viongozi tu.
Vipi Hizbollah je imesambaratika?
Ipo pale pale na nguvu Ile Ile,sasa hivi haifanyi mashambulizi kwasababu serikali kuu ya Lebanon imeikataza na kuitishia kuipora viti bungeni.

Iran alikua katika mazungumzo ya nuclear na USA,hakutaka vita. Aliyeanzisha vita ni Israel akiwa na malengo MATATU,kuivunja Iran nguvu za kijeshi,kuondoa utawala wa kishia na kuharibu uwezo wa nuclear wa Iran.
Je ni kipi kati ya hicho kafanikiwa?
Alipozidiwa akaanza kulipua makazi na hospitali,Iran ilipojibu akaomba ceasefire kiasi kuwatuma hadi EU members UK, France na Germany wakamuita Iran Geneva ili wamshawishi asitishe vita.
Iran alikua anajilinda hakuanzisha yeye vita,aliyeshindwa ni Israel ambaye kwa gharama kubwa kashindwa kutekeleza mission hata moja.
Hivyo Iran yeye kukubali ceasefire hana makosa kwasababu alikua anajilinda baada ya kushtukizwa kimashambulizi.
Hapo wa kulaumiwa ni Israel, kwanini aanzishe vita ambayo imegharimu serikali na raia kiasi raia kukimbia nchi na hajafaulu mission hata moja!?
Sanasana amesababisha hasara ya mabilioni ya madola kwa serikali na uharibifu usio na kifani.
Nuclear projects Iran bado zipo,jeshi la Iran Bado lipo imara na uongozi wa kishia umependwa zaidi.

Tuje kwenye hasara ya vita, makazi ya raia peke yake yanahitaji fidia ya $20 billions+,Haifa oil refinery plant imeharibiwa kiasi ikawa inatema gesi yenye sumu,Bandari ya Haifa kwishnei,vituo vya utafiti wa sayansi ambayo vilikua vikitegemewa kwa miaka 70 na Israel kwishnei, kambi Tano za jeshi kwishnei,Adani Investment ndani ya Israel Ina thamani ya zaidi ya $30 billions kwishnei,ofisi za Microsoft kwishnei,jengo la hisa kwishnei.
Halafu useme kuwa hasara aliyopata Israel ni ndogo utakua na akili timamu wewe!?
Hizi hasara zimeripotiwa na TIMES OF ISRAEL gazeti mama la Israel.
Wewe unasema nisiamini online media au siyo!?
Maelfu ya raia wamekimbia Israel kwa bahari baada ya serikali kuwakataza wasiondoke kwa ndege ili kusiwe na depopulation.
Hadi sasa toka Oktoba saba sio chini ya waisrael 1.2 millions wamekimbia nchi,na haijulikani kama watarudi ama laah.
Wengi wao wamekimbilia Cyprus.

Muda mwingine kama hamujui munyamaze tu.
 
Hizi hasara zimeripotiwa na TIMES IF ISRAEL gazeti mama la Israel.
Wewe unasema nisiamini online media au siyo!?
Maelfu ya raia wamekimbia Israel kwa bahari baada ya serikali kuwakataza wasiondoke kwa ndege ili kusiwe na depopulation.
Hadi sasa toka Oktoba saba sio chini ya waisrael 1.2 millions wamekimbia nchi,na haijulikani kama watarudi ama laah.
Wengi wao wamekimbilia Cyprus.

Muda mwingine kama hamujui munyamaze tu.
Amesabsbisha hasara ya mabilioni alikuja kukuomba mchango? Hivi unajua ya kuwa karibu mifumo yote ya kifedha ipo chini ya wayahudi? Sasa mtu anatumia hela zake kwa ajili ya usalama wake wewe unaumia nini? Kuna kitu kina thamani zaidi ya uhai?

Halafu unadai Iran hawakuwa na mpango wa kuifuta Israel na ile saa waliyoiweka pale Tehrain kwamba ikifika mwaka 2040 wawe wametimiza azma yao waliweka ya nini? Saa yenyewe wayahudi walipita nayo kwenye vita ya siku 12.
 
Wewe kijana kauli ya kuifuta Israel aliongea Ahmedinajad akiwa raisi sio kauli mbiu Wala Ilani ya Iran.
Embu wacha kuongea vitu visipokuwepo.
Nitajie rais mwingine aliyeongea kuifuta Israel ukimtoa Ahmedinajad??

Ona sasa wale wale mnaoamini conspiracy theories,nani kakudanganya mifumo yote ya pesa ipo chini ya Yahudi!?
Embu lete ushahidi hapa?
Israel inalelewa na USA na EU kama ulikua haujui.
Na hao wakiamua kukata ubiya na Israel basi Israel imekwisha.
Baada ya vita Netanyahu alienda USA kuomba mkopo kwaajili ya kurekebisha hasara za vita.
Sasa wewe tuambie umepata wapi huo ushahidi wa kusema wao ndio wamiliki wa mifumo yote ya pesa!?
Kama ingekua hivyo kwanini wapinzani wamelalamika hasara za vita alizosababisha Netanyahu!?
Na kwanini walienda USA kuomba mkopo!?

