christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 3,333
- 5,490
Picha za kuscreenshort haziwezi saidia hata Rais wa Iran anakiri aliparazwa na mashambulizi ya Israel sasa wewe ukilipua kambi juu wakati watu wapo chini utamuua nani? Nadhani tuishie hapa kila mtu anauhuru wa kuamini anacho amin. Mimi sisukumwi na mihemko au itikadi nimefuatilia mgogoro wa Iran na Israel tangu urafiki wao ufe achana na vita ya juzi na katika huu mgogoro aliyepoteza zaidi ni Iran kuanzia viongozi wake, washirika wake na hata miundombinu, hili kwa mtu mshabik au mwenye itikadi zake hawezi liona ila naamini wairani wanaionja shubiri ndio maana ukifuatilia muda mwingi wanalaumu huku muisrael yupo kimya.Sasa hivi siongei kwa maneno na wewe.
Kambi tano kulipuliwa halafu asife mwanajeshi hata mmoja!??
Pia nilikuuliza Israel ame achieve nini alipoua viongozi wa Iran?
Ntakuonesha malengo ya Israel yalivyofeli pale Iran.
Tuanze na ripoti ya nuclear sites.
View attachment 3418402View attachment 3418403View attachment 3418404
Nakuletea ushahidi usome then utulie maana maneno matupu huelewi.
Nimeshakupa vielelezo ila Baki na mihemko yako.Hi
Picha za kuscreenshort haziwezi saidia hata Rais wa Iran anakiri aliparazwa na mashambulizi ya Israel sasa wewe ukilipua kambi juu wakati watu wapo chini utamuua nani? Nadhani tuishie hapa kila mtu anauhuru wa kuamini anacho amin. Mimi sisukumwi na mihemko au itikadi nimefuatilia mgogoro wa Iran na Israel tangu urafiki wao ufe achana na vita ya juzi na katika huu mgogoro aliyepoteza zaidi ni Iran kuanzia viongozi wake, washirika wake na hata miundombinu, hili kwa mtu mshabik au mwenye itikadi zake hawezi liona ila naamini wairani wanaionja shubiri ndio maana ukifuatilia muda mwingi wanalaumu huku muisrael yupo kimya.
Nilikuuliza swali Moja tu ila umeshindwa kujibu.Hujui unachozongumza ngoja niishie hapa kitendo cha Israel kuweza kuuwa viongozi wa juu wa Iran muda wowote inavyojisikia ni ishata kuwa huyo Khamenei naye wakimtaka wanampata ni kwamba hawana sababu ya kufanya hivyo, MOSAD hawajawahi fail mission. Kumbjka kauli yq Netanyahu aliyosema baada ya Hamas kuvamia Israel " Every Hamas leader is a walking dead man" je kauli hii imetimia au laah! Naomba niishie hapa.
Siku zote ukiwa hutumii akili yako nje ya sanduku HUWEZI ukauona ukweli.Umejawa na mihemko ngoja niishie hapo.
Kijana Kuna muda anasikitisha unatamani hadi angekua karibu umpige bonge konzi.Hapo mkuu umetoa nondo ya mwaka - unaonekana analytical mind yako na uelewa wako si kwa masuala ya geopolitics tu bali pia na masuala ya warfare tactics, yote yako kwenye kichwa chako ambacho ni razor SHARP, be blessed, BRAVO.
We fikiria kuna baadhi ya watu na akili zao timamu wanatujia hapa wakiisifia Israel kwa kuwaua maafisa wa ngazi za juu WA jeshi LA Iran pamoja na familia zao wakiwa wamelala manyumbani mwao usiku wa manane, huo kama sio woga tuiiteje??
Kama jeshi la Israel ni majasiri kivile kwa nini hawaendi kwenye warfront wakapambana na wanajeshi WA Iran mchana kweupe badala ya kuvizia nyumba za Maafisa wa jeshi la Iran usiku WA manane na kuangamiza familiar nzima, yaani:Baba,watoto wote na wake zoo,hao walikuwa na hatia gani??
We are ready to strike Israel again,' Iran’s president warns
1 hour ago
Updated 8:53 AM
Share
A screengrab from Iranian President Masoud Pezeshkian during an interview with Al Jazeera (July 2025)
A screengrab from Iranian President Masoud Pezeshkian during an interview with Al Jazeera (July 2025)
Iran's president said that the country is ready for further conflict with Israel as tensions continue to simmer in the wake of the 12-day war.
“We are fully prepared for any Israeli military action, and our forces stand ready to strike deep into the occupied territories once again,” Masoud Pezeshkian told Al Jazeera Arabic.
The warning follows last month’s 12-day conflict between Iran and Israel, triggered by Israeli airstrikes on June 13 that hit military, nuclear, and civilian sites across Iran. Among those killed were senior Iranian military commanders and nuclear scientists. Iran retaliated with ballistic missile and drone strikes on Israel.
Iran says 1,062 people were killed during the 12-day conflict with Israel, including 786 military personnel and 276 civilians.
Israeli medical officials say a total of 28 people were killed and over 3,000 were wounded by Iranian attacks.
