Rais wa Iran Masoud Pezeshkian asema kuwa jeshi la nchi yake limejiandaa kikamilifu kuipiga Israel

Tatizo lako unaleta ushabiki hapa wakati mimi nimeandika fact. Embu tumia akili sio mihemko. Unadai Israel aliomba vita iishe sasa kwa nini Iran alikubali ilhali yeye siku zote ambition yake ni kuifuta Israel kwenye uso wa dunia? Kumbuka myahudi alianza kumchokoza sasa hapo sindoilikuwa nafasi ya Iran kumtikomeza kabisa myahudi kama kwa kumletea ushenzi?

Mimi sio mshabiki wa vita ila nadhani unaona kinachoendekea Gaza baada ya Hamas kumchokoza myahudi na pia unaona kilichowakuta viongozi wa hezbolah baada ya kuingilia vita ya hamas, ni mara ngapi viongozi wa Iran wamekuwa wakiuwawa ndani ya nchi yao na wayahudi na hata washirika wao lakini wameshindwa kufanya hivyo ndani ya Israel? Embu nitajie kiongozu yetote wa kijeshi au serikali wa Israel aliuwawa na Iran tangu ugomvi wa ulipoanza.

Usiwe unapata habari kutoka kwenye online media ambazo zipo kwa malengo yao. Ukipata habari ichekeche ndugu halafu ufikie conclusion mwenyewe kwa kushirikisha ubongo wako.

Hivi unajua hasara nchi inayopata kwa kumpoteza mtaalamu wa nyuklia mmoja au kamanda wa ngazi ya juu ya kijeshi iliyomuandaa kwa miongo kadhaa? Nyie huku mnakaa mnasifia wakati vita ya siku 12 imeacha maafa makubwa sana kwa Iran ambayo itachukua mida kuyasahau na ndio maana kila siku wanalalamika, wenzao majengo watajenga wao je?
Hongera mkuu
Umechambua kisomi Sana
Tatizo wenzetu wanaingiza udini kwenye mgogoro .
Uwezo wa kufikiria tumebananishwa kwenye dini.
Wanasahau Israel Kuna waislamu wakristo wayahidi na wote wanaishi kwa amani.
 
Umewahi kujiuliza ni kwannini Marekani yupo na hao EU wapo bega kwa bega na Israel? Unafahamu kabla ya taifa la Israel kuundwa wayahudi walikuwa karibu nchi zote za ulaya na ealikuwa na ushawishi kwenye serikali na uchumi pia? Sasa unadhani eote walienda Israel? Huko Marekani unakosema wewe asilimiq kubwa ya wanasayansi ni wayahudi sasa utawatenganisha vipi ukaribu wao na wenzao. Unajua hata aliyegundua bomu ls nyuklia ni mmarekani myahudi?
Ttttttttt aiseeee aiseeeeee!!
Una mengi ya kujifunza kuondoa hii akili yako uliyonayo sasa.
Wanasayansi wengi miaka ya nyuma hadi kufikia vita ya pili ya dunia USA walikua Irish,wajerumani sio wayahudi.
Na miaka ya sasa wanasayansi wengi ni Asian-American ambao ni kutoka China,Korea na India sio wayahudi.
Wayahudi walikua wafanyabiashara wakubwa tu kama kina Rockefeller na wengineo.
Kama ingekua wao ndio wanamiliki uchumi wa USA na duniani kote Netanyahu asingeenda kuomba mkopo USA,pia mwaka 2021 US senates walivyozuia kupelekwa silaha Israel basi Israel isingenyong'onyea na kupiga goti.
Hata Zionism movement ilifadhiliwa na Westerns pamoja na USA.
Israel ni puppet wa wamagharibi hapo middle east ili kuleta balance if power ya USA hapo magharibi si vinginevyo.
 
We mwehu kweli iran yenyewe inasema wamekufa watu 1000 na viongozi mbalimbali zaidi ya 100 hiv unaweza kulipa uhai na pesa?.... Hivi kwanini wafuasi wa mud mnakuwa wehu kama mud?.... Mwenzenu alikuwa mwehu mpaka kufikia kulala na watoto...
We msenge ****** wa mamayo unapoongea na Mimi acha kuleta udini.
Sawa kijana!? Na kuanzia leo usithubutu Kuni quote nakublock kabisa.Naku ignore kuanzia sasa
 
Iranians fear return to war one month after ceasefire with Israel​

The ceasefire that ended Iran’s 12-day war with Israel has held for nearly a month without incident, but many Iranians remain uneasy, struggling with uncertainty as fears of another confrontation linger.

