Rais wa Korea Kusini atangaza utawala wa Kijeshi kuanzia leo Desemba 3, 2024. Avunja Bunge, Serikali inapingwa na wananchi

Rais wa Korea Kusini atangaza utawala wa Kijeshi kuanzia leo Desemba 3, 2024. Avunja Bunge, Serikali inapingwa na wananchi

Spika wa Bunge la Korea amesema hiyo sheria haitambuliki na haikubaliki baada ya wabunge wote 190 VS 0 kupiga kura ya kukataa sheria hiyo.
Screenshot_20241203-191918_1.jpg
 
Too late, kwa mizizi waliyo nayo baina yao na marekani its too late kwa sasa
Hakuna mzizi usio katika mzee tena hasa zama kama hizi hata France hakudhania kama kuna siku makoloni yake kule west afrique yangemchenjia au hata west hawakuamini kama utawala wa shah pale Iran ungepigwa kumbo dhidi yao mambo hubadilika acha kukariri
 
Back
Top Bottom