christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 3,333
- 5,490
Hi
Picha za kuscreenshort haziwezi saidia hata Rais wa Iran anakiri aliparazwa na mashambulizi ya Israel sasa wewe ukilipua kambi juu wakati watu wapo chini utamuua nani? Nadhani tuishie hapa kila mtu anauhuru wa kuamini anacho amin. Mimi sisukumwi na mihemko au itikadi nimefuatilia mgogoro wa Iran na Israel tangu urafiki wao ufe achana na vita ya juzi na katika huu mgogoro aliyepoteza zaidi ni Iran kuanzia viongozi wake, washirika wake na hata miundombinu, hili kwa mtu mshabik au mwenye itikadi zake hawezi liona ila naamini wairani wanaionja shubiri ndio maana ukifuatilia muda mwingi wanalaumu huku muisrael yupo kimya.Sasa hivi siongei kwa maneno na wewe.
Kambi tano kulipuliwa halafu asife mwanajeshi hata mmoja!??
Pia nilikuuliza Israel ame achieve nini alipoua viongozi wa Iran?
Ntakuonesha malengo ya Israel yalivyofeli pale Iran.
Tuanze na ripoti ya nuclear sites.
View attachment 3418402View attachment 3418403View attachment 3418404
Nakuletea ushahidi usome then utulie maana maneno matupu huelewi.