“I don’t think this ceasefire will last,” said Peyman, a 57-year-old resident of Shiraz in southern Iran, one of numerous cities hit last month as Israel unleashed an unprecedented bombing campaign against its longtime rival.

The Israeli offensive targeted key nuclear facilities and military sites, killing top commanders, nuclear scientists, and hundreds of others, while also wreaking havoc in some residential areas. The attacks triggered the fiercest fighting in history between the two adversaries, ending with a ceasefire announced on June 24.

Israel has signaled it could return to fighting if Iran attempts to rebuild its nuclear facilities or take any action deemed threatening, such as moving to develop a nuclear weapon — an ambition Tehran has consistently denied. Iran, in turn, has vowed to deliver a harsh response if attacked again.

Nuclear diplomacy with the United States — which briefly joined the war with strikes on Iranian nuclear sites — has stalled, deepening uncertainty about what lies ahead.

“I am scared the war will start again,” said Hamid, a 54-year-old government employee who gave only his first name. “It will lead to the death of more innocent people and the destruction of the country’s infrastructure.”

During the war, Israel struck major Iranian cities including the capital Tehran, hitting military sites, government buildings, and the state television headquarters. More than 1,000 people were killed in Iran, according to authorities. Retaliatory missile and drone attacks killed 29 people in Israel.

Many residents fled Tehran, seeking refuge elsewhere in the country, even though few regions were untouched by the blasts and smoke-filled skies.

Nearly a month later, a series of fires that broke out across Iran — including one at a major oil facility — have triggered speculation, which officials were quick to dismiss, denying any acts of sabotage.

“This war really frightened me,” said 78-year-old housewife Golandam Babaei from western Kermanshah province. She lived through the Iran–Iraq War of the 1980s, a painful memory for many of her generation.

“I kept telling myself, please God, do not let the past repeat itself,” Babaei told AFP.

The war with Israel, although much shorter and fought mostly with air strikes and missiles rather than ground forces, revived grim memories of the conflict with Iraq. That war, triggered by an Iraqi invasion in 1980, killed an estimated 500,000 people on both sides. It featured chemical warfare and prolonged front-line bombardments, scarring Iranians in the then-nascent Islamic Republic born out of the 1979 revolution.

For decades since, Iran had largely managed to keep conflicts away from its own soil. But after the recent 12-day war with Israel, some Iranians feel a renewed sense of vulnerability.

“I kept thinking I don’t want to flee again. We have nowhere to go. I cannot run to the mountains like in the past,” said Babaei.

For Ali Khanzadi, a 62-year-old war veteran, the conflict with Israel highlighted a stark difference compared to the 1980s when “we didn’t have any advanced military equipment” to fight the Iraqis.

Khanzadi, who was wounded in battle in 1983, said the war with Israel, while shorter, had a more sinister dimension. Unlike in the past, modern military technology means “they can kill a child in his sleep remotely using a drone,” he said.

In the face of Israeli threats and attacks, Iranian authorities have repeatedly invoked national unity. Supreme Leader Ali Khamenei said the offensive was aimed at toppling the its clerical system, and urged Iranian diplomats and military leaders to proceed with “care and precision” as the country cautiously moves forward.

Tehran has said it remains open to nuclear diplomacy with the United States, which the war had derailed, but officials have demanded unspecified US guarantees to resume negotiations.

Ordinary Iranians appear to share fears that conflict could erupt again.

“I hope that this will not happen,” said Hamid.

Babaei said she was praying “for peace, for us to remain safe in our homes.”
 