Pezeshkian said Tehran holds Washington partly responsible for the attacks. The US conducted follow-up strikes on three major Iranian nuclear facilities, later saying to have obliterated them. A ceasefire between Iran and Israel took effect on June 23.
Iran says its nuclear program is peaceful. Pezeshkian repeated the same position in the interview, adding that the Islamic Republic has no intention of acquiring nuclear weapons.
“We categorically reject possessing nuclear weapons,” he said. “This is our political, religious, human, and strategic position.”
The president also disputed US President Donald Trump's statement that Iran’s nuclear capabilities had been "obliterated" following strikes at three of the country's key sites.
“These efforts are based on illusion,” he said. “Nuclear capability resides in the minds of our scientists, not in our facilities.”
halafu kuna makobazi ya mabwepande yanashabikia Israel ilipigwa na Iran vita siku 12Aangalie sana huyu Rais. Siku 12 tu, wameuawa watu wake zaidi ya 1,000: wakiwemo maafisa wake wa jeshi zaidi ya 700, raia zaidi ya 200. Je vita ingeenda kwa miezi 6, kungetokea nini!!
unaweza kuweka ushahidi wapi Israel iliomba ceasefireSasa wewe ndio unaongea kimihemko.
Nani alikwambia Iran lengo lake ni kuifuta Israel kwenye uso wa dunia!?
Hiyo kauli aliongea Ahmedinajad kipindi akiwa rais wa Iran ila hiyo siyo Ilani ya serikali ya Iran.
Hapo tayari inaonesha wewe ni mtu wa stori za vijiweni.
Kuuliwa kwa kiongozi kulileta impact gani kwa Israel!?
Iran Ina succession nzuri ya uongozi na imeshaandaa namna ya kurithisha uongozi kwa watu wengine.
Kama haujui hao ambao wanakufa ndio wanasayansi wanafunzi na walimu ingali hai.
HUWEZI kushinda vita kwa kuua viongozi tu.
Vipi Hizbollah je imesambaratika?
Ipo pale pale na nguvu Ile Ile,sasa hivi haifanyi mashambulizi kwasababu serikali kuu ya Lebanon imeikataza na kuitishia kuipora viti bungeni.
Iran alikua katika mazungumzo ya nuclear na USA,hakutaka vita. Aliyeanzisha vita ni Israel akiwa na malengo MATATU,kuivunja Iran nguvu za kijeshi,kuondoa utawala wa kishia na kuharibu uwezo wa nuclear wa Iran.
Je ni kipi kati ya hicho kafanikiwa?
Alipozidiwa akaanza kulipua makazi na hospitali,Iran ilipojibu akaomba ceasefire kiasi kuwatuma hadi EU members UK, France na Germany wakamuita Iran Geneva ili wamshawishi asitishe vita.
Iran alikua anajilinda hakuanzisha yeye vita,aliyeshindwa ni Israel ambaye kwa gharama kubwa kashindwa kutekeleza mission hata moja.
Hivyo Iran yeye kukubali ceasefire hana makosa kwasababu alikua anajilinda baada ya kushtukizwa kimashambulizi.
Hapo wa kulaumiwa ni Israel, kwanini aanzishe vita ambayo imegharimu serikali na raia kiasi raia kukimbia nchi na hajafaulu mission hata moja!?
Sanasana amesababisha hasara ya mabilioni ya madola kwa serikali na uharibifu usio na kifani.
Nuclear projects Iran bado zipo,jeshi la Iran Bado lipo imara na uongozi wa kishia umependwa zaidi.
Tuje kwenye hasara ya vita, makazi ya raia peke yake yanahitaji fidia ya $20 billions+,Haifa oil refinery plant imeharibiwa kiasi ikawa inatema gesi yenye sumu,Bandari ya Haifa kwishnei,vituo vya utafiti wa sayansi ambayo vilikua vikitegemewa kwa miaka 70 na Israel kwishnei, kambi Tano za jeshi kwishnei,Adani Investment ndani ya Israel Ina thamani ya zaidi ya $30 billions kwishnei,ofisi za Microsoft kwishnei,jengo la hisa kwishnei.
Halafu useme kuwa hasara aliyopata Israel ni ndogo utakua na akili timamu wewe!?
Hizi hasara zimeripotiwa na TIMES OF ISRAEL gazeti mama la Israel.
Wewe unasema nisiamini online media au siyo!?
Maelfu ya raia wamekimbia Israel kwa bahari baada ya serikali kuwakataza wasiondoke kwa ndege ili kusiwe na depopulation.
Hadi sasa toka Oktoba saba sio chini ya waisrael 1.2 millions wamekimbia nchi,na haijulikani kama watarudi ama laah.
Wengi wao wamekimbilia Cyprus.
Muda mwingine kama hamujui munyamaze tu.
Ujerumani,Ufaransa na Uingereza kwanini walimuita Iran Geneva!?unaweza kuweka ushahidi wapi Israel iliomba ceasefire
Naskia na wewe bikra.Muda si mrefu huyu nae atawahishwa kwa mabikira