Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
- Thread starter
- #21
Jeshi linapambana na wananchiKunani Tena huko Selou, mbona mambo ni shwari tu harakati zinaenda vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jeshi linapambana na wananchiKunani Tena huko Selou, mbona mambo ni shwari tu harakati zinaenda vizuri
Ubalozi upo Wananchi wameanza kuandamana mabarabarani kuipinga serikaliKama tuna ubalozi huko,waanze kufungasha virago.
Duuuuh! Hii hatariPandikizi la Kim hilo!
Korea kusini ina historia ya mapinduzi ya kijeshi.Kwasababu Marekani ni mchonganishi wa kusini na kaskazini amri hii ni ya kidemokrasia kwa vibaraka wa amerika
Too late, kwa mizizi waliyo nayo baina yao na marekani its too late kwa sasaWanatakiwa wapambane na hali zao wasisikilize propaganda za wamarekani wakalitia taifa lao matatizoni. Wameshapiga hatua wakae wale matunda hizi siasa nyingine hazina faida yoyote
Historia ya SK mapinduzi ya kijeshi ni jambo la kawaidaToo late, kwa mizizi waliyo nayo baina yao na marekani its too late kwa sasa
Hakuna mzizi usio katika mzee tena hasa zama kama hizi hata France hakudhania kama kuna siku makoloni yake kule west afrique yangemchenjia au hata west hawakuamini kama utawala wa shah pale Iran ungepigwa kumbo dhidi yao mambo hubadilika acha kukaririToo late, kwa mizizi waliyo nayo baina yao na marekani its too late kwa sasa
Wengine tuko so irritated na series kaka. Will appreciate if you elaborate a bit.Ile series ya Iris ilinionyesha vitu vingi sana ambavyo havimo mwenye ile series
Rais anamsingizia Kim Bure .Wananchi wamechoka kuburuzwa na Washington. Wabunge wamepinga sheria hiyo kwa kura zote 190 VS 0 spika wa Bunge ametangaza muda mfupi uliopitaKim kazini?
Duh! Ingetokea kwa Kim bunge zima wangekuwa wanafukiwa kwenye makaburi ya jumla wao na familia zao na majirani na ndugu, jamaa na marafiki wote. Kim hana utani kwenye kulinda utawala wake.Kiduku kaamua kuchomoa betri na yeye 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Hakuna mzizi hapo wanamtoa tu haraka sana .Bunge limepiga amri ya Rais kwa 100% muda mfupi uliopitaToo late, kwa mizizi waliyo nayo baina yao na marekani its too late kwa sasa