Ttttttttt aiseeee aiseeeeee!!
Una mengi ya kujifunza kuondoa hii akili yako uliyonayo sasa.
Wanasayansi wengi miaka ya nyuma hadi kufikia vita ya pili ya dunia USA walikua Irish,wajerumani sio wayahudi.
Na miaka ya sasa wanasayansi wengi ni Asian-American ambao ni kutoka China,Korea na India sio wayahudi.
Wayahudi walikua wafanyabiashara wakubwa tu kama kina Rockefeller na wengineo.
Kama ingekua wao ndio wanamiliki uchumi wa USA na duniani kote Netanyahu asingeenda kuomba mkopo USA,pia mwaka 2021 US senates walivyozuia kupelekwa silaha Israel basi Israel isingenyong'onyea na kupiga goti.
Hata Zionism movement ilifadhiliwa na Westerns pamoja na USA.
Israel ni puppet wa wamagharibi hapo middle east ili kuleta balance if power ya USA hapo magharibi si vinginevyo.
Unaandika story za kusadikika naona kwa upeo wako unadhani kuna utofauti kati ya myahudi aliopo popote duniani na muisrael, unaleta story za wanasayansi wa ujeruman hapa hivi unajua kwa nini Hitler aliwauwa wayahudi, kwa taarifa yako hata hao unadai wanasayansi wa ujerumani au Irish wengi wao ukitress asili yao unakuta wana damu ya kiyahudi. Ikiwa umeshindwa kujua kati ya aliyeuliwa makamanda wake na wataalamu wa nyukilia na aliyeuwa raia bila kuuwa hata mgambo nani kashindwa vita wacha niishie hapo.
 
Kifupi ni kwamba Israel imewekwa Middle East ili kulinda maslah ya western countries so wako tayari kuilinda kwa nguvu zozote zile, Israel iko pale kuhakikisha maslahi ya EU na US yanalindwa kwa nguvu zote
Fact na ndio maana ukipigana na Israel unapigana ulaya na Marekani, huwa nashangaa kuna watu wanasema eti Israel akiachwa mwenyewe bila Marekan hawezi vita sasa taifa limeanza mwaka 1948 na linauwezo mkubwa vile wa kijeshi unashindwa kujiuliza nani yupo nyuma? Kifupi ukipigana na Israel unapigana na Marekani inderect hivyo huwezi kuwatenganisha hawa watu.
 
Unaandika story za kusadikika naona kwa upeo wako unadhani kuna utofauti kati ya myahudi aliopo popote duniani na muisrael, unaleta story za wanasayansi wa ujeruman hapa hivi unajua kwa nini Hitler aliwauwa wayahudi, kwa taarifa yako hata hao unadai wanasayansi wa ujerumani au Irish wengi wao ukitress asili yao unakuta wana damu ya kiyahudi. Ikiwa umeshindwa kujua kati ya aliyeuliwa makamanda wake na wataalamu wa nyukilia na aliyeuwa raia bila kuuwa hata mgambo nani kashindwa vita wacha niishie hapo.
Nakupa fundisho la mwisho kijana mdogo,pia sitobishana tena na wewe maana naona una akili finyu hujielewi.
Katika hao wanasayansi wa Irish na Ujeru hakuna mwenye asili ya uyahudi usitake kutudanganya Wacha kuamini conspiracy zinakutoa akili kijana Wacha ujinga.

Kingine vita haipimwi kwa kuua makamanda au viongozi,kamuulize hata ndugu yako ambaye mwanajeshi,vita hupimwa kwa malengo yake.Malengo ya Israel yalikua haya MATATU.
1.Kuivunja Iran kijeshi kwa kulipua ADS na missile launcher zake,hapa Israel alifeli maana Iran Ina missile city Kila Mkoa na ina missile launchers ndani ya mahandaki pia Wana akiba za ADS.
2.Kuharibu mpango wa nuclear wa Iran,hapa Israel alifeli ripoti zinasema Fordow haikufanikiwa kuharibiwa na Iran Ina nuclear sites 8 wao wamepiga 3.
3.Regime change kwa kumuondoa Ayatollah na uongozi wa kishia, mwishowe Iran ilisimama na ikaungwa mkono na raia wake wote.

Ushindi unapimwa kwa malengo ya vita,kuuliwa viongozi na wanasayansi sio ushindi kinachoangaliwa je malengo yalitimia ya vita!?
Jibu ni kuwa hayakutimia na pia Israel ilipata hasara na kupigwa kuliko kawaida.
Kuna makamanda wengi Mossad HQ hawajapona na zile kambi 5 zilizopigwa pamoja na Ile hospitali iliyopigwa kulikua na makamanda wengi tu wa Israel.
Jeshi likafanya news censorship kuzuia taarifa.

Ninatilia mashaka uwezo wako wa akili au umri wako,huwenda utakua mtoto sana aisee hata hujui ushindi wa vita unapimwa kwa kitu gani.
Israel alishindwa vita kwasababu malengo ya vita hayakutimia licha ya kuua viongozi na wanasayansi, viongozi wamewekwa wapya na wanasayansi wapo lukuki wanaendeleza gurudumu.
WHAT DID ISRAEL ACHIEVE ON KILLING OF IRANI SCIENTISTS AND MILLITARY LEADERS?
jiulize hilo swali na ujijibu.

