Rais wa Korea Kaskazini Kim yuko mahututi baada ya kufanyiwa Operation ya Moyo

Huyu jamaa akif raia wa N/Korea wanaweza kupata ahueni sasa, maana jamaa wamekuwa utumwani kwa karne nyingi chini ya hii familia ya Kim huku wenzao majirani S/Korea, China na Japan wakila bata na kuenjoy maisha..

Sidhani kama alipata muda wakuandaa mrithi wake kama ilivyokuwa kwa baba yake alivyomuandaa toka akiwa mdogo, naiona North Korea ikirudi kwenye ulimwengu wa kiistaraabu kutoka utumwani..
 
Wabongo kwa habari zisizo rasmi na za chini chini siwawezi.
 
Inasemekana labda dada yake angalau kidogo wanawake huwa si madikteta.Wawaingizie demokrasia ili ifungue akili zao wasiwe kisiwa.Mrusi sijui nani atakuwa akimsaidia,mchina anawaza pesa siasa za Vita alishaacha.
Haya madikteta yakipungua angalau Africa nayo itapumua ndiyo mafadhili makuu ya madikteta ya Africa.Bora corona iyatandike yarudi kuzimu kumsaidia baba yao kuchochea Moto huku duniani sio kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…