Kama kawaida stori za vijiweni .
 
Umewahi kujiuliza ni kwannini Marekani yupo na hao EU wapo bega kwa bega na Israel? Unafahamu kabla ya taifa la Israel kuundwa wayahudi walikuwa karibu nchi zote za ulaya na ealikuwa na ushawishi kwenye serikali na uchumi pia? Sasa unadhani eote walienda Israel? Huko Marekani unakosema wewe asilimiq kubwa ya wanasayansi ni wayahudi sasa utawatenganisha vipi ukaribu wao na wenzao. Unajua hata aliyegundua bomu ls nyuklia ni mmarekani myahudi?
 
Kifupi ni kwamba Israel imewekwa Middle East ili kulinda maslah ya western countries so wako tayari kuilinda kwa nguvu zozote zile, Israel iko pale kuhakikisha maslahi ya EU na US yanalindwa kwa nguvu zote
 
Sasa wewe ndio unaongea kimihemko.
Nani alikwambia Iran lengo lake ni kuifuta Israel kwenye uso wa dunia!?
Hiyo kauli aliongea Ahmedinajad kipindi akiwa rais wa Iran ila hiyo siyo Ilani ya serikali ya Iran.
Hapo tayari inaonesha wewe ni mtu wa stori za vijiweni.

Kuuliwa kwa kiongozi kulileta impact gani kwa Israel!?
Iran Ina succession nzuri ya uongozi na imeshaandaa namna ya kurithisha uongozi kwa watu wengine.
Kama haujui hao ambao wanakufa ndio wanasayansi wanafunzi na walimu ingali hai.
HUWEZI kushinda vita kwa kuua viongozi tu.
Vipi Hizbollah je imesambaratika?
Ipo pale pale na nguvu Ile Ile,sasa hivi haifanyi mashambulizi kwasababu serikali kuu ya Lebanon imeikataza na kuitishia kuipora viti bungeni.

Iran alikua katika mazungumzo ya nuclear na USA,hakutaka vita. Aliyeanzisha vita ni Israel akiwa na malengo MATATU,kuivunja Iran nguvu za kijeshi,kuondoa utawala wa kishia na kuharibu uwezo wa nuclear wa Iran.
Je ni kipi kati ya hicho kafanikiwa?
Alipozidiwa akaanza kulipua makazi na hospitali,Iran ilipojibu akaomba ceasefire kiasi kuwatuma hadi EU members UK, France na Germany wakamuita Iran Geneva ili wamshawishi asitishe vita.
Iran alikua anajilinda hakuanzisha yeye vita,aliyeshindwa ni Israel ambaye kwa gharama kubwa kashindwa kutekeleza mission hata moja.
Hivyo Iran yeye kukubali ceasefire hana makosa kwasababu alikua anajilinda baada ya kushtukizwa kimashambulizi.
Hapo wa kulaumiwa ni Israel, kwanini aanzishe vita ambayo imegharimu serikali na raia kiasi raia kukimbia nchi na hajafaulu mission hata moja!?
Sanasana amesababisha hasara ya mabilioni ya madola kwa serikali na uharibifu usio na kifani.
Nuclear projects Iran bado zipo,jeshi la Iran Bado lipo imara na uongozi wa kishia umependwa zaidi.

Tuje kwenye hasara ya vita, makazi ya raia peke yake yanahitaji fidia ya $20 billions+,Haifa oil refinery plant imeharibiwa kiasi ikawa inatema gesi yenye sumu,Bandari ya Haifa kwishnei,vituo vya utafiti wa sayansi ambayo vilikua vikitegemewa kwa miaka 70 na Israel kwishnei, kambi Tano za jeshi kwishnei,Adani Investment ndani ya Israel Ina thamani ya zaidi ya $30 billions kwishnei,ofisi za Microsoft kwishnei,jengo la hisa kwishnei.
Halafu useme kuwa hasara aliyopata Israel ni ndogo utakua na akili timamu wewe!?
Hizi hasara zimeripotiwa na TIMES OF ISRAEL gazeti mama la Israel.
Wewe unasema nisiamini online media au siyo!?
Maelfu ya raia wamekimbia Israel kwa bahari baada ya serikali kuwakataza wasiondoke kwa ndege ili kusiwe na depopulation.
Hadi sasa toka Oktoba saba sio chini ya waisrael 1.2 millions wamekimbia nchi,na haijulikani kama watarudi ama laah.
Wengi wao wamekimbilia Cyprus.

Muda mwingine kama hamujui munyamaze tu.
We mwehu kweli iran yenyewe inasema wamekufa watu 1000 na viongozi mbalimbali zaidi ya 100 hiv unaweza kulipa uhai na pesa?.... Hivi kwanini wafuasi wa mud mnakuwa wehu kama mud?.... Mwenzenu alikuwa mwehu mpaka kufikia kulala na watoto...
 
Back
Top Bottom