Wacha nikuache usikute nabishana na katoto kadogo kakinda hapa kananipotezea muda.
 
Fact na ndio maana ukipigana na Israel unapigana ulaya na Marekani, huwa nashangaa kuna watu wanasema eti Israel akiachwa mwenyewe bila Marekan hawezi vita sasa taifa limeanza mwaka 1948 na linauwezo mkubwa vile wa kijeshi unashindwa kujiuliza nani yupo nyuma? Kifupi ukipigana na Israel unapigana na Marekani inderect hivyo huwezi kuwatenganisha hawa watu.
Ndio maana unaambiwa Israel akijitoa America sio kitu.
Hapo wewe hujaelewa nini?
Yani unakubali na unakataa hiko hiko ulichokikubali.
Vita ya 2006 USA hakushiriki kumsaidia Israel nadhani unajua nini kilimkuta Israel pale Bint Jubeir alipofumuliwa na Hizbollah.
 
Yani mzee Masudi anayataka sasa hii watapita nae
Makafiri ndio huwa wanaogopa kifo lakini ukishaona lakini ukiwa unapgania kitu unajua ni haki yako huwezi kuogopa kifo ndio maana unaona wapalestine wanuawa na waisrael lakini wanagoma kuondoka kwenye eneo lao wakati wa israel vita ya wiki moja tu nchi imebaki majengo matupu wote wamekimbia kwahyo huyo rais wa iran anajua iran wanapgania haki yao hana cha kuogopa.
 
Nakupa fundisho la mwisho kijana mdogo,pia sitobishana tena na wewe maana naona una akili finyu hujielewi.
Katika hao wanasayansi wa Irish na Ujeru hakuna mwenye asili ya uyahudi usitake kutudanganya Wacha kuamini conspiracy zinakutoa akili kijana Wacha ujinga.

Kingine vita haipimwi kwa kuua makamanda au viongozi,kamuulize hata ndugu yako ambaye mwanajeshi,vita hupimwa kwa malengo yake.Malengo ya Israel yalikua haya MATATU.
1.Kuivunja Iran kijeshi kwa kulipua ADS na missile launcher zake,hapa Israel alifeli maana Iran Ina missile city Kila Mkoa na ina missile launchers ndani ya mahandaki pia Wana akiba za ADS.
2.Kuharibu mpango wa nuclear wa Iran,hapa Israel alifeli ripoti zinasema Fordow haikufanikiwa kuharibiwa na Iran Ina nuclear sites 8 wao wamepiga 3.
3.Regime change kwa kumuondoa Ayatollah na uongozi wa kishia, mwishowe Iran ilisimama na ikaungwa mkono na raia wake wote.

Ushindi unapimwa kwa malengo ya vita,kuuliwa viongozi na wanasayansi sio ushindi kinachoangaliwa je malengo yalitimia ya vita!?
Jibu ni kuwa hayakutimia na pia Israel ilipata hasara na kupigwa kuliko kawaida.
Kuna makamanda wengi Mossad HQ hawajapona na zile kambi 5 zilizopigwa pamoja na Ile hospitali iliyopigwa kulikua na makamanda wengi tu wa Israel.
Jeshi likafanya news censorship kuzuia taarifa.

Ninatilia mashaka uwezo wako wa akili au umri wako,huwenda utakua mtoto sana aisee hata hujui ushindi wa vita unapimwa kwa kitu gani.
Israel alishindwa vita kwasababu malengo ya vita hayakutimia licha ya kuua viongozi na wanasayansi, viongozi wamewekwa wapya na wanasayansi wapo lukuki wanaendeleza gurudumu.
WHAT DID ISRAEL ACHIEVE ON KILLING OF IRANI SCIENTISTS AND MILLITARY LEADERS?
jiulize hilo swali na ujijibu.

Wacha nikuache usikute nabishana na katoto kadogo kakinda hapa kananipotezea muda.
Hapo mkuu umetoa nondo ya mwaka - unaonekana analytical mind yako na uelewa wako si kwa masuala ya geopolitics tu bali pia na masuala ya warfare tactics, yote yako kwenye kichwa chako ambacho ni razor SHARP, be blessed, BRAVO.

We fikiria kuna baadhi ya watu na akili zao timamu wanatujia hapa wakiisifia Israel kwa kuwaua maafisa wa ngazi za juu WA jeshi LA Iran pamoja na familia zao wakiwa wamelala manyumbani mwao usiku wa manane, huo kama sio woga tuiiteje??

Kama jeshi la Israel ni majasiri kivile kwa nini hawaendi kwenye warfront wakapambana na wanajeshi WA Iran mchana kweupe badala ya kuvizia nyumba za Maafisa wa jeshi la Iran usiku WA manane na kuangamiza familiar nzima, yaani:Baba,watoto wote na wake zoo,hao walikuwa na hatia gani??
 
We msenge ****** wa mamayo unapoongea na Mimi acha kuleta udini.
Sawa kijana!? Na kuanzia leo usithubutu Kuni quote nakublock kabisa.Naku ignore kuanzia sasa
Matako ya mama yako.... Fala wewe unatafuta bwana?...nitakufi** wewe na aliyekuleta duniani...maku ya mama yako
 
We are ready to strike Israel again,' Iran’s president warns
1 hour ago
Updated 8:53 AM

Share
A screengrab from Iranian President Masoud Pezeshkian during an interview with Al Jazeera (July 2025)

Iran's president said that the country is ready for further conflict with Israel as tensions continue to simmer in the wake of the 12-day war.

“We are fully prepared for any Israeli military action, and our forces stand ready to strike deep into the occupied territories once again,” Masoud Pezeshkian told Al Jazeera Arabic.

The warning follows last month’s 12-day conflict between Iran and Israel, triggered by Israeli airstrikes on June 13 that hit military, nuclear, and civilian sites across Iran. Among those killed were senior Iranian military commanders and nuclear scientists. Iran retaliated with ballistic missile and drone strikes on Israel.

Iran says 1,062 people were killed during the 12-day conflict with Israel, including 786 military personnel and 276 civilians.

Israeli medical officials say a total of 28 people were killed and over 3,000 were wounded by Iranian attacks.

Pezeshkian said Tehran holds Washington partly responsible for the attacks. The US conducted follow-up strikes on three major Iranian nuclear facilities, later saying to have obliterated them. A ceasefire between Iran and Israel took effect on June 23.

Iran says its nuclear program is peaceful. Pezeshkian repeated the same position in the interview, adding that the Islamic Republic has no intention of acquiring nuclear weapons.

“We categorically reject possessing nuclear weapons,” he said. “This is our political, religious, human, and strategic position.”

The president also disputed US President Donald Trump's statement that Iran’s nuclear capabilities had been "obliterated" following strikes at three of the country's key sites.

“These efforts are based on illusion,” he said. “Nuclear capability resides in the minds of our scientists, not in our facilities.”

AMESHAIPIGA TAYARI? 😁
 
We msenge ****** wa mamayo unapoongea na Mimi acha kuleta udini.
Sawa kijana!? Na kuanzia leo usithubutu Kuni quote nakublock kabisa.Naku ignore kuanzia sasa
Wewe nani maku ya mama yako?...tena narudia maku ya mama yako... Ukiniblock tu umeniogopa...weka wazi nikubandue
 
Ndio maana unaambiwa Israel akijitoa America sio kitu.
Hapo wewe hujaelewa nini?
Yani unakubali na unakataa hiko hiko ulichokikubali.
Vita ya 2006 USA hakushiriki kumsaidia Israel nadhani unajua nini kilimkuta Israel pale Bint Jubeir alipofumuliwa na Hizbollah.
Waliuwa kiongizi gani? Acha ushabiki wewe wenzako viongozi wao kila siku wanapukutishwa wameshindwa kuwalinda halafu wewe unaleta ushabiki hapa. Kiuhalisia Israel anauwezo wakumfikia kiongizi yeyote awe wa Iran au Hezbulah na kufanya anachotaka halafu wao hawezi sasa unahitaji kujua nani mbabe? Acha ushabiki utaumiza moyo wako bure kwa kushabikia vita wakati unao washabikia hawajiwezi. Watu viongozi wao kila siku wanauliwa wao wanashindwa kuretaliate kwa kuuwa viongozi wa Israel sasa hapo unahitaji degree kujua na mnyonge?
Nakupa fundisho la mwisho kijana mdogo,pia sitobishana tena na wewe maana naona una akili finyu hujielewi.
Katika hao wanasayansi wa Irish na Ujeru hakuna mwenye asili ya uyahudi usitake kutudanganya Wacha kuamini conspiracy zinakutoa akili kijana Wacha ujinga.

Kingine vita haipimwi kwa kuua makamanda au viongozi,kamuulize hata ndugu yako ambaye mwanajeshi,vita hupimwa kwa malengo yake.Malengo ya Israel yalikua haya MATATU.
1.Kuivunja Iran kijeshi kwa kulipua ADS na missile launcher zake,hapa Israel alifeli maana Iran Ina missile city Kila Mkoa na ina missile launchers ndani ya mahandaki pia Wana akiba za ADS.
2.Kuharibu mpango wa nuclear wa Iran,hapa Israel alifeli ripoti zinasema Fordow haikufanikiwa kuharibiwa na Iran Ina nuclear sites 8 wao wamepiga 3.
3.Regime change kwa kumuondoa Ayatollah na uongozi wa kishia, mwishowe Iran ilisimama na ikaungwa mkono na raia wake wote.

Ushindi unapimwa kwa malengo ya vita,kuuliwa viongozi na wanasayansi sio ushindi kinachoangaliwa je malengo yalitimia ya vita!?
Jibu ni kuwa hayakutimia na pia Israel ilipata hasara na kupigwa kuliko kawaida.
Kuna makamanda wengi Mossad HQ hawajapona na zile kambi 5 zilizopigwa pamoja na Ile hospitali iliyopigwa kulikua na makamanda wengi tu wa Israel.
Jeshi likafanya news censorship kuzuia taarifa.

Ninatilia mashaka uwezo wako wa akili au umri wako,huwenda utakua mtoto sana aisee hata hujui ushindi wa vita unapimwa kwa kitu gani.
Israel alishindwa vita kwasababu malengo ya vita hayakutimia licha ya kuua viongozi na wanasayansi, viongozi wamewekwa wapya na wanasayansi wapo lukuki wanaendeleza gurudumu.
WHAT DID ISRAEL ACHIEVE ON KILLING OF IRANI SCIENTISTS AND MILLITARY LEADERS?
jiulize hilo swali na ujijibu.

Wacha nikuache unabishana na katoto kadogo kakinda hapa kananipotezea muda.
Acheni kudanganya watu hakuna kifo cha kiongozi yeyote wa kijeshi anaweza kufa halafu asijulikane kwa dunia hii ya technolijia hivyo swala la kwamba Iran waliuwa viongozi wakijeshi wa Israel hizo ni story za kwenye kahawa.

Kuhusu swala la malengo ya vita kutimia ni wewe tu hapo kwenye keyboard ndio unajifariji kuwa hayakutimia. Kwa taarifa yako kuwauwa wataalamu tu wa nyuklia ni hasara bado miundimbinu iliyobabatizwa na mabomu sio kazi ya leo wala kesho kuirudisha kwenye uhalisia wake.

Mwisho punguza hasira unavyojibu hoja hapa inapaswa uweke fact na sio lugha kali na hasira. Ninarudia tena kusema Hamas mliwashibikia hivihivi lakini leo hii wanatia huruma, Hezbolah nao baada ya kiongozi wao kufyekwa nao wametulia, Ismail Haniye kiongizi wa Iran kauwawa ndani ya Iran na hawakufanya lolote sasa hapo unahitaji degree kujua nani mbabe?
Ndio maana unaambiwa Israel akijitoa America sio kitu.
Hapo wewe hujaelewa nini?
Yani unakubali na unakataa hiko hiko ulichokikubali.
Vita ya 2006 USA hakushiriki kumsaidia Israel nadhani unajua nini kilimkuta Israel pale Bint Jubeir alipofumuliwa na Hizbollah.
Kwa taarifa yako hakuna utofauti wa Israel na Marekani sijui unashindwa kuelewa nini hapo! Kwa lugha nyingine Israel ni jimbo la marekan wanamoishi wamarekani wenye asili ya kiyahudi na ndio maana wayahudi wanainfluence kubwa hata kwenye uchaguzi wa rais wa Marekani.
 
Waliuwa kiongizi gani? Acha ushabiki wewe wenzako viongozi wao kila siku wanapukutishwa wameshindwa kuwalinda halafu wewe unaleta ushabiki hapa. Kiuhalisia Israel anauwezo wakumfikia kiongizi yeyote awe wa Iran au Hezbulah na kufanya anachotaka halafu wao hawezi sasa unahitaji kujua nani mbabe? Acha ushabiki utaumiza moyo wako bure kwa kushabikia vita wakati unao washabikia hawajiwezi. Watu viongozi wao kila siku wanauliwa wao wanashindwa kuretaliate kwa kuuwa viongozi wa Israel sasa hapo unahitaji degree kujua na mnyonge?

Acheni kudanganya watu hakuna kifo cha kiongozi yeyote wa kijeshi anaweza kufa halafu asijulikane kwa dunia hii ya technolijia hivyo swala la kwamba Iran waliuwa viongozi wakijeshi wa Israel hizo ni story za kwenye kahawa.

Kuhusu swala la malengo ya vita kutimia ni wewe tu hapo kwenye keyboard ndio unajifariji kuwa hayakutimia. Kwa taarifa yako kuwauwa wataalamu tu wa nyuklia ni hasara bado miundimbinu iliyobabatizwa na mabomu sio kazi ya leo wala kesho kuirudisha kwenye uhalisia wake.

Mwisho punguza hasira unavyojibu hoja hapa inapaswa uweke fact na sio lugha kali na hasira. Ninarudia tena kusema Hamas mliwashibikia hivihivi lakini leo hii wanatia huruma, Hezbolah nao baada ya kiongozi wao kufyekwa nao wametulia, Ismail Haniye kiongizi wa Iran kauwawa ndani ya Iran na hawakufanya lolote sasa hapo unahitaji degree kujua nani mbabe?

Kwa taarifa yako hakuna utofauti wa Israel na Marekani sijui unashindwa kuelewa nini hapo! Kwa lugha nyingine Israel ni jimbo la marekan wanamoishi wamarekani wenye asili ya kiyahudi na ndio maana wayahudi wanainfluence kubwa hata kwenye uchaguzi wa rais wa Marekani.
Sasa hivi siongei kwa maneno na wewe.
Kambi tano kulipuliwa halafu asife mwanajeshi hata mmoja!??
Pia nilikuuliza Israel ame achieve nini alipoua viongozi wa Iran?
Ntakuonesha malengo ya Israel yalivyofeli pale Iran.
Tuanze na ripoti ya nuclear sites.
Screenshot_20250725-165527.png
Screenshot_20250725-165606.png
Screenshot_20250725-165611.png

Nakuletea ushahidi usome then utulie maana maneno matupu huelewi.
 
Waliuwa kiongizi gani? Acha ushabiki wewe wenzako viongozi wao kila siku wanapukutishwa wameshindwa kuwalinda halafu wewe unaleta ushabiki hapa. Kiuhalisia Israel anauwezo wakumfikia kiongizi yeyote awe wa Iran au Hezbulah na kufanya anachotaka halafu wao hawezi sasa unahitaji kujua nani mbabe? Acha ushabiki utaumiza moyo wako bure kwa kushabikia vita wakati unao washabikia hawajiwezi. Watu viongozi wao kila siku wanauliwa wao wanashindwa kuretaliate kwa kuuwa viongozi wa Israel sasa hapo unahitaji degree kujua na mnyonge?

Acheni kudanganya watu hakuna kifo cha kiongozi yeyote wa kijeshi anaweza kufa halafu asijulikane kwa dunia hii ya technolijia hivyo swala la kwamba Iran waliuwa viongozi wakijeshi wa Israel hizo ni story za kwenye kahawa.

Kuhusu swala la malengo ya vita kutimia ni wewe tu hapo kwenye keyboard ndio unajifariji kuwa hayakutimia. Kwa taarifa yako kuwauwa wataalamu tu wa nyuklia ni hasara bado miundimbinu iliyobabatizwa na mabomu sio kazi ya leo wala kesho kuirudisha kwenye uhalisia wake.

Mwisho punguza hasira unavyojibu hoja hapa inapaswa uweke fact na sio lugha kali na hasira. Ninarudia tena kusema Hamas mliwashibikia hivihivi lakini leo hii wanatia huruma, Hezbolah nao baada ya kiongozi wao kufyekwa nao wametulia, Ismail Haniye kiongizi wa Iran kauwawa ndani ya Iran na hawakufanya lolote sasa hapo unahitaji degree kujua nani mbabe?

Kwa taarifa yako hakuna utofauti wa Israel na Marekani sijui unashindwa kuelewa nini hapo! Kwa lugha nyingine Israel ni jimbo la marekan wanamoishi wamarekani wenye asili ya kiyahudi na ndio maana wayahudi wanainfluence kubwa hata kwenye uchaguzi wa rais wa Marekani.
Narudia tena inachojulisha nchi umeshinda vita ni mission ulizozipanga.
HUWEZI kusema umeshinda vita kwa kuua viongozi kijana mdogo.
Israel imefeli kumuondoa Ayatollah Khamenei, imefeli kuharibu nuke power na imefeli kuliharibu jeshi la Iran.

Wewe kama Israel maeneo yako muhimu yamebomolewa hapo chini je ungeendelea na vita!?
Sasa hivi nakupiga na ushahidi tu nimechoka kuongea.
Screenshot_20250725-170646.png
 
Hii hospital ya Soroka inatibu wanajeshi na wapo majeruhi kutoka Gaza wakitibiwa hapa.
Unataka kusema hakuna aliyekufa hapa!??
Screenshot_20250725-171531.png

Mwisho tuje kwa USA na Israel.
Israel haii control USA hata kidogo kama ulikua hujui.
Na uhusiano wao ulianza 1948 na aliyeu initiate ni UK.
Israel inamtegemea US kwasababu US anaitumia Israel kulinda maslahi yake pale middle east.
US akiamua asiingilie Israel inapigwa vibaya.
Mwaka 2006 Bint Jubeir Israel ilipigwa na kupoteza makamanda zaidi ya 78 dhidi ya Hizbollah na ikaburutwa hadi shebah farms.
Hiyo vita US hakuiingilia hata kidogo.
Na katika hiyo vita viongozi wa Hizbollah wakubwa waliuawa mwaka huo 2006 ila still Hizbollah aliipiga Israel na akaiondoa nje ya Lebanon.
Aya kwako mjuzi,kuuawa kwa viongozi wa jeshi la Hizbollah kumeisaidia nini Israel ilhali bado ilipigwa na kutolewa Lebanon!?
 
Hii hospital ya Soroka inatibu wanajeshi na wapo majeruhi kutoka Gaza wakitibiwa hapa.
Unataka kusema hakuna aliyekufa hapa!??
View attachment 3418413

Mwisho tuje kwa USA na Israel.
Israel haii control USA hata kidogo kama ulikua hujui.
Na uhusiano wao ulianza 1948 na aliyeu initiate ni UK.
Israel inamtegemea US kwasababu US anaitumia Israel kulinda maslahi yake pale middle east.
US akiamua asiingilie Israel inapigwa vibaya.
Mwaka 2006 Bint Jubeir Israel ilipigwa na kupoteza makamanda zaidi ya 78 dhidi ya Hizbollah na ikaburutwa hadi shebah farms.
Hiyo vita US hakuiingilia hata kidogo.
Na katika hiyo vita viongozi wa Hizbollah wakubwa waliuawa mwaka huo 2006 ila still Hizbollah aliipiga Israel na akaiondoa nje ya Lebanon.
Aya kwako mjuzi,kuuawa kwa viongozi wa jeshi la Hizbollah kumeisaidia nini Israel ilhali bado ilipigwa na kutolewa Lebanon!?
Umejawa na mihemko ngoja niishie hapo.
 
Narudia tena inachojulisha nchi umeshinda vita ni mission ulizozipanga.
HUWEZI kusema umeshinda vita kwa kuua viongozi kijana mdogo.
Israel imefeli kumuondoa Ayatollah Khamenei, imefeli kuharibu nuke power na imefeli kuliharibu jeshi la Iran.

Wewe kama Israel maeneo yako muhimu yamebomolewa hapo chini je ungeendelea na vita!?
Sasa hivi nakupiga na ushahidi tu nimechoka kuongea.
View attachment 3418409
Hujui unachozongumza ngoja niishie hapa kitendo cha Israel kuweza kuuwa viongozi wa juu wa Iran muda wowote inavyojisikia ni ishata kuwa huyo Khamenei naye wakimtaka wanampata ni kwamba hawana sababu ya kufanya hivyo, MOSAD hawajawahi fail mission. Kumbjka kauli yq Netanyahu aliyosema baada ya Hamas kuvamia Israel " Every Hamas leader is a walking dead man" je kauli hii imetimia au laah! Naomba niishie hapa.
 
Back
Top Bottom